babilas25
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 471
- 333
kusubiri nnJamani hamuweziw kusubiri?
Damu ikaukekusubiri nn
Menstrual cycle ni kuwa yai limekosa sperm na limepasuka na ile damu hutoka taratibu, wakati damu inatoka huwezi kupata mimba. Damu ikikauka kuna yai lingine linatayarishwa kupevuka linapokuwa tayari mwanamke anakuwa kwenye heat period ambayo anajisikia kufanya mapenzi hapo ndiyo danger days za mimbaje mwanamke akifanya sex kipindi ana bleed au yupo menstrual cycle anaweza kupata mimba
Ok poa nimekumanyaMenstrual cycle ni kuwa yai limekosa sperm na limepasuka na ile damu hutoka taratibu, wakati damu inatoka huwezi kupata mimba. Damu ikikauka kuna yai lingine linakuja
Utaelewa ukifika form 3, kwa sasa kasome importance of Biology.je mwanamke akifanya sex kipindi ana bleed au yupo menstrual cycle anaweza kupata mimba
Mkuu endelea nimeipendaINAWEZEKANA nishawahi kukutana na case kama hio kuna mwanamke alikua yuko vizuri kila kitu ila alikua hashiki mimba. WHY ? alikua na abnormal cycle yeye mzunguko wake ni siku 15 hivyo ili apate mimba ilikua lazima atoe kibwambwalu siku akiwa period .
Natumaini nimekujibu
Sent using Jamii Forums mobile app
abnormal cycle ?,je menstrual cycle ?INAWEZEKANA nishawahi kukutana na case kama hio kuna mwanamke alikua yuko vizuri kila kitu ila alikua hashiki mimba. WHY ? alikua na abnormal cycle yeye mzunguko wake ni siku 15 hivyo ili apate mimba ilikua lazima atoe kibwambwalu siku akiwa period .
Natumaini nimekujibu
Sent using Jamii Forums mobile app