Mnajua ndugu watanzania hizi siasa majitaka tusipokuwa makini kila mtu atakuwa Lisu kulaumu watu wasiojulikana while wewe mwenyewe hujulikani.
Hii hali yakuzorota mabenki walahi nawaambia kuna CO na wakurugenzi wanaenda kunyea jela wa kwanza kwenye ile benki kubwa ambayo ipo mpaka nje ya nchi.
Watu wamefanya mambo mabaya sana jamani nawaambia mchukieni huyu rais ila kunasiku mtamuomboleza kama amekufa baba yenu kwakweli inatisha sana.
Hivi kuna mtanzania anajuwakile kilikuwa kinaendelea kwenye huh utitiri wa mabank ya biashara? Eti kukuwa kwa uchumi hivi tumelogwa na nani?
Magufuli ndio alietoa kibali mfungue mabank nakuyapa hadhi yakomesho bank while dp zao zipo chini? Ama mashetani gani yanawatesa wa Tanzania.
Magufuli ndie alikuwa amesema CO na MD wa hizi banks wapike mahesabu na mwisho wa mwaka walipane mabonas na mishahara kupanda while wanakusanya hewa jamani nani katuloga?
Magufuli ndie aliwaambia mkopeshe chini yakiwango mtumke hati zisizo kuwa kamili mwisho mikopo imekuwa chechefu NPl zimepanda nani kawaloga nyie.
Jamani na Mungu atupe uzima hakuna atakaye pona kwenye hili watu wamefilisi taifa wamefanya mambo ya hovyo kabisa na Magu hatowaacha walale kwwnye magorofa waliochuma kwa wizi.
Picha imeanza hakuna kulala alie sema anangatuka uwenda asifike maana next pics wote mtalala chini nakusema Mungu tusamehe.