Kufuli na sidiria za mitumba zina usalama kiasi gani kwa afya ya uzazi??

Dumelambegu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,052
257
Ni swali tu jamani maana naona soko la bidhaa hizo limeshika kasi ya ajabu kutokana na ongezeko la wateja.
 
Sidiria hazina madhara yeyote kwa afya nafikiri mtu yeyote akinunua kitu cha mtumba lazima akifue before kukivaa, mimi nashauri mtu anaetumia bidhaa hizo akkishanunua ahakikishe amefua na ametumia deto ili kuua vijidudu kama vipo.
 
Kwani zinauzwa sh ngapi? Kwa nini tusiache tu kununua. Isije ikawa ndiyo maana vijana wengi siku hizi siyo riziki!
 
Tatizo ni umaskini wetu hatuna jinsi hivi kwann selikari isipige marufuku uingizwaji wa hizi nguo :spider:
 
nilipata kusoma mahali wanasema kiafya inashauriwa kubadili chupi/sidiria/soksi kila baada ya miezi sita.cha ajabu watu wanavaa za mitumba ambazo waweza pata fungus wasiotibika
 
Wengi wanafuata hizo coz ndo wanazimudu kwa bei lakini tunakoeleka kiuchumi kuna dalili ya baadhi ya wananchi kutovaa kabisa Chupi coz hali ya Uchumi haitaruhu na Chupi itakuwa ni a!! anasa!
 
Back
Top Bottom