Kufuga ng`ombe usiyemkamua

ipo faida kubwa tu,
mbona kuna watu wanafuga madume na madume hayo yanatumika katika kupandishia! haha!
 
Kwani faida ya ng'ombe ni maziwa tu?
Unaweza kumfuga kwa purposes zingine kama mbolea, FAHARI(prestige), na kuolea wake!..huh!
 
Kwani faida ya ng'ombe ni maziwa tu?
Unaweza kumfuga kwa purposes zingine kama mbolea, FAHARI(prestige), na kuolea wake!..huh!
hata kitoweo mkuu (nyama), ngozi huweza kutumika kama mavazi
 
:mad:Kuna faida gani au hasara gani ya kufuga ng`ombe usiyemkamua?

nifuge halafu nikamue??? kamwe siwezi kufanya hivyo... hivi kweli mtu unaweza kufuga miaka hiii halafu ukakamua?? duh:eek::confused:

sina haja ya kufuga ngombe halafu nikamue;

  • kwanza kama naweza fuga basi ntalipa kijana akamue hayo maziwa
  • pili akiwa dume ntamla au kupandisha kwa wengine
 
Si utapata hasara???? bora usifuge!!!!!!
 
Si utapata hasara???? bora usifuge!!!!!!

swali lako lilikua ni kukamua ni sio kunywa hayo maziwa au kuyauza.... mimi sintakamua maziwa ya ngombe ninayefuga.... ntaajiri kijana atakamu na tutauza hakuna hasara

au swali lako sijalielewa? hivi uliuliza kukamua? au kufaidika na maziwa?
 
  • kwanza kama naweza fuga basi ntalipa kijana akamue hayo maziwa
  • pili akiwa dume ntamla au kupandisha kwa wengine
kama ulikuwepo vile!
 
kama ulikuwepo vile!
huyu bwana anajichanganya... yeye kauliza kukamua, hakuuliza kufaidika na huyo ngombe sasa anataka twende nje ya mstari?? haiwezekani

ngombe asieykamuliwa anafugika na hana hasara... as long as we stick to the question unless aje na maswali ya nyongeza
 
Hii habari imewekwa kwenye jukwa la mahusiano, labda alikuwa na maana ya kuwa na girl friend unamsaidia kimaisha lakini hayupo tayari kushirikiana naye katika tendo la ndoa, hiyo ni kwa lugha za mitaani, utasikia wakisema kwanini ufuge ng'ombe wakati unaweza nunua maziwa, hapo wakiwa na maana ya hit and run
 
wote hao wanjua hivyo, basi tu wanachangamsha jamvi.......................
 
Kama ng'ombe amefika muda muafaka wa kukamuliwa, usipomkamua madhiwa yatamwagika. Au wafugaji wengine watakamua. na kule akikamuliwa vizuri, kwako harudi ng'o.

Kwahiyo, ni heri ukamue. Vinginevyo usifuge kabisa.
 
umenikumbusha kuna jamaa tulikuwa tunamwambia anashika mapembe, wengine wanakamua!!
 
Back
Top Bottom