Kufukuzwa Membe CCM: Hakika siasa ni Mchezo kama ilivyo Karata na Draft

Maigizo matupu.

CCM na serikali wanatakiwa si tu kuruhusu mwebyekiti aweze kuwa challenged ndani ya chama, bali pia wanatakiwa kuruhusu wagombea binafsi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani umemabiwa vikao vya CC vimeisha kwa mwaka huu au vile vyakamati ndogo vimeisha?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom