bintimacho
Member
- Apr 25, 2008
- 41
- 1
Ni uchafu tu, remember damu ya hedhi ni chafu, halafu na harufu. Duh aisee, siamini kama kunaweza kuwa na watu wachafu namna hiyo duniani.
We mkali! Naona wanaume wengi na wanawake hawana tatizo wanaweka taulo la rangi mbaya chini na kunanino kama kazi Baadhi ya wanawake wanadai enjoyment yake si ya kawaida na wengine wakati huo wanakuwa horny.
Basic need mkuu!! Teh! teh! tehhhhhh!!!Mhache, mimi nilidhani swali hapa lisiwe ni madhara gani bali...kuna ulazima gani!!! teh teh teh.
Asante kaka,
Ni kweli pia mimi ni mmoja wapo wa wanawake wanaopenda kujamiana sana wakati wa hedhi maana huo ndo wakati najiskia hamu sana.
Pole sana ndugu!
Is this perversion or what?
Asante sana ndugu, sio persevion au kushabikia. hapa tunaongelea kile kitu Roho inapenda "Kula nyama mbichi". So wanofurahia waacheni wafurahie, wenyekutofurahi waacheni wasifurahie.