Mosse Anney
Member
- Feb 6, 2019
- 11
- 3
Habarini wadau napenda kuuliza mtu anapo fukuzwa kazi na anamkataba wakudumu na amefanya kazi zaidi ya miaka mitano je anatakiwa kupewa haki zipi?
MhAtapewa haki zilizopo kwenye huo mkataba alio nao. Maana umesema ana mkataba wa kudumu. Huo lazima utakuwa na haki na wajibu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuacha au kuachishwa kazi.