kufeli kwa wanafunzi wa kidato cha nne mwaka2011.serikali ina kimbia majukumu yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kufeli kwa wanafunzi wa kidato cha nne mwaka2011.serikali ina kimbia majukumu yake

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by joseph1983, Feb 29, 2012.

 1. j

  joseph1983 Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa kuchukulia hatua ghidi ya walimu ambao hawahudhuriii madarasani,hebu angalia ni nani asiye jua maisha ya mwalimu yakoje kiuchumi,nani asiyejua hao viongozi wetu wanabiashara gani pia wanamiliki nini, kwa sasa hakuna mfanyakazi kamili kwenye dunia hii,nyinyi wenzangu angalieni wakati wa chartism$luddism maana yake maghumuni yake yalikuwa ni nini.
  se
   
Loading...