Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 11,541
- 12,401
Juzi kati nilikutana na wazee wangu wawili ambao nilipotezana nao miaka zaidi ya 17. Nikiri wazi kati ya wazee wale, mzee mmoja yuko fit sana kiafya very strong, enegic na anaonekana bado na sura yenye nuru yaani kama you na 50 Yrs. Mwingine anaonekana amechoka na kwa kweli anaonekana kusumbuliwa na maradhi kadhaa. Kazi wote walikuwa idara moja na cheo sawa so hapo nkahamasika kunena mawili matatu na yule mzee ngangali!
Tukiwa chemba kwa kweli nilivunja ukimya na kumuuliza yule mzee ambaye yupo vizuri kiafya siri ya yeye kubaki vila hadi leo, pamoja na mazoezi na kula vizuri amenieleza kuwa yeyeana-anakiri kuwa kufunga hasa kipindi cha Ramadhani kimemsaidia sana kuwa vile alivyo. Lkn kikubwa amekiri kuwa anajitahidi sana kula vzr kwa maana ya balanced diet, na kuupa mwili kiasi cha chakula ambacho ni stahiki kwa mwili kwa maana ya ujazo lkn pia anauoa mwili muda wa kupumzika.
Kwangu hili lilikuwa funzo kubwa sana na nikatoka nalo pale na kwa kifupi naangalia namna ambavyo mm pia naweza ku practice ningali kijana. Na kwa kweli nimeanza hizo harakati.
Kwa pamoja tuweni na utaratibu wa kufunga/fasting walau kwa vipindi fulani katika mwaka ili itusaidie na tuichukulie kama moja ya tiba au kinga kwa miili yetu dhidi ya maradhi.
Tusisahau mazoezi na utaratibu mzuri wa kula na kunywa.
Asanteni.