Kufikia ghetto kwa Boyfriend wa DADA YAKO

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,597
154,862
Jamaa yangu ana demu wake (sio mchumba wala mke) anakaa nae kwenye nyumba ya chumba kimoja na sebule.
Mchana huu wa leo kapokea ujumbe kutoka kwa kaka wa girlfriend wake akimuomba aje Dsm kwa mapumziko ya Xmas na mwaka mpya. Chumba chenyewe kimetengwa kwa pazia kati ya chumba na sebule.
Hii imekaaje wazee, je ni sehemu ya maadili yetu Kiafrika?
Mamndenyi, watu8, Mtambuzi, Madame B, na mwaJ mnahusika
 
Last edited by a moderator:
:behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa:
 
Mabat waodogo wadogo (wanaogelea)*2 katika shamba zuri la Bustani!!! (wanalia kwa kwa kwa)*2 (Kwa kwa Kwa kwaaa)*2 Katika shamba zuri la bustani!!!! jamani bora siye tukapumzikie Rombooooooooooooo!!!!!!!!! Mlachake njoo huku imebuma mzee
 
dunia hii kila kitu kinawezekana...si ndo sample za vijana hao tunapishana nao mitaani wamevaa suruali chni ya makalio...na unakuta wakati mwingne anaongozana na dada au mama yake,...
Ndo akili zao.... BRN.
 
dunia hii kila kitu kinawezekana...si ndo sample za vijana hao tunapishana nao mitaani wamevaa suruali chni ya makalio...na unakuta wakati mwingne anaongozana na dada au mama yake,...
Ndo akili zao.... BRN.

data umemwaga mboga kabisaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
hapa jamaa mwenyewe kajipendekeza kwa mashemeji, baa sana ofa ili wamuone na hata huko dar wanajua yuko full house istoshe nature ya likizo inonyesha muombaji ni minor,b sasa kayakoroga kujidai matawi yamemshinda, unakaa na binti wa watu jiandae mama mkwe atakuja kutibiwa usikimbie majukumu wakati umesogeza mtoto wa waru
 
Uuwii yani paziaa tuu umelala uko una sikiaa dada aki gegedwaa tu ukoo yani kamaa ivi paapaapaapappaapapaa peche peche peche? Mmmh badoooo?
 
Aisee,sasa jamaa akiwa anamenyuka ,shemeji atavumilia? Wanaume tuna dilema nyingi kuliko wanawake!
 
Kosa lake liko wapi sasa hapo? si ameomba kufikia kwa jamaa? maana yake mwenyeji wake ndio anapaswa kutafuta namna ya kumhost hadi mwaka mpya upite bila madhara! kitu possible hicho mtu mwenyewe ana marafiki sema ndio wanafiki tu kama wote ni sawa na mleta mada si anamuombea tu mahali pa kulala? kawaida sana hiyo sasa unataka afike Dar es Salaam baada ya kifo cha shemeji yake au? acheni majungu nyinyi hayo ndio maisha halisi ya wabongo!
 
Back
Top Bottom