Ndugu zangu vyeti feki ni "mass destruction weapon" na kwa mtizamo wangu hii ni hatari kuliko kitu kingine chochote.
Taifa likilea tabia ya kufoji vyeti kwanza matatizo yanaongezeka. Yaani unakuwa na ignorant people disguised as educated ones" unategemea nini?
uwe na mtu hana taaluma ya udaktari lakini anacheti cha udaktari hivi unafikiri huyo anatoa tiba au anaua watu?
uwe na mhandisi hana taaluma ya uhandisi lakini asimamisha majengo kwa kuaminiwa kupitia makaratasi yake, hivi hayo sio mabomu yanayotegeshewa kuzika mass?
ki msingi kitu chochote ambacho mtu anachukua kutumia yeye mwenyewe kina madhara kidogo katika jamii kulinganisha na kitu ambacho mtu anachukua kuhudumia jamii.