MJADALA: Je, kuna madhara yoyote ya kufanya mapenzi wakati wa hedhi?

Ni uchafu tu, remember damu ya hedhi ni chafu, halafu na harufu. Duh aisee, siamini kama kunaweza kuwa na watu wachafu namna hiyo duniani.
 
Nafikiri ni vizuri kujadili hili suala kwa kuwa realistic,wengi wetu tunajua heddhi inakuwa vipi,lakini nashangaa kuona watu wanazungumza kama vile kipindi hiki, wanawake huwa wanavuja damu continuously, halafu wanaosema harufu na uchafu, please lets show respect to our sisters!

hivi ni kweli wanawake huwa wananuka wakati wa hedhi? hatuko nao maofisini,kwenye madaladala nk kila siku? nani anaweza kuniambaia leo amekutana na wanawake wangapi waliokwenye hedhi,akawatambua kwasababu ya harufu mbaya wanayotoa?

Kuhusu kujamiiana wakati wa hedhi; medically hakuna madhara yeyote yaliyothibitishwa kutokea kutokana na mtu/watu kujamiiana wakati wa hedhi, ISIPOKUWA zipo hatari zinazojulikana, nazo ni urahisi wa kuambukizwa magonjwa ya zinaa, ukiwemao UKIMWI.

Cha msingi,unapotaka kufanya tendo hili wakati wa hedhi, ni vema ukashirikiana na mtu unayefahamu hali yake kiafya, preferably mkeo/mwenza wako muaminifu(aliyepima?), na kabla ya tendo ni vizuri akanawa vizuri hii itapunguza uwezekanao wa ku soil bed sheets na damu (but the good news ni; damu ya hedhi haigandi na haiwezi kuweka permanent stains kwenye shuka, sabuni kidogo, imetoka!)

Pia wataalamu wenaongeza kuwa,wakati wa hedhi wanawake wengi hupata raha zaidi kuliko kipindi kingine, pengine kwa kuwa huwa relaxed, na bila hofu ya kupata mimba.

Ni hayo tu!
 
Mimi, sijasema wanawake wananuka wakiwa kwenye hedhi kiasi cha watu wajue kwenye basi ama ofisini, ila kwasababu najui mimi nikiwa kwenye hedhi, offcourse there is a certain amount of harufu especially those thinking of doing it when on periods. coz hiyo damu ni chafu, sio damu ya kawaida inayotoka.

I think its not healthy doing it when on periods.
 
Inawezekana kabisa kusiwe na madhara lakini kwanini ushindwe kuvumilia tu kwa wakati huu.

Unajua Mungu wetu kila jambo alilolifanya ni jema sana ametupatia siku karibu 20 hivi za kufanya jambo hili uzuri na mazingira safi, ipokuwa mwanamke akiwa katika hali hiyo ameagiza tusimguse hasa kwa Wakristo yapo maandiko kabisa na upande wa pili sina uhakika sana ya kitabu chao kinasemaje, lakini asilimia kubwa ya maneno ya vitabu hi yanashahibiana sana kasolo lugha tu.
 
We mkali! Naona wanaume wengi na wanawake hawana tatizo wanaweka taulo la rangi mbaya chini na kunanino kama kazi :) Baadhi ya wanawake wanadai enjoyment yake si ya kawaida na wengine wakati huo wanakuwa horny.

Asante kaka. Ni kweli pia mimi ni mmoja wapo wa wanawake wanaopenda kujamiana sana wakati wa hedhi maana huo ndo wakati najiskia hamu sana.
 
It is up to the couple to decide when they want to do their "mchezo" comfort levels are different.. My esteemed members of JF do what makes you happy, whatever ails you is in your genes.

Damu ya mwezi is harmless, it's not live. nothing to worry about. If it had all those diseases and it was that bad many women would have died.
 
Mh inawezekana haina madhara but inatakiwa usafi wa hali ya juu. kwanza kuoga vizuri kabla ya tendo (ikiwezekana kufanyia bafuni sawa tu) sio mtu unatoa matambara yako au pad ilotota unaweka pembeni kisha unaanza kazi hapana. Usafi muhimu.

Pili manjonjo yapunguzwe mf. kulamba chumvi, high speed or rough game nadhani haitakiwi ama sivyo mtachafuana sana.

Tatu na mwisho kuvizia zile siku au muda ambapo flow hakuna au ni ndogo na si wakati ambao mabonge yanatoka wewe ndio unaingiza fimbo yako.

Ila yataka moyo.
 
Utafiti wa kisayansi umethibitisha kuwa wakati wa hedhi, mwanamke anakuwa ni kama mgonjwa na kumuingilia kunamuumiza na ni madhara kwa mume na mke mwenyewe, kwani vidudu huenda vikaingia na mwanamke akakosa kuzaa kabisa na pengine mume mwenyewe kupata ugonjwa kwani damu huwa imebeba vidudu vingi.

Kwa wale wenye kuamini dini ya Kiislam wao wanafata aya hii

Na wanakuuliza kuhusu hedhi. Waambie huo ni uchafu (ugonjwa). Basi jitengeni na mwanamke wakati wa hedhi. Wala msiwaingilie mpaka watwahirike. Wakisha twahirika basi waendeeni Alivyokuamrisheni Allah. hakika Allah Huwapenda wanaotubu na Huwapenda wanaojisafisha
(Qur'an 2: 222).

Aya hii ipo wazi kuwa mwanamke haifai kuingiliwa wakati huo na atakayefanya, amefanya jambo la dhambi na inabidi atubie kwa Allah kwa kutolirudia kosa hilo.

Kwa ufupi, Mtume (saw) amesema unaweza kufanya na mkeo kila kitu katika kuchezeana, Haifahi kumuingilia mpaka amalize ada yake ya hedhi.

Kwa wenye kuamini dini ya kikristo wao wanakatazwa kwa aya hii:

Leviticus 15:20-25

And if a woman have an issue, and her issue in her flesh be blood, she shall be put apart seven days: and whosoever toucheth her shall be unclean until the even.

And every thing that she lieth upon in her separation shall be unclean: every thing also that she sitteth upon shall be unclean.

And whosoever toucheth her bed shall wash his clothes, and bathe himself in water, and be unclean until the even.

And whosoever toucheth any thing that she sat upon shall wash his clothes, and bathe himself in water, and be unclean until the even.

And if it be on her bed, or on any thing whereon she sitteth, when he toucheth it, he shall be unclean until the even.

And if any man lie with her at all, and her flowers be upon him, he shall be unclean seven days; and all the bed whereon he lieth shall be unclean.

And if a woman have an issue of her blood many days out of the time of her separation, or if it run beyond the time of her separation; all the days of the issue of her uncleanness shall be as the days of her separation: she shall be unclean


Ezekiel 18:5-6
But if a man be just, and do that which is lawful and right, and hath not ... come near to a menstruous woman...

There are a few risks to sex during menstruation.

-Many STD organisms thrive in the rich menstrual flow, so any STD contracted is likely to be worse than if contracted while you were not menstruating.

-HIV is more easily passed from an infected woman during her menses.

-Herpes infections often flare up during menstruation, making transmission easier.

-Some scientists believe that sex during menstruation puts a woman at higher risk of pelvic inflammatory disease.

-It should also be noted that, even though this is the time when a woman is least likely to become pregnant, it is not impossible. Don't use menstruation as a contraceptive, because it doesn't work.

A newly published study by Dr. Winnifred Cutler of the Athena Institute for Women's Wellness, Inc. in Chester Springs, PA and her colleagues shows that engaging in coitus during menstruation is associated with heavier bleeding patterns in perimenopausal women

Coitus and Menstruation in Perimenopausal Women
 
Enyi wanawake na wanaume mnaopenda makuu kama haya, uogopeni muumba wenu!
Kwani ni lazima? Kujizuia ni virtue.Tofauti yetu na wanyama ni pale tunapoweza ku-excercise self-control hata kwenye mambo madogo kama haya ambayo ni ya kibinafsi sana.
 
Kufanya mapenzi na mwanamke wakati akiwa katika hedhi ni marufuku. na vile vile hata Biblia inasisitiza katika kitabu cha Mambo ya Walawi.

Mwenye nafasi na asome makatazo ya Mungu juu ya kufanya mapenzi na wanyama, ndugu ya mke/mmeo, baba, mama, ndugu, mke wa mwenzio n.k. inasisitiza zaidi kuhusu kumuingilia mwanamke aliye katika hedhi ktk kipengele hiki.

Mambo ya walawi 18:19 (walawi sura ya kumi na nane mstari wa 19) NAWE USIMKARIBIE MWANAMKE KUFUNUA UTUPU WAKE WAKATI WA KUTENGWA KWA AJILI YA UNAJISI WAKE.

Binadamu kadiri siku zinavyokwenda tunahalalisha dhambi na Kuona Mungu anakosea na sisi tupo sawa!
 
Mr. Mhache, mimi sio mtaalamu sana lakini hata kama sio mtaalam,bado nakushangaa.Una matatizo gani wewe unayefanya mapenzi na mwanamke aliyeko kwenye hedhi? Ashukum si matusi, kwanza hata utamu hakuna kwa vile kuna damu nyingi.

Halafu kumbuka kwamba mwanamke anapotoka damu wakati wa hedhi ni kwamba kwenye tumbo la uzazi vipo vidonda, kwa hiyo kuna uwezekano kwamba baada ya kujamiiyana,mwanamke ataumwa na tumbo.

Na kama mmejamiiana bila kondom na wewe una michubuko, kuna uwezekanao mkubwa wa kuambukizana ukimwi.Ushauri wangu wa mwisho ni kwamba usiwe na tabia ya kujamiiyana na wanawake walio kwenye hedhi. Sio tabia ya kiungwana.
 
Hakuna madhara yoyote, isipokuwa kwa baadhi ya wanawake/wasichana hupata maumivu kidogo lakini kama wewe una "enjoy", endeleza libeneke as long as your partner enjoys as well. Lakini umakini uzingatiwe ili msiweke madoa ya kudumu kwenye mashuka (Kama yatatumika)
 
Kwi kwi kwi kwi!!

Mnajua starehe zipo nyingi sana na aina tofauti. Kama mtu ana enjoy kufanya akiwa hedhi na ni kwamba hadhuliki basi mwacheni aendeleze libeneke kama kawa. Kwa wewe unayeona ni uchafu basi endelea kuamini kuwa kitendo kile ni uchafu wa khali ya juu sana.
 
Asante sana ndugu, sio persevion au kushabikia. hapa tunaongelea kile kitu Roho inapenda "Kula nyama mbichi". So wanofurahia waacheni wafurahie, wenyekutofurahi waacheni wasifurahie.

Lorain, remember you had complained in another thread that you dont seem to get pregnant? it just hit me you ARE doing it at the WRONG time of the cycle.
 
No, naomba kutofautiana na kila mtu anae shabikia ngono wakati wa hedhi. Inaelekea kila mtu anakubali kwamba its's unclean, inahitaji uangalifu watu wasije wakajichafua.

Wengine wanasema ifanyikie bafuni etc.Jamani kama hiyo sio tamaa ya ngono iliyozidi kiasi ni nini.'Can't you really wait?' 'No',nadhani kuna matatizo ya 'mindset'.Namalizia kwa kusema 'it's improper' na ni tamaa zilizovuka mpaka. Tuache tabia hiyo mbaya.
 
Back
Top Bottom