Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Napenda tu lile gwaride na ule uhuni wa kumwagiana mi bia
Hamna kitu kama hicho wewe!! kwani we mkurya?
Mtawatambua (wahuni) kwa maneno yao. Msititie unajisi hapaNapenda tu lile gwaride na ule uhuni wa kumwagiana mi bia
Hapo kwenye kuogeshana mipombe hapo...... duh..
Mkuu, mpe maelezo yanayojitoshereza, utaratibu ukoje na siyo kukanusha tu. Swali lake ni la msingi bahati mbaya binafsi sina jibu!
Hivi inawezekana kufunga harusi ya kijeshi (nasikia jeshi linagharamia kila kitu) kati ya mwanmme raia (sio mjeshi) na mwanmke mjeshi.
Harusi inafanyika kijeshi endapo mume ndio mwanajeshi.