MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,237
- 50,400
Hapa ndipo demokrasia imetufikisha, maandamano Nairobi yamefanyika kwa amani, huku polisi wakilinda waandamanaji bila visa vyovyote. Ndugu zetu kule Kisumu na Migori wanafaa nao waige huu mfano. Inawezekana na imewezekana Wakenya kujitokeza barabarani na kuandamana bila uvunjivu wa amani.
Japo kuna visa vidogo vidogo nje ya mji, kama vile Kibera na Mathare, lakini wengine wote wamedumisha uelewano na ukomavu wa kisiasa. Haki yao ya msingi ya kuandamana wameitekeleza bila fujo na bila kutuzingua sisi ambao hatuandamani.
Hongera Wakenya, Mungu ibariki Kenya.