kufunga harusi ya kijeshi

mnengene

JF-Expert Member
Nov 21, 2011
4,071
6,233
Hivi inawezekana kufunga harusi ya kijeshi (nasikia jeshi linagharamia kila kitu) kati ya mwanmme raia (sio mjeshi) na mwanmke mjeshi.
 
Kwa bongo hapa sijajua, ila kwa wenzetu ipo kama unavyoona, mim mwenyewe natamani siku moja nafunga pingu nikiwa ndani ya jezi za JW.
 

Attachments

  • wedding-photos-color-233.jpg
    wedding-photos-color-233.jpg
    131.5 KB · Views: 381
Kaka yangu alifunga ndoa ya kijeshi na wana magwanda na mishipi maalum kwa shughuli hiyo ilipendeza sana sana,ila sidhani kama jeshi linagharamia kitu chochote kile.it was amizing
 
Mkuu, mpe maelezo yanayojitoshereza, utaratibu ukoje na siyo kukanusha tu. Swali lake ni la msingi bahati mbaya binafsi sina jibu!

Kufunga harusi ya kijeshi ndio nini? kama ni ndoa, jeshi halifungishi ndoa, na kama ni harusi jeshi haliusiki kugharamia arusi.
 
Hivi inawezekana kufunga harusi ya kijeshi (nasikia jeshi linagharamia kila kitu) kati ya mwanmme raia (sio mjeshi) na mwanmke mjeshi.

Unapowaona askari wapo na sare za jeshi wakati wa harusi haimaanishi kuwa jeshi ndio linagharamia harusi hiyo, jeshini hata ukiomba gari tu kwa ajili ya harusi ni lazima uchangie pesa ya mafuta hakuna cha bure.
 
Mi ndg yangu alifunga harusi kwa taratibu za kijeshi hata maturubai tulinyimwa kutoka kikosini kwake, sembuse na gharama za harusi! Utangoja sana mkuu
 
Nionacho hapa kuna mtu anataka tu kukwepa gharama za harusi...
 
Hakuna kitu chcochote kinachogharamiwa na jeshi, isipokuwa mavazi tu na taratibu zingine zinakuwa kijeshi.
 
Harusi inafanyika kijeshi endapo mume ndio mwanajeshi.

Sasa huo si ubaguzi ndugu? Kama demu ni mjeshi na men ni raia tu . Haiwezekani demu akavaa kijeshi naye akafanyiwa mambo ya kumwagiwa pombe na mbwembwe nyingine za sherehe za harusi ya kijeshi?
 
taratibu tu na mavazi utavaa ya kijeshi na syo lazima, unaweza kufunga 2 kawaida kwani inakuongezea nn? raha ya kombati za jeshi kwenye uwanjawa medani bana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom