MJADALA: Je, kuna madhara yoyote ya kufanya mapenzi wakati wa hedhi?

Hiyo niliiona kule jukwaa la utabibu, nafikiri ni ksa wale wenye mzunguko mfupi zaidi wa siku15.
Yeah, na mimi najua ni kwa wenye mp zisizoeleweka na wenye cycle fupi, kuanzia 21days kushuka chini. Lakini wenye mzumguko wa 26-32days constant ni aghalabu kutokea.

Hata hivyo hadi mp msuguane... disgusting!!
 
Asante kwa kuwa mchochezi na muhamasishaji wa mitifuano ya red card! Hongera mkuu
 
Na kwa nini ufanye mapenzi siku ukiwa period jamaan Mungu ana maksudi yake jamaan katika siku 30 kupumzika siku 3 au 5
mmoja alivimba bolo na mwingine aliumwa sana,hospitali wakapima wee..hawaoni kitu,kula sana dozi..hola,mwishoni akapgwa sindano tano ndo akapona
 
Mwanamke ana mayai mangapi?
Nenda kasome kuhusu wanawake wanaovunja yai moja kila ikifika period na nenda kawasome wanawake wanaokuwa na mzunguko zaidi ya mmoja ndani ya mwezi mmoja, simple like that:-#
unaongelea scientifically au based on story za vijiweni??
iko hv hakuna msichana ambae anapata hedhi kwamba yai linatoka kama uchafu then kukawa na yai jingne limeshapevuka kwa ajili ya kutunga mimba.

so mda ule yai linavotoka ndo maana wanaita safe days kwenye mimba hii inaenda hadi siku ya kumi na moja baada ya hapo ni danger zone coz mwanamke yai linaanza kupevuka siku ya 14 bt siku ya kumi na moja inakua danger coz kuna mbegu za kiume hueza kua hai kwa siku 3 so mkisex from 12,13 hadi 14 hz mbeg zinakua bado hai.

na swala la wanawake kua na mizunguko ming kwa mwez maana yake sio mayai yana jirutubisha double double means yanawahi kujirutubisha kabla siku ya kumi na nne so yy yai lake linajirutubisha kwa siku hata 12 suyu yy siku ya 10/kwake ni danger.

ingawa wapo pia wanaochelewa yan wanakua na mzunguko mrefu pia lazma mwanamke yyte awe na safe days ambazo ni kuanzia kwenye period hadi kwenye yai.

yai hudumu from 14-18 after then linaanza kuharibika na kujisogeza kama uchafu ndo maana kuna wasichana wengne wana dalili zao kabla ya period utakuta anaota chunusi au tumbo linaanza kumuuma mapema

so kama ulipiga dem akiwa kwenye period akakuletea mimba my brother am 100% sure uko kwenye ile 50% wanaolea watt sio wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haifai kabisa hata kama wote wana genye za kufa mtu. Sijui hata kunakuwa na raha ipi kugegedana katika hali hiyo. Ewwwwwww! So much mess all over the place. It is only few days ya kukusanya more genye.

Na kwa nini ufanye mapenzi siku ukiwa period jamaan Mungu ana maksudi yake jamaan katika siku 30 kupumzika siku 3 au 5
 
Kuna mmoja kasema hakuna madhara ya kufanya mapenz kwa mama anayenyonyesha

Wengne wakasema mwanamke akiwa na mimba ruksa kusx

Leo mnasema cku ya hedh nayo haina madhara..

Wabongo tunataka kusx 24hrs
 
..namna nyingine mbadala ya kumkaza demu wakati wa hedhi ni kumfi.ra.....nashangaa hii option hujazungumzia....maana ipo pia....kwa makubaliano kati ya wawili...
 
Na kwa nini ufanye mapenzi siku ukiwa period jamaan Mungu ana maksudi yake jamaan katika siku 30 kupumzika siku 3 au 5
Wengine wakiwa safe days wanasumbuaga Sana kubanjuka Sasa ikianza breed aishi Kuja geto nakuturusha roho namitego ya ajabu akijua anakinga ya kigezo cha breed!! Kinachofata apo amna namna dam tu akati watu wanatifua chooni!
Samahan lkn hii sio tabia nzuri kabisa
 
Back
Top Bottom