Kufuatia nguvu inayotumika kuua sifa nzuri za Magufuli, tutgemee nini Watanzania?

Criterion

JF-Expert Member
Jan 8, 2008
11,798
11,881
Ninapata wasiwasi mkubwa sana kuelewa agenda iliyochini ya carpet kutokana na nguvu kubwa ya ghafla inayotumika kuua sifa za magufuli.

Kuwa brainswash Watanzania ili waone Magufuli was wrong and really a bad person, kunalenga kuwafanya waamini kinyume cha mema ya magufli. Magufli amefanya mambo mema sana kwa Tanzania hadi dunia nzima walimvulia kofia. Huyu mwenye kutaka kuwafumba macho Watanzania analengo la kuturejeshea Tanzania ipi?
Kusudi kubwa ni nini?

Je, ni Kwamba hakuna mtu anayeweza kuendeleza kiwango cha Maguli ihivo walio hai wanajaribu kuhalalisha viwango dhaifu ili wasiabike?

Ni kwamba chama hakina mtu kama Magufli tena na hivo wameamua kufanya kampeni dhidi ya ufanisi wa Magufuli ili kuwafanya watu waifanye refeence kwake?

Kuna mtu gani ambaye anataka kufufua Tanzania iliyokuwa imedumaa na kujaa ufisadi rushwa na kila aina ya ubadhilifu na utendaji mbovu?

Ni mtu gani mwenye nuvu huyu anayetaka kuhariibu hatua tulizofikia hata kuturudisha kwenye mikataba fisadi iliyokuwa inatuuza sisi na uzao wetu ili tuwe watumwa katika nchi yetu tukisubiri kuawa pamoja na vizazi vyetu?

Huyu binadamu asiye kuwa huruma wala haya, anataka nini hasa?

Watanzania tumkatae mtu yeyote, hasa wala wanafiki waliokuwa hata wanamwita Magu kuwa mungu wao, wanapotaka kutuyumbisha tuwafuate wao. Hawa watu hawatufai katika nchi yetu. Tuwakatae kwa nia moja. Tumpe support mama Suluhu katika kuendeleza kasi ya nuru ya taifa na tusione haya kumwambia pale anapozidiwa na mawimbi ya mafisadi ambao inaonekana wana agenda mbaya sana.

Ninaomba tupeleke habari hizi kwa kil Mtanzania. Ninaona Giza mbele tena si mbali iwapo ccm wataendelea na mchezo huu wanaoucheza ili kuturejesha kwenye ccm fisadi na rushwa.
 
Wengi wetu tunafumbia mema mengi ya Ilani ya Uchaguzi Mkuu wa CCM, 2015 yaliyofanywa kwa usimamizi na maamuzi magumu ya Hayati Magufuli na kuweka matumaini kwa kisichojulikana mbele yetu. Ila Wahenga walinena Umdhaniaye Ndiye, Siye.
 
Hizi topics tumezichoka everyday Magufuli Magufuli ,he is gone na tuna Rais mwingine, huyo hata iweje hatarudi tena Duniani tumuongelee Mama Rais wetu this time inaboa sana muda mwingi Magufuli alifanya hiki mara hiki ,people know Magufuli alikuwepo but kwa sasa hayupo na hatarudi
 
Ninapata wasiwasi mkubwa sana kuelewa agenda iliyochini ya carpet kutokana na nguvu kubwa ya ghafla inayotumika kuua sifa za magufuli.

Kuwa brainswash Watanzania ili waone Magufuli was wrong and really a bad person, kunalenga kuwafanya waamini kinyume cha mema ya magufli. Magufli amefanya mambo mema sana kwa Tanzania hadi dunia nzima walimvulia kofia. Huyu mwenye kutaka kuwafumba macho Watanzania analengo la kuturejeshea Tanzania ipi?
Kusudi kubwa ni nini?

Je, ni Kwamba hakuna mtu anayeweza kuendeleza kiwango cha Maguli ihivo walio hai wanajaribu kuhalalisha viwango dhaifu ili wasiabike?

Ni kwamba chama hakina mtu kama Magufli tena na hivo wameamua kufanya kampeni dhidi ya ufanisi wa Magufuli ili kuwafanya watu waifanye refeence kwake?

Kuna mtu gani ambaye anataka kufufua Tanzania iliyokuwa imedumaa na kujaa ufisadi rushwa na kila aina ya ubadhilifu na utendaji mbovu?

Ni mtu gani mwenye nuvu huyu anayetaka kuhariibu hatua tulizofikia hata kuturudisha kwenye mikataba fisadi iliyokuwa inatuuza sisi na uzao wetu ili tuwe watumwa katika nchi yetu tukisubiri kuawa pamoja na vizazi vyetu?

Huyu binadamu asiye kuwa huruma wala haya, anataka nini hasa?

Watanzania tumkatae mtu yeyote, hasa wala wanafiki waliokuwa hata wanamwita Magu kuwa mungu wao, wanapotaka kutuyumbisha tuwafuate wao. Hawa watu hawatufai katika nchi yetu. Tuwakatae kwa nia moja. Tumpe support mama Suluhu katika kuendeleza kasi ya nuru ya taifa na tusione haya kumwambia pale anapozidiwa na mawimbi ya mafisadi ambao inaonekana wana agenda mbaya sana.

Ninaomba tupeleke habari hizi kwa kil Mtanzania. Ninaona Giza mbele tena si mbali iwapo ccm wataendelea na mchezo huu wanaoucheza ili kuturejesha kwenye ccm fisadi na rushwa.
Magufuli alijiharibia sifa mwenyewe kwa maneno yake ya kunya na papara zake.

Watu tulimsema tangu kabla hajafa na tutaendelea kumsema sasa.

Kadiri siku zinavyozidi kwenda ndivyo watu wanavyozidi kufunguka.

Ndiyo maana Leo mzee ruksa alienda kumuona mama, mzee kashaona tayari wale wendawazimu wana jambo lao hatari. Mzee ruksa alikuwa anamkubali sana hayati Magu.
 
Sifa kuu za Magufuli zilikuwa ni kujisifia, kujigamba, kulazimisha, kudhulumu, kukamata, kutesa, kuua, kufilisi na kufisadi. Sasa sijui kama ni sifa ni nzuri au mbaya, bali sisi tunajua ndio sifa zake.

Marehemu alikuwa mtu wa ajabu sana.
 
Sifa zake nzuri zipo kwenye record na zinaheshimiwa ila sifa mbaya pia lazima zitajwe na zitabakia pia kwenye record pasipo kufuta hizo sifa zake nzuri.
Kuwa mvumilivu tu chuma kimeenda kweli.
 
Ninapata wasiwasi mkubwa sana kuelewa agenda iliyochini ya carpet kutokana na nguvu kubwa ya ghafla inayotumika kuua sifa za magufuli.

Kuwa brainswash Watanzania ili waone Magufuli was wrong and really a bad person, kunalenga kuwafanya waamini kinyume cha mema ya magufli. Magufli amefanya mambo mema sana kwa Tanzania hadi dunia nzima walimvulia kofia. Huyu mwenye kutaka kuwafumba macho Watanzania analengo la kuturejeshea Tanzania ipi?
Kusudi kubwa ni nini?

Je, ni Kwamba hakuna mtu anayeweza kuendeleza kiwango cha Maguli ihivo walio hai wanajaribu kuhalalisha viwango dhaifu ili wasiabike?

Ni kwamba chama hakina mtu kama Magufli tena na hivo wameamua kufanya kampeni dhidi ya ufanisi wa Magufuli ili kuwafanya watu waifanye refeence kwake?

Kuna mtu gani ambaye anataka kufufua Tanzania iliyokuwa imedumaa na kujaa ufisadi rushwa na kila aina ya ubadhilifu na utendaji mbovu?

Ni mtu gani mwenye nuvu huyu anayetaka kuhariibu hatua tulizofikia hata kuturudisha kwenye mikataba fisadi iliyokuwa inatuuza sisi na uzao wetu ili tuwe watumwa katika nchi yetu tukisubiri kuawa pamoja na vizazi vyetu?

Huyu binadamu asiye kuwa huruma wala haya, anataka nini hasa?

Watanzania tumkatae mtu yeyote, hasa wala wanafiki waliokuwa hata wanamwita Magu kuwa mungu wao, wanapotaka kutuyumbisha tuwafuate wao. Hawa watu hawatufai katika nchi yetu. Tuwakatae kwa nia moja. Tumpe support mama Suluhu katika kuendeleza kasi ya nuru ya taifa na tusione haya kumwambia pale anapozidiwa na mawimbi ya mafisadi ambao inaonekana wana agenda mbaya sana.

Ninaomba tupeleke habari hizi kwa kil Mtanzania. Ninaona Giza mbele tena si mbali iwapo ccm wataendelea na mchezo huu wanaoucheza ili kuturejesha kwenye ccm fisadi na rushwa.
huwezi ku brain wash watu wengi kiasi hiki mkuu kilichopo ndicho kilichopo kwamba alikuwa na mambo yaliyokuwa chini ya carpet ambayo wengi waliysema na sasa imekuwa proved huwezi kuukataa ukweli kuna sehemu haiko sawa yeye pia ni mwanadam sio kwamba wanamcahfua na kikubwa sana ambacho watu wanashangaa ni alivokua anasema pesa haibiwi na kujigamba majukwaani kumbe kuna mambo mengine yapo na ya kushangaza ndio watu ambacho hawaaamini
 
Ninapata wasiwasi mkubwa sana kuelewa agenda iliyochini ya carpet kutokana na nguvu kubwa ya ghafla inayotumika kuua sifa za magufuli.

Kuwa brainswash Watanzania ili waone Magufuli was wrong and really a bad person, kunalenga kuwafanya waamini kinyume cha mema ya magufli. Magufli amefanya mambo mema sana kwa Tanzania hadi dunia nzima walimvulia kofia. Huyu mwenye kutaka kuwafumba macho Watanzania analengo la kuturejeshea Tanzania ipi?
Kusudi kubwa ni nini?

Je, ni Kwamba hakuna mtu anayeweza kuendeleza kiwango cha Maguli ihivo walio hai wanajaribu kuhalalisha viwango dhaifu ili wasiabike?

Ni kwamba chama hakina mtu kama Magufli tena na hivo wameamua kufanya kampeni dhidi ya ufanisi wa Magufuli ili kuwafanya watu waifanye refeence kwake?

Kuna mtu gani ambaye anataka kufufua Tanzania iliyokuwa imedumaa na kujaa ufisadi rushwa na kila aina ya ubadhilifu na utendaji mbovu?

Ni mtu gani mwenye nuvu huyu anayetaka kuhariibu hatua tulizofikia hata kuturudisha kwenye mikataba fisadi iliyokuwa inatuuza sisi na uzao wetu ili tuwe watumwa katika nchi yetu tukisubiri kuawa pamoja na vizazi vyetu?

Huyu binadamu asiye kuwa huruma wala haya, anataka nini hasa?

Watanzania tumkatae mtu yeyote, hasa wala wanafiki waliokuwa hata wanamwita Magu kuwa mungu wao, wanapotaka kutuyumbisha tuwafuate wao. Hawa watu hawatufai katika nchi yetu. Tuwakatae kwa nia moja. Tumpe support mama Suluhu katika kuendeleza kasi ya nuru ya taifa na tusione haya kumwambia pale anapozidiwa na mawimbi ya mafisadi ambao inaonekana wana agenda mbaya sana.

Ninaomba tupeleke habari hizi kwa kil Mtanzania. Ninaona Giza mbele tena si mbali iwapo ccm wataendelea na mchezo huu wanaoucheza ili kuturejesha kwenye ccm fisadi na rushwa.
Mbowe ni mnafiki na wakala wa wazungu anatafuta huruma ya mama Samia ili dili lake alilokula 10% kwa kuleta chanjo Tanzania.

Kwa nini hakuyasema kipindi Magufuli yupo?
 
Ukweli utabaki pale pale kuwa JPM ndio kiongozi tuliekuwa tunamuitaji kipindi kile japo kuna mtu ameanza kufanya kampeni kabla ya NEC kutangaza tarehe ya uchaguzi

Propaganda na uongo na kujipendekeza ni moja ya asili ya watanzania, propaganda ya kuchafuana alianzisha Nyerere tuliimbishwa nyimbo kuwa Iddy Amini anakula nyama za watu na minyimbo kibao ya kashfa lakini ukifika Kampala leo ukiuliza Amini alikuwa kiongozi wa namna gani utashangaa sana so siwezi shangaa zikianza propaganda kuwa JPM alikuwa katili,Dictator na wakampa kashfa tele hawawezi kubadili ukweli kuwa hata huyu wanaemsifu na kumuabudu alikuwa second in command japo kwa yanayoendelea unaweza kudhani uchaguzi ulifanyika tarehe March 17, 2021 na serikali mpya kuapishwa March 19, 2021
 
Mbowe ni mnafiki na wakala wa wazungu anatafuta huruma ya mama Samia ili dili lake alilokula 10% kwa kuleta chanjo Tanzania.

Kwa nini hakuyasema kipindi Magufuli yupo?
 
Ninapata wasiwasi mkubwa sana kuelewa agenda iliyochini ya carpet kutokana na nguvu kubwa ya ghafla inayotumika kuua sifa za magufuli.

Kuwa brainswash Watanzania ili waone Magufuli was wrong and really a bad person, kunalenga kuwafanya waamini kinyume cha mema ya magufli. Magufli amefanya mambo mema sana kwa Tanzania hadi dunia nzima walimvulia kofia. Huyu mwenye kutaka kuwafumba macho Watanzania analengo la kuturejeshea Tanzania ipi?
Kusudi kubwa ni nini?

Je, ni Kwamba hakuna mtu anayeweza kuendeleza kiwango cha Maguli ihivo walio hai wanajaribu kuhalalisha viwango dhaifu ili wasiabike?

Ni kwamba chama hakina mtu kama Magufli tena na hivo wameamua kufanya kampeni dhidi ya ufanisi wa Magufuli ili kuwafanya watu waifanye refeence kwake?

Kuna mtu gani ambaye anataka kufufua Tanzania iliyokuwa imedumaa na kujaa ufisadi rushwa na kila aina ya ubadhilifu na utendaji mbovu?

Ni mtu gani mwenye nuvu huyu anayetaka kuhariibu hatua tulizofikia hata kuturudisha kwenye mikataba fisadi iliyokuwa inatuuza sisi na uzao wetu ili tuwe watumwa katika nchi yetu tukisubiri kuawa pamoja na vizazi vyetu?

Huyu binadamu asiye kuwa huruma wala haya, anataka nini hasa?

Watanzania tumkatae mtu yeyote, hasa wala wanafiki waliokuwa hata wanamwita Magu kuwa mungu wao, wanapotaka kutuyumbisha tuwafuate wao. Hawa watu hawatufai katika nchi yetu. Tuwakatae kwa nia moja. Tumpe support mama Suluhu katika kuendeleza kasi ya nuru ya taifa na tusione haya kumwambia pale anapozidiwa na mawimbi ya mafisadi ambao inaonekana wana agenda mbaya sana.

Ninaomba tupeleke habari hizi kwa kil Mtanzania. Ninaona Giza mbele tena si mbali iwapo ccm wataendelea na mchezo huu wanaoucheza ili kuturejesha kwenye ccm fisadi na rushwa.
Sifa ipi nzuri alituachia? Report ya CAG imemaliza. Udikteta wake haukubaliki. Sheria za kuibia watu pesa na mali zao bila mtutu wa bunduki Yaani ujambazi bila silaha!!! Watu waliomkosoa kupotea na wasijukikane walipo mpaka leo; kupiga risasi kwa mtanzania mwenye akili ya kuhoji, kunyimwa uhuru wa Habari ili yasiandikwe mabaya ya Ufisadi wa awamu yake; watu kukamatwa na kuteswa kisa eti wanemuandika Rais vibaya. Yaani mbona mlolongo ni mrefu sana? Hivyo hawezi kukumbukwa kwa kuwa mateso na machungu yamefuta yale mazuri yote aliyofanya na kodi zetu pamoja na pesa ya kunyanganya watu. Hiyo miradi inaweza kuwa na laana maana kuna pesa haramu za watu walichukuliwa kibabe. Ngoja wajipange wote waje front kuelezea mateso wakiyopitia na pesa walizolazimishwa kuhamisha kutoka kwenye account zao.
RAIS wetu kipenzi mfuta machozi ya Watanzania Mungu alishatupa. Yaani kiwango cha FURAHA ni kikubwa mno. Make Tanzania Happy Again=MATHA
 
Alipokuwa hai ulikuwa ni wakati wake wa kusifiwa MEMA, hakutaka kuambiwa MABAYA. Sasa kwa kuwa hayupo, basi acha watu waseme 'UPUUZI' wa Shujaa (kutema nyongo) maana hakuna wa kuamrisha kuteka, kutesa, kubambika kesi! Shujaa alitumia UMAFIA kunyamazisha watu, acha sasa watu WASEME.
 
Back
Top Bottom