Kufunga Barabara bandari/Kurasini

AggerFirminho

JF-Expert Member
Sep 17, 2019
2,284
4,019
Sasa hivi ni saa 1 na dkk 15 tangu saa 11 jioni. Barabara imefungwa wanaruhusu wanaotoka mjini tu. Hata kama kupunguza magari. This is not right kabisa. Massaa mawili straight mnatuweka barabarani.?? Matrafiki wa hili eneo either wabadilishwe kama hii sio amri kutoka juu.
POLISI MAKAO MAKUU NI HAPO KARIBU TU. HAMLIONI HILI....sio sawa hata kidogo.
Wekeni hata namba zenu mitandaoni tuwapigie kwenye shida kama hizi.
 
Nimetoka mida hii baada ya kukaa kuanzia saa 11 kasoro.

kuna kitu hakipo Sawa maana hata magari mengi yanayotoka mbagala yanakuja Hadi bandari badala ya kupita mchepuko wa pale mivinjeni

Leo Hali ni Tete Sana hapo bandari,Askari wafanye kitu
 
Trafiki hapo anaufungua mji,
Kwa kifupi amekula kwa urefu wa kamba!
 
Nimetoka mida hii baada ya kukaa kuanzia saa 11 kasoro.

kuna kitu hakipo Sawa maana hata magari mengi yanayotoka mbagala yanakuja Hadi bandari badala ya kupita mchepuko wa pale mivinjeni

Leo Hali ni Tete Sana hapo bandari,Askari wafanye kitu
wapo tu na hawana msaada wowote
 
Nimetoka mida hii baada ya kukaa kuanzia saa 11 kasoro.

kuna kitu hakipo Sawa maana hata magari mengi yanayotoka mbagala yanakuja Hadi bandari badala ya kupita mchepuko wa pale mivinjeni

Leo Hali ni Tete Sana hapo bandari,Askari wafanye kitu
bado tumeganda. Vipi huko mbele kuna ajali yoyote? Au mambo yao ya kijinga
 
Mkuu unatokea wapi nikuelekeze chocho skuingine usiyafuate maroli nyuma utakuja kulala hapo.

Minikiyaonaga tu hapo kwenye highways nageuza.
 
tatizo nipo katikati ya magari. Hakuna kwenda mbele wala kurudi nyuma. Yaani hapa darajani kabisa geti namba 3
 
Trafiki tumemfuata anasema tu amri aliyopewa kutoka juu kuwa mjini magari ni mengi kwa hiyo mpk yaishe. Wanatia hasira sana hawa jamaa
 
Back
Top Bottom