MJADALA: Je, kuna madhara yoyote ya kufanya mapenzi wakati wa hedhi?

Ukifanya mapenzi wakati wa hedhi utapata tatizo la kujawa na gesi sana tumboni.

Mapumbu huninginia mno hali ambayo si nzuri.

Mambo mengi sana yako kiimani lakn most hutokea. Hata Biblia hukataza kumwingilia mke akiwa hedhi ni tamaa zetu wanaume.
 
Ukifanya mapenzi wakati wa hedhi utapata tatizo la kujawa na gesi sana tumboni.
Mapumbu huninginia mno hali ambayo si nzuri. Mambo mengi sana yako kiimani lakn most hutokea.Hata biblia hukataza kumwingilia mke akiwa hedhi ni tamaa zetu wanaume.
Umenenaaa vemaa
 
Hedhi ni uchafu hivyo msiwakaribie. Kwani unajua kilichopo kwenye ile dam? Nadhani madhara huwezi kuyaona kwa siku moja ILA badae sana. Hivi vitu vinavyokatazwa na Mwenyezi Mungu huwezi kuyaona madhara kwa siku moja au kwa kuyaona. Ni kama kula nguruwe kulivyokatazwa kwenye Qurani na Biblia. Watu hawawezi kuona madhara papo hapo.

Unajua kuitwa mwanaume ni kwamba unatakiwa uwe strong na kuweza kuhimili vitu vidogo kama hivi. Hedhi huchukua siku 3 mpaka 7. Sasa kwanini usimsubiri mkeo amalize? ILA kwa uzoefu wangu wanao Fanya hivi ni wale ambao hawajao ama kuolewa. Sasa ni hivi iwe INA madhara au haina madhara imekatazwa kumwingilia mwanamke akiwa kwenye hedhi full stop. Hope ujumbe umeupata. Sasa we endekeza tu kibri wakati haya maisha yana mwisho.
 
Quran 2:222
Na wanakuuliza juu ya hedhi. Waambie, huo ni uchafu. Basi jitengeni na wanawake wakati wa hedhi. Wala msiwaingilie mpaka wat'ahirike. Wakisha t'ahirika basi waendeeni alivyo kuamrisheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu huwapenda wanao tubu na huwapenda wanao jisafisha.
 
Hedhi ni uchafu hivyo msiwakaribie. Kwani unajua kilichopo kwenye ile dam? Nadhani madhara huwezi kuyaona kwa siku moja ILA badae sana. Hivi vitu vinavyokatazwa na Mwenyezi Mungu huwezi kuyaona madhara kwa siku moja au kwa kuyaona. Ni kama kula nguruwe kulivyokatazwa kwenye Qurani na Biblia.

Watu hawawezi kuona madhara papo hapo. Unajua kuitwa mwanaume ni kwamba unatakiwa uwe strong na kuweza kuhimili vitu vidogo kama hivi. Hedhi huchukua siku 3 mpaka 7. Sasa kwanini usimsubiri mkeo amalize? ILA kwa uzoefu wangu wanao Fanya hivi ni wale ambao hawajao ama kuolewa. Sasa ni hivi iwe INA madhara au haina madhara imekatazwa kumwingilia mwanamke akiwa kwenye hedhi full stop. Hope ujumbe umeupata. Sasa we endekeza tu kibri wakati haya maisha yana mwisho.
Taja madhara sasa acha kuweka hisia
 
Mlio jibu ni ma doctor kweli au mnajibu jibu tu na uelewa wenu wa uswazi
 
Back
Top Bottom