Kufuli na utambuzi wa wapare, kuna ukweli wajamani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kufuli na utambuzi wa wapare, kuna ukweli wajamani.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Msandawe Halisi, Jan 20, 2011.

 1. Msandawe Halisi

  Msandawe Halisi JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Nipo maeneo ya Same, nimeamua kumpa lift mchaga wa kishimundu anaelekea kwao milimani toka Mombo baada ya bageni ya mda mreefu juu ya nauli, nikaona isiwe tabu, bora nimpe lift tu.

  Jamaa ndani ya gari ananiabarisha, ukitaka kumjua mpare katika majeruhi wa ajali kama ya basi hivi kwa jinsia ya mwanamme. Wewe tafuta kufuli ya mwanadada hasa Yule aliyenona. Pitisha katika pua za majeruhi wote. Atakayepiga chafya tu, ujue huyo ndiye mpare.
  [FONT=&quot]
  Ya Mombo Tanga nimepeleka kwenye kamati ya mapitio kabla sijaiwakilisha hapa jamvini. Ila nitawapeni kisa na mkasa cha mombo hapo baadae

  Siku njema wa JF
  [/FONT]
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  Jan 20, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Habari yake utafitiiii?? Hii moja tu
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Jan 20, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Mmmh!
   
 4. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #4
  Jan 20, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Kazi umeiona huko kwa under 18??
   
 5. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Msandawe una utani na watani zangu...juzi ulikuwa mtwara ukaleta kiroja leo upo mombo. Tafadhali usifike kwetu moshi. ishia huko huko
   
 6. Msandawe Halisi

  Msandawe Halisi JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45

  Moshi nitapita kimya kimya, hawa jamaa wamekuwa wakali katika jamvi letu hapa. Mara Ohhh! Wachaga wachaga kila siku. Mimi najua kwa nini hawa jamaa wakali ukiwagusa, WAMEFULIA JANUARY. Ngoja tuwavutie pumzi. Acha wapumzike, Hija siyo maskhara kule milimani, huwa wanashindana kuzungusha round.
   
 7. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #7
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Unajua mbege ya elfu kumi unapata lita ngapi?
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Jan 20, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Nimeiona, umefanya kazi nzuri sana!
   
 9. Msandawe Halisi

  Msandawe Halisi JF-Expert Member

  #9
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Kule ni mbege kidogo na maji ya dhahabu kwa wingi Baba angu. Mbege vitochi 2 tu, halafu heshima inafuata
   
 10. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #10
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Wanaanza na mbege wakishapata stimu ndio wanazugia na bia msandawe....
   
 11. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #11
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,481
  Likes Received: 2,072
  Trophy Points: 280
  naona una project ya kuzunguka nchi nzima maana juzi ulikuwa Rufiji ukakuta watoto wa mwenzeji wako hawafanani usisahau kupitia Sumbawanga halafu Pemba kisha malizia Mombasa kwa watani wetu wa jadi
   
 12. Msandawe Halisi

  Msandawe Halisi JF-Expert Member

  #12
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45

  Haipo kwenye ratiba yangu, ikinibidi nitaenda. Ila kwanza nitengeneze ile bati ya kufunga na kufuli sehemu ya mkanda
   
 13. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #13
  Jan 20, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Bora bana moshi we pita kimya kimya best na kweli Jnauary hii ni kufuria kwa kwenda mbele
   
 14. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #14
  Jan 20, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Hali ya maisha ilivyopanda unapata vilita 4 tu bro!
   
 15. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #15
  Jan 20, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Hali ya maisha ilivyopanda unapata vilita 4 tu bro! Bei ya ulezi,msesewwe,ndizi na maji imepanda sana
   
 16. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #16
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,481
  Likes Received: 2,072
  Trophy Points: 280
  si utanuka haja, we nenda tu bila bati akili kumkichwa
   
 17. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #17
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Kwa taharifa yako tu. Wapare ndio wanaongoza kwa kulalamika pindi wakiwa wanatongoza. Wengi wao ufikia kulia kabisa. Halafu hawa jamaa awadumu kazini mda mrefu kama ofisi ina jinsia ya kiume tu. Wanadumu pale kwenye ofisi za mchanganyiko.
   
Loading...