MJADALA: Je, kuna madhara yoyote ya kufanya mapenzi wakati wa hedhi?

Tatizo lingine kipindi hiki hamu ndio huwa inazidi

Hata kwa mwanamke inazidi? Na wale wanaoumwa kabisa hadi analala siku zote kama mgonjwa wa Malaria kabisa.

Wanaume bwana?
 
Kitabibu haina shida kufanya mapenzi na mwanamke aliye katika siku zake. Kusema kweli hiki ni kipindi salama kabisa cha kutopata mimba.

Lakini tatizo huja pale washiriki wa tendo wanapoona damu ambayo yawez kupunguza hamu ya tendo la ndoa. Katika baadhi ya dini kufanya mapenzi na mwanamke aliye katika hedhi si ruksa.

Pamoja na kwamba ni salama kufanya mapenzi na mwanamke aliye katika hedhi, kuna asilimia ndogo ya wanawake hupata mimba!!! Pia unapofanya mapenzi kipindi hiki, ni rahisi zaidi kupata maambukizi ya VVU na hata hepatitis B, hivyo unashauriwa kutumia condom.
 
Unaweza kucheza mpira kwenye matope??? Jibu hilo halafu nitarudi

Japo nimeshatengana na girlfriend wangu wiki iliyopita bila hata sababu na anadai nimngoje miaka mitatu. Mi niliweza kucheza fresh tu akiwa katika mzuko wa hako kabisha kakuziloweka ped anaoga safi akija tunafanya ile michezo ya kiromantikia madenda na matouch basi tunaridhika maana mi kuegelea katika tope sio ishu kwanza huwa kunakasmell sio mzuka pale chamsingi kaubinadamu maana ukiforce huko ni kutothaminiana.
 
Unaweza kucheza mpira kwenye matope??? Jibu hilo halafu nitarudi

Hapo sasa?

Nimejaribu kufikiria hadi picha haikai kichwani...Ila kuna watu wana matatizo sana. Kwa ni hata ukiwa na njaa kali unakula kila ukionacho?
 
Pamoja na Imani na Dini na kila kitu, hata kama mtu atasema hana Imani na Mungu yoyote yule, nakubaliana na MziziMkavu kwamba mwanamke akiingiliwa wakati wa hedhi hana furaha/raha katika hilo, kwa hiyo inaweza mjejengea hali ya kuichukia hio kitu.

Kwa kuwa hata mimi sijui vizuri nitafurahi nikipata elimu zaidi juu ya hilo hata kutoka kwa wanawake wenyewe.
 
Unaweza kucheza mpira kwenye matope??? Jibu hilo halafu nitarudi

Pamoja na Imani na Dini na kila kitu, hata kama mtu atasema hana Imani na Mungu yoyote yule, nakubaliana na MziziMkavu kwamba mwanamke akiingiliwa wakati wa hedhi hana furaha/raha katika hilo, kwa hiyo inaweza mjejengea hali ya kuichukia hio kitu.

Kwa kuwa hata mimi sijui vizuri nitafurahi nikipata elimu zaidi juu ya hilo hata kutoka kwa wanawake wenyewe.

LD, wala hakuna haja ya kusubiri watu wakupe elimu, jaribu kutafuta majibu ya hilo swali hapo juu!

Kuna sababu kubwa 3 za kuogopa tendo la ndoa wakati wa hedhi nazo ni medical (uwezekano wa kuambukizwa magonjwa kama VVU, hepatitis B.. n.k), ethical (kimaadili zaidi..ndo maana mwanamke atahisi kudhalilishwa) na aethetical (katika mtazamo wa hali ya mazingira yenyewe..uchafu, kinyaa n.k). Kama bado kuna watu wanatamani kwenda huko wakati wa mafuriko ya msimbazi basi matatizo waliyo nayo ni makubwa kuliko wanavyojielewa!

Babu DC
 
Asante babu DC, ubarikiwe mpaka ushangae, sasa nimeelewa na ninachukua hatua ya kuwafundisha hadi vitukuu vyako. Sijui unatumia kinywaji gani, au ukaribie chai babu yangu.
 
jaribu ile kitu wanaita " panda mnazi kwa mkono mmoja" ukizidiwa....
 
Asante babu DC, ubarikiwe mpaka ushangae, sasa nimeelewa na ninachukua hatua ya kuwafundisha hadi vitukuu vyako. Sijui unatumia kinywaji gani, au ukaribie chai babu yangu.

Poa LD,

Chai tu inamtosha babu...Keshapata ugoro wake, inabidi uongezee moto kidogo.

Haya mambo kwa kweli kuna watu wanayachukulia kirahisi rahisi lakini madhara yake ni makubwa sana!
 
DAH~.LORD HAVE MERCY!.Hivi kwanza wanajuaga what pain most women go through those days?.ila :focus: chukua ushauri wa LD,DC,na wengine.
 
Mkiwa Mume na Mke mnashirikishana mengi, ukikaribia unamwambia Jumatano nitaanza. Hapo mume nae atajituni kuanzia Jumatano mpaka Jumamosi siwezi kupewa. Hamu itatoka wapi ilihali alishafahamu.
 
DAH~.LORD HAVE MERCY!.Hivi kwanza wanajuaga what pain most women go through those days?.ila :focus: chukua ushauri wa LD,DC,na wengine.

wachache wanaojua wanajali,,,laiti ingekuwa ni kwa kupokezana men n women,,,lol!
 
Mungu alijua na ndo maana akatoa siku za mapumziko ili wote mke na mme wapumzike
Gari yenyewe inaenda service sembuse binadamu.
 
Jamani, lets give women a break. Kuna vitu vingine hata kuvijadili vinaleta ukakasi.

Hii ilitakiwa iende kule JF Doctor na nadhani kule mtu ukipekua kidogo tu unaipata ishajadiliwa sana humu.

Mods do ze nidiful
 
Jamani hizo siku ni ngapi mpaka mume atoke nje? mapenzi si lazima mwanamume aingize nanihii kwenye nanihii, yawezekana kufanya mapenzi bila hayo na mume akaridhika kabisaaaaa..... asiyeja aniPm nimjuze.
 
Hivi ni lazima wanaume wafanye mapenzi kuanzia tarehe 1 january mpaka tarehe 31 decemba,
bila kupitiliza siku hata moja?? Yani siku zote 3651/4 lazima mkutane na hiyo kitu??

Assume siku ambayo NAIHITAJI KIKWELI KWELI wewe ndio uko hivyo, halafu mjibu mdau.
 
Back
Top Bottom