Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,645
- 155,004
Jamaa yangu ana demu wake (sio mchumba wala mke) anakaa nae kwenye nyumba ya chumba kimoja na sebule.
Mchana huu wa leo kapokea ujumbe kutoka kwa kaka wa girlfriend wake akimuomba aje Dsm kwa mapumziko ya Xmas na mwaka mpya. Chumba chenyewe kimetengwa kwa pazia kati ya chumba na sebule.
Hii imekaaje wazee, je ni sehemu ya maadili yetu Kiafrika?
Mamndenyi, watu8, Mtambuzi, Madame B, na mwaJ mnahusika

Last edited by a moderator: