MJADALA: Je, kuna madhara yoyote ya kufanya mapenzi wakati wa hedhi?

je mwanamke akifanya sex kipindi ana bleed au yupo menstrual cycle anaweza kupata mimba
Menstrual cycle ni kuwa yai limekosa sperm na limepasuka na ile damu hutoka taratibu, wakati damu inatoka huwezi kupata mimba. Damu ikikauka kuna yai lingine linatayarishwa kupevuka linapokuwa tayari mwanamke anakuwa kwenye heat period ambayo anajisikia kufanya mapenzi hapo ndiyo danger days za mimba
 
INAWEZEKANA nishawahi kukutana na case kama hio kuna mwanamke alikua yuko vizuri kila kitu ila alikua hashiki mimba. WHY ? alikua na abnormal cycle yeye mzunguko wake ni siku 15 hivyo ili apate mimba ilikua lazima atoe kibwambwalu siku akiwa period .

Natumaini nimekujibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
INAWEZEKANA nishawahi kukutana na case kama hio kuna mwanamke alikua yuko vizuri kila kitu ila alikua hashiki mimba. WHY ? alikua na abnormal cycle yeye mzunguko wake ni siku 15 hivyo ili apate mimba ilikua lazima atoe kibwambwalu siku akiwa period .

Natumaini nimekujibu

Sent using Jamii Forums mobile app
abnormal cycle ?,je menstrual cycle ?
 
Wakuu salaam,

Kama mada inavyojieleza.

Kichupa changu kilikua kimejaa sana ikabidi nimwite demu wangu ghetto siku ya leo akaniambia ana bleed mi nikawa mbishi kutokana na ukame nlionao.

Demu bila hiyana akatimba ghetto hajavaa taulo nkaona ananizingua hana bleed wala nini. Baada ya romance za hapa na pale nikampiga machine a.k.a mkuyati.

Nje Ndani nje ndani ile natoa mashine imeloa chepechepe blood, nkaghairi hapo hapo kuendelea na game mtoto akalalamika nimekua mbishi.

Sasa wakuu nauliza kuna madhara gani kumla demu wakati ana bleed kama ilivyonitokea mimi?
 
Jamani mwanamke mwenye mzunguko wa siku 28, nmekutana na mama mmoja nikaanza kumchimba nipate elimu, yeye kasema mzunguko wake ni 28 na akiwa anaingia period siku ya kwanza akikutana me, anaweza daka mimba, na siku ya tatu ambayo ni yameisho. Je, ni ya kweli hayo wajuuzi na wabobezi?
 

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom