Kufukuzwa kwa Rais wa Vijana wa ANC Julius Malema na hulka za Viongozi wa Afrika kukimbia Changamoto

Ben nimesikia vizingiti kwa vijana na udhibiti na ubanaji wa uchangiaji wa fikra tofauti huko CHADEMA, sasa mabadiliko gani yataletwa na watu/ chama cha aina hii...mimi nimekua nikifikiria kujiunga huko, lakini kama nitalazimishwa kuvaa gwanda, kuimba nyimbo na fikra za mwenyekiti sijui itakua changamoto gani sasa hii..............naomba ufafanuzi au msaada wa maelezo yakinifu toka kwako
 
Ben,

Niliifurahia hii thread maana hata mm nilitaka kupost the same jana. Lakini michango ya watu naona ime divert maana nzima. Watu wamebaki kumshambulia na kumjadili Julias na wewe wakaacha jambo la msingi.

Nadhani tulitakiwa kutazama alichokuwa anakifanya, anachosimamia, nafasi yake na yaliyomkuta Julias kama kijana kisha tuone tunajifunza nn ss vjana wa Tz. Hapo tutakuwa tunaitendea haki hii post na itakuwa na maana.

Binafsi naona sisi vijana wa kitz ni waoga, tusiokuwa na msimamo, tunaodanganywa kwa rushwa za kipuuzi na hatuna msimamo hata kwenye mambo yanayotugusa. Na kama tungekuwa tunatakiwa kuwaondoa wakoloni, basi tusinge upata uhuru kabisa! We're very stupd kiasi cha kutumiwa kumnufaisha mtu kisiasa huku tukifahamu kabisa atatutupa akishafikia malengo. Tuna mifano lakini haitujifunzi. Tunaishi kwa kutegemea hisani. Shule tumesoma lakini ni waoga hata kufanya kazi. Kwa kifupi, hiki ni kizazi kinachotegemea ukombozi kutoka kwa watoto wa mtaani, chokoraa, mateja, machalii maana ndio angalau wanaujasiri kidogo!

Filipo,

Asante sana.Umeongea mambo ya msingi sana,hata hivyo sikushangaa kabisa michango iliyotolewa na baadhi ya watu.Hii inatoa taswira ya fikra za watu ndani ya Taifa hili.Hoja haijadiliwi katika kuangalia suluhisho la matatizo bali kushambulia watu bila reasoning.Hoja iliyoko mezani inatakiwa kujadiliwa katika muktadha wa comparative analysis.Ni watu wachache waliogusa juu ya yale aliyokua anasemea Julius Malema.

Kuna vijana wapo hapa kutukana watu kwa kutumia ID fake lakini ukikutana nao hadharani hivi hawana hata ujasiri wa kukuangalia usoni,vijana wanafiki wanaoishi kwa kujipendekeza na kuwa mamluki kwa kila jambo.Fikra zao zinadidimia,hisia za unafiki zimechukua sehemu ya ubongo wao.Hili ni janga la taifa,viongozi waliosonga mbele kiumri kwenye vyama vya siasa na serikalini kwa ujumla wanachangia kwa kiasi kikubwa katika hili maanake bila vijana wa aina hii viongozi hao hawawezi kuwa madarakani.

Ni jambo la fedheha sana inapotokea kijana msomi mwenye shahada yake anaburuzwa tu bila logic yoyote ya msingi.Unasaliti vijana wenzako ukiwa uanona,kuna watoto wa mitaani,kuna wamachinga wasio na elimu na hawana mazingira mazuri ya kufanya biashara,kuna wale waliohitimu shule za kata hawana pa kukimbilia.Vijana wasomi na wenye nafasi katika jumuiya za vijana ndani ya vyama vya siasa tumeshindwa kuunganisha nguvu zetu kuwapigania vijana hawa badala yake tumekuwa watu wa kujipendekeza na kupewa hela ndogo tu za kuishi na kudandia hoja zisizo na mantiki kwenye vyombo vya habari.We have no vision,we are not objective

In governance today, personal interest have overtaken the general interests of the people- of which the later is the main purpose of seeking to represent/govern any group of people. In developed countries, young people are being urged to bring their vigour to nation building. It's rather unfortunate that the reverse is the case in our country Tanzania.

We cannot overlook the fact that younger people have because of circumstances contributed to the decay in our system. They have in one way or the other allowed themselves to be used as assassins, political thugs, ballot boxes snatchers and people being used to perpetuate violence in some parts of our country for selfish gains and not for their interests. Worst of all is their fear of victimization to stage a peaceful protest when necessary.

Ukweli ni kwamba kuna ombwe la uongozi nchini!Si kwamba tunazungumza kwa wivu ila ukweli wewe SI KIONGOZI INGAWA UNAJIBARAGUA KAMA KIONGOZI!Na kwa mantiki hiyo imefikia sehemu hata vijana waliokuwa na mapenzi na nchi yao lakini hawajishughulishi na siasa directly wamefikia hatua ya kuichukia nchi yao!mimi ni mmojawapo!Aina ya vijana nyinyi wakina Ben,malisa,ridhiwani,nape na hata kwa upande mwingine Zitto mmetuharibia sana vision yetu katika politics!!Uwezo hamna wengi mmefika hapo kwa kubebwa au bahati za mtende kama wakina Zitto ingawa leo anajifaragua sana na kwa mtindo wa siasa zake za kuuza sura katika jamii yetu iliyoelemewa na matatizo lukuki kuna kipindi anafanikiwa,kuna kipindi anakoswa taswira kama sasa!!!Kifupi siasa mnazoziendesha hazina tija wala mashiko!!Ni siasa tofauti zilizoendeshwa na vijana wa Afrika kama wakina Sankara,Nyerere,Mugabe na wengineo!!!!na watu wa aina hii ndio muwazibia na wakijitokeza mnafanya hila na pengine nao pasipo kujua hujikuta wameangukia katika style ya siasa zenu!Tunahitaj watu wenye mawazo kweli ya kianamapinduzi!!Hata vijana kama wakina Silinde mmeanza kuwaingiza kwenye siasa zenu chafu na alifika hapo alipo kwa uana mapinduzi wake na sio siasa zenu chafu!Nayasema haya mimi si mwanasiasa!ni mwanataaluma mwingine kabisa and i was there during ZITTO TIMES AT UDSM!!NA SIHITAJ UNIJIBU JUA TU SIASA ZENU HAZINA MASHIKO HATAS KAMA MTAFANIKIWA SIASA ZENU HAZINA MASHIKO NA IPO SIKU MTAANGUKA TU!!

Duh......!Mkuu unataka nisikujibu ili uendelee kupotosha? Najua tumezoea kuwa na wanasiasa waongo na wanafiki,kamwe hatujazoea wanasiasa wanaojiamini na wanaosema ukweli.Ndiyo maana itachukua muda wananchi wa Taifa hili kupata ukombozi.Mimi sitaki kujadili majina ya watu.Unadai tumebebwa,siwezi kuwasemea wengine lakini kufanya kwangu siasa sijabebwa na mtu na sifikirii kubebwa na mtu.Nilipokuwa nagombea uongozi BAVICHA kama ni kubebwa ningebebwa na wajumbe ambao ni wapiga kura ambao wangekuwa na imani nami kutokana na mchango wa mawazo na vision ambayo ningekuwa nayo kwa baraza na chama changu kwa ujumla,kama ni kubebwa basi wao ndiyo wangenibeba au ndiyo wanaonibeba kwani pamoja na yote wanayo imani na mimi.

I want to use this opportunity to thank all my fans and supporters online Jamii forums,Twitter, facebook and on ground for their strong faith in me while the familiarization/1st phase of the movement lasted. I want to thank all my friends and acquaintances for believing and others for not believing in me, and those who were quick to join the movement as soon as they noticed the momentum and my burning desire to serve. I'm indebted to all the members of family (close and distant) for their love and moral support during my campaign.Uchaguzi ulikwisha,Sasa tunajenga chama chetu.

NB. Tujadili hoja iliyopo katika thread sasa
 
Ben nimesikia vizingiti kwa vijana na udhibiti na ubanaji wa uchangiaji wa fikra tofauti huko CHADEMA, sasa mabadiliko gani yataletwa na watu/ chama cha aina hii...mimi nimekua nikifikiria kujiunga huko, lakini kama nitalazimishwa kuvaa gwanda, kuimba nyimbo na fikra za mwenyekiti sijui itakua changamoto gani sasa hii..............naomba ufafanuzi au msaada wa maelezo yakinifu toka kwako

Mharakati,

Asante sana kamanda.Naona tunaweza tukajikuta tunatoka nje ya thread lakini si mbaya.

Ndani ya chama chetu kuna mapungufu madogo ambayo yanaweza tu kurekebishwa ndani ya vikao vya chama katika ngazi tofauti,nakuhakikishia kabisa haya ni mambo ambayo yapo chini ya uwezo wa chama na wanachama wake.Chadema ni chama kinachokua kwa kasi shukrani kwa viongozi wastaafu na viongozi waliopo ndani ya chama kwa sasa

Sote ni mashuhuda wa kasi ya ukuaji wa chama hiki.Hata hivyo tunapoelekea kuchukua dola ni lazima tuweke mikakati mizito ya kuahakikisha tunachukua dola na kufanya better than CCM katika serikali itakayoundwa.Mazoezi hayo ni lazima tuyafanye kwa haraka na kwa kasi zaidi kuanzia sasa.Ni lazima tujikite zaidi katika ajenda nzito hasa zinazohusu vijana kwani ndiyo asilimia kubwa ya watanzania.Future ya tanzania miaka 20-50 ijayo iko kwa vijana,tuwekeze huko kidemokrasia,kiuchumi na kijamii ili kuja kuunda taifa lililo bora

Mharakati,Tafadhali jiunge na Chadema uje tupambane tukijenge chama mbadala,Hatma ya taifa sasa ipo mikononi mwa chadema hasa ikiwa na vijana kama mimi na wewe.Njoo ujiunge chadema ili tuandae serikali mbadala,chama tawala cha baadae.Pamoja na mampungufu madogo tuliyo nayo technically hakuna chama chenye future nzuri Tanzania hii kama chadema.

Tujiunge kwa wingi chadema,tupiganie demokrasia,ili tutoe mawazo mbadala yatakayolijenga taifa hili.Sio rahisi sana kujenga chama cha upinzani kinachowindwa maadui wa wananchi kukiwemo wasaliti,usalama wa taifa,ghiliba za chama dhalimu CCM,watu wa binafsi ndani na nje ya chama kwa maslahi yao nk.Ni changamoto,tujipange kukabiliana nazo na tujenge Taasisi imara ndani ya chama kukabiliana na changamoto hizo

Btw.....Kilichotokea ndani ya chama cha ANC ni mfano mbaya wa demokrasia ya kiuwendawazimu Afrika.Maslahi ya chama yametangulia maslahi ya umma wa watu wa Afrika kusini.Hiyo ni njia ya kuzima hoja zenye maslahi kwa taifa ili kukidhi mahitaji binafsi ya kisiasa.ANC sio chama cha mfano tena Afrika hii,pengine tubakie na SWAPO,PDP ya Nigeria,NDC ya Ghana na chama cha ODM cha Kenya kama vyama vya kuigwa katika muktadha wa demokrasia
 
word..!
 
Aina ya wanasiasa kama akuna BEN you will never find them getting chance to lead!

hawa ndio wa caliber ya akina Zito na Omary Lyas wale ambao wako tayari kuandamana wakiwa wawili au mmoja tu!

hawa ni wale tunaowaita radicals kwa sababu ya maslahi yetu na caliber yetu ya ku-compromise na situation!

They are smart, nationalists and ready to do anything to defend rights!

Tatizo wasiojua issues za siasa nchi hii wako tayari kusema lolote lile because of their ignorant

sorry pengine siyo jukwaa lake hili, I have never trusted Mbowe....never

siyo kwa sababu ni mfanyabiashara
siyo kwa sababu ana urafiki na Kikwete na Lowasa
not because he is son of Late Nyerere

ila kwa sababu anawahadaa watanzania na kuwapeleka kusiko! hayuko tatayri kuchukua nchi kutoka CCM hata kwa fimbo!

these people are yudas appear in white garment as angels.....they are there for their matumbo...

If you dont believe my words..wait we have 50 yrs to remove CCM from power.

I will trust akina Ben na timu yake..

kubwa kuliko engineer
 
Hivi Ben anauhusiano gani na Zito? au ndiyo aina ya kafulila?

Sipendi kuongelea mambo kama haya.Hebu tujadili mada husika

Tatizo hatujazoea ukweli,huamini kama mtu anaweza kuwa huru katika fikra zake.Tunapenda kusikia yale tunayotaka tu.Hebu tujijenge,tuwe na uvumilivu wa kisiasa.Tukabiliane kwa hoja ndani na nje ya vyama vyetu.Let us refrain from political vendatta

We've got to re-evaluate ourselves.The truth shall set you free'. What I am saying is of primary benefit to my party and a majority of my party members feel this way.

I think I have earned the right to say I am part of the movement for national transformation and my stance is not to please anybody. My primary loyalty is to the Republic of Tanzania na watanzania kwa ujumla,watu wengine wanataka kujenga future ya taifa la kinafiki.Badae taifa litakuwa na vijana wanafiki na wazee wao muda huo sasa watakuwa wachawi,tusikubali watupeleke huko. Parties are platforms and from independence to date we have had several of them and they can be transient.

The common norm is Tanzania and what best suits Tanzania. If it suits the party, fine but I am not interested in what any cabal thinks
 
Well, what goes around, comes around.
Malema (the "tenderpreneur") was very instrumental in ousting the then SA president-Mr.
Mbeki (apparently, for no good reason) so that his "friend" Mr. Zuma can take charge of the office.
I feel no pity for him, it is high time he concentrate on his studies-it will help him argue logically.

It is unfortunate that he is portrayed as a Revolutionist while corruption and tax evasion charges
are hanging over his head and the SARS and Hawks are after him.
The Revolutionist would unite people to fight for a common goal, not divide them.
 
I am kinda predicting a gradual shift from the ANC to the DA party for some of these "black up and coming middle class" elite being created when the poor start attacking the very elite that is being created witin the ranks of the ANC and banging on the doors of the party these guys will have no choice than to shift to a party that might more protect their interests. In case mwanamama Lindiwe Mazibuko atachukua control ya DA kuna uwezekano wa division ndani ya ANC but inahitajika carefully scrutiny ya wale watakaojiunga huko as i dont support such kind of crosscarpeting unless DA change and comromise some values from it s policies modification of it s ideology to contain youths ambitions.

Maybe you are right.
I'm just wondering if it didn't happen with COPE (ANC breakaway) following Mbeki's fate in Polokwane, how can it happen now with DA.
If ANC was able to cope with the removal of Mbeki, i don't see how it can struggle with the removal of Juju-a divisive figure. Unlike CCM, ANC is a lot more democratic and its organs are very independent-can you imagine UVCCM demonstrating for economic freedom and NEC having Kikwete relieved of his power for failing to meet members' expectation? This is what keeps ANC afloat.
 
Oh Really? Hebu tuelekeze nguvu na hayo maamuzi magumu kunakostahili na kuingia kwenye solutions za matatizo ya vijana na si kutoa vitisho vya kizuzu.

Malema has been unpopular among the higher echelon of the ANC for some time now, mainly due to his stated intentions on enforcing Zimbabwe-style land grabs, on enforcing Chile-style nationalization of the mines, and on sending an ANCYL team to Botswana to overthrow the democratically elected government there. Interestingly, though, the disciplinary committee made no statements on Malema's rampant rascism

So. What's next? Does this mean that Malema's fangs have been pulled, or even slightly blunted? Of course not. First (and soon) he will mobilize his mob ANCYL members, who will be out in force and protest loudly, to the accompaniment of violence, vandalism, disorder, and the waving about of cardboard machine guns. They will demand that law and rule be set aside, and that the verdict of the ANC's disciplinary committee be summarily thrown out - not unlike the charges against Jacob Zuma shortly before his instalment election as president of South Africa.

Malama and his groupies will blame, in no particular order, nebulous Apartheid forces, political rivals within the ANC and other parties, America, white citizens of the world in general, and Hellen Zille . Malema will declare himself a martyr, a freedom fighter and an oppressed minority, and somewhere in there will be a call for the sort of violence (bombings, assassinations and sabotage) that were the hallmark of the ANC during the days of the "struggle for freedom". And when all is said and done, who knows - we may even see a new party, or at least a new ANC faction, which will be even more radical and rabid than ever before.

If I were to propose a heading for your comment, I would use in two words: "Pipe dream".
 
Well, what goes around, comes around.
Malema (the "tenderpreneur") was very instrumental in ousting the then SA president-Mr.
Mbeki (apparently, for no good reason) so that his "friend" Mr. Zuma can take charge of the office.
I feel no pity for him, it is high time he concentrate on his studies-it will help him argue logically.

It is unfortunate that he is portrayed as a Revolutionist while corruption and tax evasion charges
are hanging over his head and the SARS and Hawks are after him.
The Revolutionist would unite people to fight for a common goal, not divide them.

Oh,I see! You choose to pick the petty side of the issue.Logical argument,huh!

If I were to propose a heading for your comment, I would use in two words: "Pipe dream".

Sure,suit yourself then
 
Salamu kwa wote!!
hii issue ya Malema(??) personally sihifahamu vizuri zaidi ya kusoma some pieces hapa na pale ktk internet so sitaichangia ila kilichonifanya nikaamua kuandika ni kuwaomba kuwaachia wasouth africa matatizo yao na sisi tu-deal na ya kwetu ambayo ni mengi tu!!
Mimi nafikiri baada ya kusikia Rais wa Zanzibar akilaumu jinsi wana JF mlivyomchachafya(refer kiapo chake kama waziri) na leo nimesoma kwenye nipashe online kuwa PM jana amekiri kuwa wanapata taabu kutawala kwasababu ya maandamano ya wanaCDM na mambo kama hayo basi huu ni wakati muhafaka wa kukaza buti na kuwafanya wazidi kujua kuwa wananchi wameamka - tuyafichue mabaya yao na udhaifu wao maana wanatusoma na wanajua kuwa hatuwataki na tuzidi kuwakumbusha kila siku kuwa tunawachukia maana wametuibia future yetu!!! waswahili wana msemo..ya Ngoswe tumuachie Ngoswe.
Yangu ni hayo tu wakuu!
 
sawa bwana Ben, nafikiri niko mbioni kujiunga na CDM kama kuna mapungufu madogo dogo tutajitahidi kuyaweka sawa tukiwa ndani
 
Sio jambo la kupuuzwa hata kidogo, kuna mambo ya kujifunza kwa vyama vyetu.
They should practice the real democracy not only by preaching, we need actions.

Muda mfupi uliopita kamati ya Nidhamu ya chama cha ANC imemfungia Julius Malema kwa mika mitano na kumvua madaraka ya Urais wa Vijana pamoja na Msemaji wa ANCYL Floyd Shivambu. Malema ameonekana kwamba amechochea mgawanyiko ndani ya chama na serikali

Kilichomponza Julius Malema ni msimamo wake wa kupigania maslahi ya vijana na class ya chini ambayo haioni fursa ya kusonga mbele kwa matumaini huku uchumi wa nchi ukiendelea kuwa mikononi mwa Makaburu. Bado vijana wa Afrika kusini kama walivyo vijana wa Tanzania wanaishi kwa matumaini na hofu juu ya kesho yao. Hoja alizokuwa akipigania Malema za kufanya reforms katika sekta ya madini na Ardhi kwa maslahi ya maskini walio wengi iliungwa mkono kwa nguvu

Hoja nyingine ya kuangusha serikali vibaraka kama Botswana na kumuunga mkono Robert Mugabe imetumika kama chambo tu ili kughilibu matakwa na maslahi ya vijana na maskini wa Afrika kusini ili kukwepa kuwajibika kufanya reforms.Madai ya Julius Malema ni ya Msingi sana kama kweli Afrika kusini inataka Taifa lisonge mbele na kuepuka mapambano ya kitabaka yaani class struggle ambazo zitachochea ubaguzi zaidi.

Kitendo cha kumfukuza Julius Malema ni mwendelezo wa viongozi dhaifu na usaliti kwa umma huku wakijitahidi kukimbia matatizo yanayohitaji suluhisho. Mwenyekiti wa chama Jacob Zuma atawaambia nini au atawapa majibu gani vijana wa Afrika Kusini walioandamana juzi tu tarehe 28-29 mwezi uliopita wakiongozwa na Julius malema katika ku-address matatizo yao? Je kumfukuza Malema na viongozi waandamizi wa ANCYL ni suluhisho au jibu la msingi kwa yale waliyokuwa wanayasimamia?

Inaeleweka wazi sasa viongozi wa Afrika wanapokuwa madarakani hugeuka kuwa masultani na miungu mtu huku wakijitungia kanuni zilizoandikwa au ambazo hazijaandikwa kunyamazisha,kutisha na kuminya demokrasia pale maslahi yao ya kisiasa na kijamii yanapoguswa. Jacob Zuma na viongozi wenzake wanadhihirisha kwamba kuna mstari mwembamba kati ya hulka zao na zile za makaburu na pia mtazamo wao juu ya wananchi wa Afrika kusini na Hatima yao. Jacob Zuma anaonekana kuweka mkakati wa wazi wazi kwa kuhofia uwepo wa Malema ndani ya chama hicho ungemfanya awe one term president kwa sababu Malema alishatangaza kutomuunga mkono Mwenyekiti wake Uchaguzi ujao ndani ya Chama. Zuma anahofia kilichomkuta Thabo mbeki yeye akiwa Kapteni iliyomghilibu Mbeki pamoja na Malema aliyefanya kazi kubwa kwa imani kwamba Zuma angesimamia maslahi ya vijana na wananchi maskini.

Vijana wa Tanzania hatuna tofauti na vijana maskini wa Afrika kusini na pia viongozi wetu ingea si wote katika vyama vyetu vya siasa hawana tofauti na Jacob zuma wa Afrika Kusini. Wote wanataka kuwatumia vijana kwa ajili ya maslahi yao au kama Daraja. Tusikubaliane na hilo ni lazima tuingie mezani tuangalie ni kitu gani ambacho kila mmoja analeta. Najua kwa tabia za kuiga hata mambo yasiyo na faida hata viongozi wetu kwenye vyama vya siasa watakurupuka kuiga na kuifanya ANC kuwa Role model wao katika kunyamzisha sauti zinazohoji au zisizotaka kuburuzwa bila kujua ANC ya sasa ni ya makaburu weusi si ile ya akina Mandela tena.Sasa succeccion battle imekuwa too bitter, ANC itakuwa even more divided. Ni jukumu la Julius Malema na vijana kusimama kidete sasa hadi msaliti wa vijana na maskini wa Afrika Kusini Jacob Zuma aondoke!

Vyama vya siasa vishughulikie matatizo ya msingi na visikilize sauti za vijana. Makosa yarekebishwe, vijana wanastahili kusikilizwa na kusaidiwa na sio kutishwa. ANC itachochea mgawanyiko zaidi na kama vyama vya siasa Tanzania tunataka kutatua migogoro kwa njia hii basi igeni muone
 
Waberoya,

Mie na nyie (Wewe na Ben) tuna lengo moja ila tunapishana tu njia ya kutatua tatizo.

Mie ni mtu ninayependa Siasa Radical pia ila tu sipendi watu waliotayari kuanzisha vita huku wakijuwa wazi kuwa "They are fighting a loosing battle."

Nilishawahi kuingea na kijana mmoja wa Uganda aliyepigana sambamba na Museven na akina Kagame huko Uganda. Ilipoanza vita ya Rwanda, akanihakikishia kuwa jamaa watashinda kwa sababu wao huwa hawajitumbuzi vitani kama hawana uhakika wa kushinda. Kweli haikupita siku jamaa wameshaweka nchi mfukoni na hadi leo Kagame ni mtawala.

Kagame pamoja na kuwa ni Dikteta, ila napenda watu kama hao. Mtu anayefanya kazi usiku na mchana kuhakikisha nchi yake inakwenda vizuri. Juzi natafuta Air Tanzania WWW nikakosa, na Rwanda Air wana ya kwao nzuri kabisa na Boeng zinazidi kuongezeka.

Napenda Radicals kama Putin ambaye hatua kwa hatua anahakikisha rasilimali za nchi zinarudi mikononi mwa Serikali. Nawapenda Wachina ambao mali nyingi ziko mikononi mwa nchi na ukiiba au kufisadi, hukumu yao inajulikana.

Sasa kama mambo ya kuandamana mkiwa wawili eti tu kuonyesha jinsi ulivyo na NGANGARI, mtu kama huyo mie namuona hafai hata kuongoza familia yake achilia mbali jamii kubwa kama ya Watanzania.

Huwezi leo ukashika nchi hata kama ni Tanzania na ukawafukuza wageni wote, CCM wote ukawafunga. Nchi itakushinda kabisa kuiendesha na Idi Amini alishuhudia. Malema anataka kuipeleka SA hukooo alipo Mugabe.

Ingelikuwa Busara Malema aanze kupigana ili Serikali iichukue migodi yote kama ilivyo Russia na Putin maana visima vingi vya mafuta kwa sasa vipo chini ya Serikali.

Nitamuamini zaidi Lema hata kama atakuwa na agenda za siri kuliko watu watakaokuja na kuniambia MALEMA au MUGABE. Ukinitajia tu haya majina, naina ni walewale wanaoona Heri ya kutawaliwa na Mzungu Mweusi kuliko Mzungu Mweupe. Mie nasema wote ni Wazungu tu, potezea mbali kabisa. Tuunde nchi yenye Katiba nzuri, sheria zifuatwe na watu wote wawe sawa (almost Equal) na isitokee mtu fulani anajiweka juu ya katiba.

Ila kwa hapa tulipo Tanzania, hilo haliwezekani kabla ya kuja kichaa abadilishe kwanza akili na tabia zetu na si kufukuza au kunyang'anya watu mali. Hilo liwe na mwiisho kabisa kulifanya si la kwanza. I wish uongozi wa juu ungelishikwa na Wachina na baada ya miaka 5 tu, watu wangelikuwa wameshaanza kubadilika. Ona Arusha tangu Lema aanze, somo limeshaanza kueleweka.

Mwisho, Mbowe si kiongozi mzuri. Ila kwa hali ilivyo sasa, ni heri aendelee kuwa kiongozi kwa sababu fulanifulani. Hubadilishi kiongozi wakati wa mapambano. Ukitaka kuuwa upinzani wa kweli leo Tanzania, basi mpe Umwenyekiti Zitto maana hata mie itabidi nilipie kadi yangu ya CCM wakati namsubiri Zitto aifungishe Ndoa Chadema na CCM kama CUF huko Zenji na hapo tunarudi kuwa nchi ya Chama kimoja.
Aina ya wanasiasa kama akuna BEN you will never find them getting chance to lead!

hawa ndio wa caliber ya akina Zito na Omary Lyas wale ambao wako tayari kuandamana wakiwa wawili au mmoja tu!

hawa ni wale tunaowaita radicals kwa sababu ya maslahi yetu na caliber yetu ya ku-compromise na situation!

They are smart, nationalists and ready to do anything to defend rights!

Tatizo wasiojua issues za siasa nchi hii wako tayari kusema lolote lile because of their ignorant

sorry pengine siyo jukwaa lake hili, I have never trusted Mbowe....never

siyo kwa sababu ni mfanyabiashara
siyo kwa sababu ana urafiki na Kikwete na Lowasa
not because he is son of Late Nyerere

ila kwa sababu anawahadaa watanzania na kuwapeleka kusiko! hayuko tatayri kuchukua nchi kutoka CCM hata kwa fimbo!

these people are yudas appear in white garment as angels.....they are there for their matumbo...

If you dont believe my words..wait we have 50 yrs to remove CCM from power.

I will trust akina Ben na timu yake..
 
Kwangu mimi Malema ni muhanga wa siasa za fitina alizoziasisi yeye na akina Zuma. Kwa muonekano wa juu juu anaonekana ni mwanamapinduzi lakini katika hali halisi huyu alikua mlevi wa madaraka.
 
Sio jambo la kupuuzwa hata kidogo, kuna mambo ya kujifunza kwa vyama vyetu.
They should practice the real democracy not only by preaching, we need actions.

Cyprian,

Ni kweli kabisa,kuna watu hawataki kuliona hili.Wanasema viongozi tulio nao ni reflection ya jamii wanayoiongoza.Nahisi bado watanzania walio wengi na hasa vijana hawajajua wanataka nini hasa.

There are three main reasons Juju is out.

First of all - he's guilty. He repeatedly violated the ANC's code of conduct. The rules are pretty clear.

Secondly - there's politics. President Jacob Zuma is running for a second term next year. Julius Malema had become a powerful, outspoken rival. He's a threat for his re-election bid

Thirdly - there's the money. Juju's Mugabe-style rhetoric about nationalising the mines, and seizing white-owned land, has been scaring away foreign investors(according to zuma's camp). Wanadai kwamba Mr Malema has become a national security risk. He has to go.

And so he has. At least, he will go if an appeal fails, as seems likely.

My advice to Malema,arudi mtaani na anzishe vuguvugu la kweli.Madai yake ni ya msingi unless siku watakapotupa rufaa yake basi ANC wawe wamegundua kosa lao na kutoa work-plan ya kufanyia kazi aliyokuwa anadai malema.Again wakifanya hivyo,watakuwa wamejiumbua wenyeewe na Malema atazidi kuingia mioyoni mwa watu

@Mharakat,

Mkuu karibu sana chadema.Njoo tupige kazi kamanda
 
Kwangu mimi Malema ni muhanga wa siasa za fitina alizoziasisi yeye na akina Zuma. Kwa muonekano wa juu juu anaonekana ni mwanamapinduzi lakini katika hali halisi huyu alikua mlevi wa madaraka.

Kikao cha juzi kilionyesha Jacob Zuma alivyo msaliti kwa matakwa ya umma ambao vijana ni zaidi ya Asilimia 50 ya population ya South Africa.Zuma ni Traitor kwa South Africans na Africa kwa ujumla.Jinsi alivyomsaliti Comrade Muammar Ghaddafi ilikuwa aibu.Ameingia katika historia ya kulainisha kazi ya colonization of Africa by western imperialists. A shameless puppet.......!
 
Waberoya,

Mie na nyie (Wewe na Ben) tuna lengo moja ila tunapishana tu njia ya kutatua tatizo.

Mie ni mtu ninayependa Siasa Radical pia ila tu sipendi watu waliotayari kuanzisha vita huku wakijuwa wazi kuwa "They are fighting a loosing battle."

Nilishawahi kuingea na kijana mmoja wa Uganda aliyepigana sambamba na Museven na akina Kagame huko Uganda. Ilipoanza vita ya Rwanda, akanihakikishia kuwa jamaa watashinda kwa sababu wao huwa hawajitumbuzi vitani kama hawana uhakika wa kushinda. Kweli haikupita siku jamaa wameshaweka nchi mfukoni na hadi leo Kagame ni mtawala.

Kagame pamoja na kuwa ni Dikteta, ila napenda watu kama hao. Mtu anayefanya kazi usiku na mchana kuhakikisha nchi yake inakwenda vizuri. Juzi natafuta Air Tanzania WWW nikakosa, na Rwanda Air wana ya kwao nzuri kabisa na Boeng zinazidi kuongezeka.

Napenda Radicals kama Putin ambaye hatua kwa hatua anahakikisha rasilimali za nchi zinarudi mikononi mwa Serikali. Nawapenda Wachina ambao mali nyingi ziko mikononi mwa nchi na ukiiba au kufisadi, hukumu yao inajulikana.

Sasa kama mambo ya kuandamana mkiwa wawili eti tu kuonyesha jinsi ulivyo na NGANGARI, mtu kama huyo mie namuona hafai hata kuongoza familia yake achilia mbali jamii kubwa kama ya Watanzania.

Huwezi leo ukashika nchi hata kama ni Tanzania na ukawafukuza wageni wote, CCM wote ukawafunga. Nchi itakushinda kabisa kuiendesha na Idi Amini alishuhudia. Malema anataka kuipeleka SA hukooo alipo Mugabe.

Ingelikuwa Busara Malema aanze kupigana ili Serikali iichukue migodi yote kama ilivyo Russia na Putin maana visima vingi vya mafuta kwa sasa vipo chini ya Serikali.

Nitamuamini zaidi Lema hata kama atakuwa na agenda za siri kuliko watu watakaokuja na kuniambia MALEMA au MUGABE. Ukinitajia tu haya majina, naina ni walewale wanaoona Heri ya kutawaliwa na Mzungu Mweusi kuliko Mzungu Mweupe. Mie nasema wote ni Wazungu tu, potezea mbali kabisa. Tuunde nchi yenye Katiba nzuri, sheria zifuatwe na watu wote wawe sawa (almost Equal) na isitokee mtu fulani anajiweka juu ya katiba.

Ila kwa hapa tulipo Tanzania, hilo haliwezekani kabla ya kuja kichaa abadilishe kwanza akili na tabia zetu na si kufukuza au kunyang'anya watu mali. Hilo liwe na mwiisho kabisa kulifanya si la kwanza. I wish uongozi wa juu ungelishikwa na Wachina na baada ya miaka 5 tu, watu wangelikuwa wameshaanza kubadilika. Ona Arusha tangu Lema aanze, somo limeshaanza kueleweka.

Mwisho, Mbowe si kiongozi mzuri. Ila kwa hali ilivyo sasa, ni heri aendelee kuwa kiongozi kwa sababu fulanifulani. Hubadilishi kiongozi wakati wa mapambano. Ukitaka kuuwa upinzani wa kweli leo Tanzania, basi mpe Umwenyekiti Zitto maana hata mie itabidi nilipie kadi yangu ya CCM wakati namsubiri Zitto aifungishe Ndoa Chadema na CCM kama CUF huko Zenji na hapo tunarudi kuwa nchi ya Chama kimoja.

What should I say?

You have slightly change my mind and approach.....,

Thanks for great word

"fight the battle that you are 99% sure you will win"
 
Back
Top Bottom