Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,598
- 1,233
Usipime!
Sasa mbona unaguna Mkuu?Mhhhhh!!!! :suspicious::suspicious::suspicious:
Sasa mbona unaguna Mkuu?
Kwa Washashi ao fisi ni kama vile paka, au mbwa. Ndo dizaini yao hao jamaa!Sasa mbona unaguna Mkuu?
Mbona Shinyanga watu wanafuga fisi!?Afrika magharibi kweli nao hamnazo!
Mkuu ni kweli lakini huwezi kuzurura nao hivyo, nafikiri unakumbuka yule bwana aliyecheza na fisi mbele ya Waziri mkuu akifikiri ni sifa, baada ya Mheshimiwa kuondoka tu Maliasili wakamtokea.Mbona Shinyanga watu wanafuga fisi!?
Dr P huo utakuwa ni hyenaphobia...ni mbaya sana huo ugonjwa...kama kuna fisi pembeni basi hakikisha wakati wa kutembea usining'inize mikono...hivi kwa nini naogapa fisi namna hii.......je nina ugonjwa....?cc...Dr watu8......