Kuficha watuhumiwa wa madawa ya kulevya... Wananchi, tufanye nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuficha watuhumiwa wa madawa ya kulevya... Wananchi, tufanye nini?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by geophysics, Jul 19, 2011.

 1. g

  geophysics JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Afisa Uhusiano wa Jeshi la Polisi Zanzibar Inspekta Mohammed Mhina, amesema kuwa baada ya kuhojiwa, Viongozi hao waliiomba Kamati hiyo kutowataja hadharani majina ama madhehebu yao kwa kuhofia kubezwa kwa madhehebu wanayoyaongoza.


  Akizungumza mwishoni mwa ziara yao Visiwani humo, Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mchungaji William Mwamalanga wa Kanisa la Pentekosti Tanzania, amesema kuwa orodha hiyo na nyingine ya watu 18 wakiwemo wafanyabiashara wakubwa na Wanasiasa wanaojihusisha na biashara hiyo haramu zote zitafikishwa kwa Mkuu wa kitengo cha Polisi cha Kupambana na dawa za Kulevya nchi.


  Mchungaji Mwamalanga amesema kuwa, tatizo la ongezeko la dawa za kulevya pia inazihusu nchi mbalimbali duniani na kwamba kamati hiyo itakutana na kamati nyingine kama hizo za nchi za Maziwa Makuu kwa maana ya Afrika ya Mashariki kuzungumzia ufumbuzi wa suala hilo..............

  Source: H@ki Ngowi
   
 2. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,814
  Trophy Points: 280
  Inawezekana wanafanya usanii tu wala hawajamkamata mtu na hayo madawa. Iweje umpate mwizi na usha hidi kisha usite kuijulisha jamii, hapa napata picha basi hata mkuu wa nchi nae anahusika na hii biashara. Kwa nini asite kumwaga ukweli hadharani?
   
 3. g

  geophysics JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ndugu yangu...we acha kabisa tanzania kuna viongozi wa ajabu sana....hata nao wanaingia ktk miradi ya giza kama hivyo wanatumia vichwa vya watu kumbe wakubwa ndo wanafanya biashara.
   
 4. m

  mtwevejoe Member

  #4
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 69
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jamani, 100% hizo habari ni za uwongo,nashangaa sana jinsi vyombo vya habari walivyochapisha bila kufanya utafiti.source nyingi za habari ambazo zinatoka ktk jeshi la polisi zinakuwa na walakini.huyo mhina ambaye amejitambulisha kama mwandishi wa polisi,alikuwa pale makao makuu ya polisi kabla ya kuhamishiwa zanzibar.ni mjanjamjanja tu wa mjini,hana hata hiyo elimu ya uandishi sanasana certificates.hiyo wenzangu ndio mjue polisi wanataka sisi wananchi tuwafichulie wahalifu mtaani lakini kiukweli wenyewe polisi wanashirikiana na hao hoa wahalifu.
   
 5. Aloysius

  Aloysius Member

  #5
  Jul 20, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Aha! wakati nakuja kujibu sikuwa nimeelewa swali lako kwakuwa nitata! Kuficha na kaficha? haikuwa sawa, lakini hata hivyo ngoja nitie neno, kama unamjua aliyeficha au aliefichwa unaweza andika kutoa taarifa hio kwa maafisa usalama.
   
Loading...