Kufundisha na kutafsiri notes

Kichaka12

JF-Expert Member
Dec 11, 2018
296
259
Habri zenu wadau wa elimu........

wale walimu na wadau wengine wa elimu naomba wachangie tofauti ya kufundisha na kutafsiri notes ili kuwa update walimu na kuongeza ufanisi katika masaala mazima ya kujifunza....

je ni walimu wa masomo yapi hasa ambao wenyewe wanaingia class kama kutfsir tu notes na sio kufundisha...

lets talk together.

NATANGULIZA SHUKRANI KWA WADAU WOTE WA ELIMU.....
 
Wengi sana, infact karibu wote.

Wanachofanya ni kutafsiri Kiingereza kuja Kiswahili. Hakuna reasoning, hakuna substantiation, hakuna critical analysis, hakuna majadiliano ya kina, hakuna urejeleaji wa somo katika maisha ya kawaida!!

Ni mwendo wa kugeuza lugha mbili juu chini na kumeza kama makasuku!!
 
Sio kweli labda wa gvt...sasa mtu yupo shule hairuhusu kiswahili sasa hapo una tafsiri vipi mkuu
..japo kwa uzoefu wangu hili lipo sana gvt school
 
walimu wengi hawajui kufundisha.
ni mwendo wa kuwatia viboko tu watoto ili hata maswal wasiulize.
 
Wengi sana, infact karibu wote.

Wanachofanya ni kutafsiri Kiingereza kuja Kiswahili. Hakuna reasoning, hakuna substantiation, hakuna critical analysis, hakuna majadiliano ya kina, hakuna urejeleaji wa somo katika maisha ya kawaida!!

Ni mwendo wa kugeuza lugha mbili juu chini na kumeza kama makasuku!!
shukran kaka!!! nini chanzo cha tatizo na njia za kutatua zinzweza kuwa ni zipi?
 
Wengi sana, infact karibu wote.
Wanachofanya ni kutafsiri Kiingereza kuja Kiswahili. Hakuna reasoning, hakuna substantiation, hakuna critical analysis, hakuna majadiliano ya kina, hakuna urejeleaji wa somo katika maisha ya kawaida!!
Ni mwendo wa kugeuza lugha mbili juu chini na kumeza kama makasuku!!
Ukisema walimu wote unakosea, sasa mwalimu Wa hesabu anatafsiri vipi
 
Sio kweli labda wa gvt...sasa mtu yupo shule hairuhusu kiswahili sasa hapo una tafsiri vipi mkuu
..japo kwa uzoefu wangu hili lipo sana gvt school
mfano unafundisha history na unatumia english only!! si kazi yako kusoma tu notes au??? utaongezaa nini mkuu
:D:D:D
 
Wengi sana, infact karibu wote.

Wanachofanya ni kutafsiri Kiingereza kuja Kiswahili. Hakuna reasoning, hakuna substantiation, hakuna critical analysis, hakuna majadiliano ya kina, hakuna urejeleaji wa somo katika maisha ya kawaida!!

Ni mwendo wa kugeuza lugha mbili juu chini na kumeza kama makasuku!!
Hapo bila kutafsir unadhan hizi shule za st. Kayumba kuna mtt atakaelewa???

Hao wanafunz wanaokuja sekondari IQ zao zip chini sanaaa
Hata kutamka neno la kingereza ni ishu
Utamfundishaje mtt kama huyo hata kusoma sentens ya kingereza hawezi??

IF IT AINT BROKEN DONT FIX IT

ww mwenyew umefundishwa na hao hao walim ambao leo unawaponda kuwa wanatafsiri notes

DONT HURT THE HANDS THAT FEEDS U

Walim wanafanya kazi kubwa sana katika jamii ya ss
Nyie wazaz mnazalisha watt wenye uwezo mdogo halaf leo hii kuwalaumu wao hawajui kufundisha
 
aise kuna yule teacher nikiwa o level alikuwa anatufundisha agriculture module ya soil science sikuwahi ona ameingia na kitabu lkn alikuwa anafuta ubao mara nane kumi. siku ingine pindi linapigwa porini huko anaijua mimea yote na majina
 
huyo sio wale wanatafsiri notes sio?
 
KIKWAZO NAMBA MOJA CHA ELIMU TAANZANIA NI LUGHA, MENGINE NI ZIADA TU,TUCHAGUE MOJA:
TUTUMIE KIINGEREZA KUANZIA CHEKECHEA HADI UNIV.
AU TUTUMIE KISWAHILI CHEKECHEA TO UNIV.
duh!! mkuuu tuanze na wewe tutumie kipi??
 
Hapo bila kutafsir unadhan hizi shule za st. Kayumba kuna mtt atakaelewa???

Hao wanafunz wanaokuja sekondari IQ zao zip chini sanaaa
Hata kutamka neno la kingereza ni ishu
Utamfundishaje mtt kama huyo hata kusoma sentens ya kingereza hawezi??

IF IT AINT BROKEN DONT FIX IT

ww mwenyew umefundishwa na hao hao walim ambao leo unawaponda kuwa wanatafsiri notes

DONT HURT THE HANDS THAT FEEDS U

Walim wanafanya kazi kubwa sana katika jamii ya ss
Nyie wazaz mnazalisha watt wenye uwezo mdogo halaf leo hii kuwalaumu wao hawajui kufundisha
mkuu tupo kujadili tuh!! we haujawahi kufundishwa na walimu ambao hawana uwezo wakufundusha?? bali wanaingia class kutafsiri notes au kuzisoma na kusepa?? nini kifanyike tukuze elimu yetu?/
 
nini kifanyike tukuze elimu yetu?/
Bas sawa...!
Kuna mambo mwili siasa na elimu, elimu ikiingia kwenye siasa ni jambo jema ila siasa ikiingia kwenye elimu hili ni tatizo.
Upande mwingine Education is transmission of knowledge, skills and attitude ndio maana tuna three domains ambazo ni cognitive, affection na psychomotor mambo yote hayo kwa asilimia kubwa yanahusisha invisible elements ambazo impact zake ni visible, Tufanye nini? Jambo la msingi ni kusolve problems and challenges ambazo zinablock hiyo education kuwa complete ina maana kuweka conducive environment of teaching and learning activities. What are they, we know them miaka nenda miaka rudi. Kuna sehemu elimu yetu tume i dump.
 
duh!! mkuuu tuanze na wewe tutumie kipi??
Mkuu tutumie kiingereza kwa ushauri wangu. Kiswahili tutaongea mtaani. Kama wakenya mtaani wanaongea kiswahili, shuleni na maofisini kiingereza. Kwanini? Kiingereza ndio lugha ya dunia, tukubali au tukatae hatukikwepi.
 
huyo sio wale wanatafsiri notes sio?
No somo kama Agriculture, Commerce na Biology yanafundishika hadi raha. Ila njoo kwenye Physics ni shida.
Waalimu wanaoongoza kwa kupendwa mashuleni ni Biology na Commerce.
Waalimu wanaochukiwa na wanafunzi ni Maths na Physc.
 
Back
Top Bottom