Kufukiza sumu ya wadudu ktk nyumba(fumigation )

leipzig

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
2,772
2,000
Ktk kipindi hiki cha homa ya dengue naona kuna umuhimu wa kufukiza simu ya kuuwa wadudu mbalimbali ktk nyumba tunazoishi na familia zetu ili kujikinga na maradhi ikiwemo hoja ya dengue. Je ni sumu gani inatumika na matumizi na matumizi yake ni vipi?natakiwa kutumia mara ngapi kwa mwaka?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom