Emanuel Makofia
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 3,832
- 630
Kuna faida gani au hasara gani ya kufuga ng`ombe usiyemkamua?
hata kitoweo mkuu (nyama), ngozi huweza kutumika kama mavaziKwani faida ya ng'ombe ni maziwa tu?
Unaweza kumfuga kwa purposes zingine kama mbolea, FAHARI(prestige), na kuolea wake!..huh!
Kuna faida gani au hasara gani ya kufuga ng`ombe usiyemkamua?
nifuge halafu nikamue??? kamwe siwezi kufanya hivyo... hivi kweli mtu unaweza kufuga miaka hiii halafu ukakamua?? duh
sina haja ya kufuga ngombe halafu nikamue;
- kwanza kama naweza fuga basi ntalipa kijana akamue hayo maziwa
- pili akiwa dume ntamla au kupandisha kwa wengine
hata kitoweo mkuu (nyama), ngozi huweza kutumika kama mavazi
Kwani faida ya ng'ombe ni maziwa tu?
Unaweza kumfuga kwa purposes zingine kama mbolea, FAHARI(prestige), na kuolea wake!..huh!
Si utapata hasara???? bora usifuge!!!!!!
kama ulikuwepo vile!
- kwanza kama naweza fuga basi ntalipa kijana akamue hayo maziwa
- pili akiwa dume ntamla au kupandisha kwa wengine
huyu bwana anajichanganya... yeye kauliza kukamua, hakuuliza kufaidika na huyo ngombe sasa anataka twende nje ya mstari?? haiwezekanikama ulikuwepo vile!
Hii habari imewekwa kwenye jukwa la mahusiano, labda alikuwa na maana ya kuwa na girl friend unamsaidia kimaisha lakini hayupo tayari kushirikiana naye katika tendo la ndoa, hiyo ni kwa lugha za mitaani, utasikia wakisema kwanini ufuge ng'ombe wakati unaweza nunua maziwa, hapo wakiwa na maana ya hit and run