Kufaulu ilikuwa kazi kweli kweli

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Mwalimu mmoja alienda shule moja ya kijijini kusimamia mitihani.Alipokuwa akiendelea na zoezi la usimamizi,alishangaa wanafunzi wote wametulia attention bila kuandika chochote.Mara ukasikika mdundo mmoja wa ngoma,watahiniwa wote kwa mpigo waliinama kuandika jibu,halafu wakatulia tena.Ikasikika midundo mitatu,wanafunzi wakainama tena kuandika halafu wakatulia tena.Msimamizi akaamua kutoka nje kufuatilia ile midundo ya ngoma inakotokea,cha ajabu alimkuta mwalimu mkuu wa shule chini ya mti akiwa na ngoma pamoja na copy ya ule mtihani uliokuwa ukifanyika muda ule.Kumbe mkuu wa shule alishawaambia wanafunzi wake,mkisikia mdundo mmoja wa ngoma basi jibu ni A,midundo miwili=B,mitatu=C n.k.[hii ilitokea kweli huko mbozi vijijini]

Ama kweli maji ya shingo yakikufika utatumia mbinu zote zakutapatapa

Hii c kweli,mbona huwa hawaruhusu kelele eneo la mtihani?au mgambo hakuepo? Basi mdudu epa na richmond wamepitia hapo.tobaaa!

hujawahi ishi kwa kijiji nn? Ngoma inaweza kuwa hata 1km away bado ikasikika.!

Sielewi mazingira ya killage chenyewe,but hii ni true story kabisa!

Similar Discussions

Back
Top Bottom