Kufanyiwa romance mpaka kufika kileleni kwa wanaume kuna mdahara kama ya punyeto? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kufanyiwa romance mpaka kufika kileleni kwa wanaume kuna mdahara kama ya punyeto?

Discussion in 'JF Doctor' started by Muangila, Sep 14, 2012.

 1. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2012
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,823
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Wataalam naomba mnisaidie jibu je kuna madhara inapotokea kwa wapendanao mfano mke hayuko katika hali ya kufanya mapenzi na mumewe/mpenzwe wakaamua kufanya romance ikwepo kunyonya uume mpaka mwanaume kufika kilel​eni je madhara yake ni kama punyeto au na nafuu?
   
 2. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,537
  Likes Received: 1,435
  Trophy Points: 280
  Sijawahi Sikia hili likikatazwa so me naona halina madhara kwa mwanaume sijajua kwa Upande wa KE
   
 3. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2012
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  hilo ndhani halina shida, ila ngoja waje wataalamu watatujuza
   
 4. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #4
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,263
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Haina madhara. Na ukweli uliothibitishwa kisayansi ni kwamba hata punyeo siyo harmful kihivyo
   
Loading...