MJADALA: Je, kuna madhara yoyote ya kufanya mapenzi wakati wa hedhi?

Mmmhhhh kweli tuna shida.....yaani siku tano za hedhi zifanye mtu aende nje ya ndoa? Huyo anakuwa ana tamaa zake tu na sababu si hedhi.
aggggggggggggrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Hivi ni lazima wanaume wafanye mapenzi kuanzia tarehe 1 January mpaka tarehe 31 Decemba bila kupitiliza siku hata moja?? Yani siku zote 3651/4 lazima mkutane na hiyo kitu??

Kuna wengine ni ''ngonophilia'' yaani can not live without ngono!! two days on, one day off. hivyo ikitokea yuk hedhi haina jinsi, inabidi achoropoke kidogo kukamilisha schedule yake. am sorry to say this!!!
 
Plato,

Mbona unamtisha Babu? Kweli mwanamume tena baada ya kufikisha umri wa kuoa na una majukumu kibao ikiwemo familia na watotot unaweza kuendekeza ngono ya mwendo wa paracetomol (panadol au asprin), yaani kutwa mara tatu?

Kama ni vijana wa miaka 18-23 naweza kuelewa. Ila mtu mwenye majukumu yake ngono inakuwa ni kitu cha kawaida ambacho unaweza kukipotezea hata kwa week nzima! Lakini kama kuna watu hawawezi kuvumilia hata hizo siku 4-5 za hedhi basi nawashauri waingie mitaani watafute machangu kwani hakuna mwanamke anaweza huo muziki.Na wasithubutu hata siku moja kuoa, kwana hizo ndoa watazivunja au kuwasababishia mateso wake zao.

Hii ni hali ya hatari!
 
kuna wengine ni ''ngonophilia'' yaani can not live without ngono!! two days on, one day off. hivyo ikitokea yuk hedhi haina jinsi, inabidi achoropoke kidogo kukamilisha schedule yake. am sorry to say this!!!

Hao ni wagonjwa, achana nao. Akiongea vizuri na mke wake atajua jinsi ya kumsaidia. After all, what a man need is throw away the load! Haijalishi kwa njia ngani na wapi. Wakivunja ukimya, basi mke wake ataweza kumhudumia kwa siku 365.25 bila kuwa na ulazima kwa kuiona ikulu.

Hata hivyo, ina maana mtu wa namna hiyo hafanyi kazi? Hebu fikiria kama anaishi Dar, kuamka saa 10 alfajiri na kulala saa 5 usiku. Ataweza hayo mambo kila siku bila kuathiri afya yake na mwenzake?
 
kuna wengine ni ''ngonophilia'' yaani can not live without ngono!! two days on, one day off. hivyo ikitokea yuk hedhi haina jinsi, inabidi achoropoke kidogo kukamilisha schedule yake. am sorry to say this!!!

Mmmh haya bwana, jambo usilolijua ni kama usiku wa giza.
Mungu saidia...............
 
Bado hamjajibu swali.
Je, kuna madhara yoyote mkikutana kimwili wakati wa hedhi?
 
Kufanya mapenzi wakati wa hedhi kuna madhara hasa kwa mwanaume sababu ile damu inatoka pamoja na uchafu mwingine ambao unaweza muathiri mwanaume kwa uume wake. kuna njia nyingi tu mbadala za kuridhishana kwa wakati huo nafikiri wote mnazijua. Wakati mwingine mwenzio yuko mbali unaenda kumtembelea ile unafika tu, na period inaanza kwa bahati mbaya sababu ya maybe safari. Inabidi utumie hizo njia.
 
Tatizo lingine kipindi hiki hamu ndio huwa inazidi

Hamu ikizidi sana mwambie partner wako kama ww ni mwanaume, aingie kuoga vizuri then haraka kitandani akishaweka tu mawazo kwenye love making inakata basi inakuwa raha kama kawa ila isiwe mazoea ndugu yangu sio fresh hasa kwa mwanamme.
 
Sometimes unakuta mwanaume ana ham mbaya na mkewe ndo ivo tena. sasa hapo ndo mwanamke anatakiwa ajue mdomo alopewa co wa kula na kuchonga tu.
 
Sometimes unakuta mwanaume ana ham mbaya na mkewe ndo ivo tena. sasa hapo ndo mwanamke anatakiwa ajue mdomo alopewa co wa kula na kuchonga tu.

Utafikiri kibogoyo vile
 
Jamani tuwe na heshima. Mwanamke yuko vibaya bado unataka kumchambua. Halafu iweje? Mhhh!!
 
It is not harmful to have sex during the menstrual period.
However, if one of the partners has the AIDS virus, the risk of infecting the other partner may be higher.
Pandemic Reference Guides
 
Mimi Nakujibu ikiwa Mwanamke yupo kwenye Hedhi na mume anataka tendo la ndoa Yule mwanamke anaweza kumchezea Utupu wa mume wake na huku yule mume akawa ananyonya maziwa ya mke wake basi yule mume atamaliza haja zake zote hapo.

na jibu lako la pili mwanamke akiwa kwenye siku zake wewe Mume haruhusiwi kufanya nae tendo la ndowa ni Haram kabisa kwa Dini zote mbili Dini ya Kiislam na Dini ya Kikristo imekatazwa jambo la kufanya mapenzi wakati mke wako yupo kwenye siku zake za Hedhi ni Uchafu huo Mkuu kufanya tendo la ndoa wakati mke wako yupo kwenye siku zake za Hedhi. kama wewe ni muislam soma aya hii hapa chini

2.SURA AL- BAQARA SURA 2AYA222

222. Na wanakuuliza juu ya hedhi. Waambie, huo ni uchafu. Basi jitengeni na wanawake wakati wa hedhi. Wala msiwaingilie mpaka wat'ahirike. Wakisha t'ahirika basi waendeeni alivyo kuamrisheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu huwapenda wanao tubu na huwapenda wanao jisafisha.


Tafsiri yake ni hii hapaa (
222. Na wanakuuliza juu ya kuwaingilia wake zenu wakati wanapo kuwa na damu ya mwezi, hedhi. Waambie kuwa hedhi ni uchafu. Basi jizuieni kuwaingilia wakati wake mpaka wat'ahirike (wasafike). Wakit'ahirika basi ingianeni nao katika njia za maumbile.

Na ikiwa mtu amefanya makosa katika haya, basi na atubu, na Mwenyezi Mungu anapenda waja wake wakithiri toba na usafi kutokana na uchafu.
I
limu za kisasa zimethibitisha kuwa wakati wa hedhi yanaweza kuwa madhara kwa kuwa zalio huweza kupata maradhi pindi likiingiliwa na vidudu vya maradhi, ambavyo ni vyepesi kuingia wakati wa kuingiliana na mwanamume. Maradhi hayo huenda yakasababisha mwanamke

asiweze kuzaa. Mwanamume naye huambukia maradhi hayo kutokana na mwanamke kwa kupitia njia za mkojo, na maradhi yakapanda juu mpaka mafigo yakaharibika, na kuathirika

vyombo vya uzazi, na mwanamume naye akawa hawezi kutia mimba. Maradhi haya huleta machungu makubwa. Watu walikuwa hawajui, lakini Mwenyezi Mungu anajua kila kitu. Na mwanamke anapo kuwa na damu anakuwa hana raghba ya kuingiliwa, basi kumuingilia wakati huo huenda kukamletea hali ya nafsi mbaya na chuki kwa jambo hilo.)


Ikiwa wewe Mkuu ni Mkristo hebu soma hapa chini


Mambo ya Walawi, Chapter 12:2-24

12:2 Nena na hao wana wa Israeli, uwaambie, Mwanamke akitunga mimba na kuzaa mtoto mume, ndipo atakuwa yu najisi siku saba; kama katika siku za kutengwa kwake kwa ajili ya hedhi, ndivyo atakavyokuwa najisi.



Mambo ya Walawi, Chapter 15:19

15:19 Mwanamke ye yote, kama anatokwa na kitu, na kitu chake alichokuwa nacho mwilini mwake ni damu, ataketi katika kutengwa kwake muda wa siku saba; na mtu ye yote atakayemgusa atakuwa najisi hata jioni.


15:20 Na kitu cho chote akilaliacho katika kutengwa kwake kitakuwa najisi; na kila kitu ambacho akiketia kitakuwa najisi.

15:21 Mtu ye yote atakayekigusa kitanda chake huyo mwanamke atazifua nguo zake, na kuoga majini, naye atakuwa najisi hata jioni.

15:22 Mtu ye yote atakayekigusa cho chote ambacho huyo mwanamke amekiketia atazifua nguo zake, na kuoga majini, naye atakuwa najisi hata jioni.

15:23 Kwamba ni katika kitanda, au cho chote alichokikalia huyo mwanamke, atakapokigusa kitu hicho, atakuwa najisi hata jioni.

15:24 Na mtu ye yote atakayelala na mwanamke na unajisi ukawa juu yake, atakuwa najisi muda wa siku saba; na kila kitanda alichokilalia kitakuwa najisi.



Mkuu kwa huu Ushahidi ukifanya Mapenzi na Mwanamke mwenye Damu ya Siku Hedhi wewe ni najisi kwa muda wa siku saba. haya kazi kwako mkuu.
 
Unajua hata gari likitumika kila siku linawahi kuchoka, na wengi wetu tunajua kuendesha tu magari hatujui kuyafanyia service.
 
Kitaalam wanasema hakuna madhara ya kitabibu zaidi ya STDs. Wengine wanasema inasaidia ku-relieve cramps.
Ila vitabu vya dini kama biblia inakataza kujamiana wakati wa hedhi.

Lakini na sisi wanaume (wenye ndoa) kwani hatuna kiasi?
Think of dirty sheets and mild odor, dont you find disgusting?
Binafsi siamini kwamba its just about the man releasing the load, should that be the case basi wa hivyo wanapatika Ohio ama Ambiance-Afrika Sana.

Sasa kama 4-5 days huwezi kuvumilia akizaa unaanza kumdandia the next day? Na kwa wanaoshauri mdomo una matumizi zaidi ya kula chakula watafanya hivyo during this time?

Lakini kama mmeamua wote wawili kuchakachuana wakati ke yuko hedhi basi mnashauriwa pengine mfanyie bafuni while taking a shower. Sasa kama unakaa nyumba ya kupanga yenye bafu lipo nje tena ni pasipoti size mbinu hii haikufai kwako.

Mkifanyia kitandani basi tumia kondom esp kondom ya kike.
Doing it bare footed it might get itchy kwa mwanaume iwapo damu itakaukia kwenye mtaimbo, so you should both wash up quickly after you finish sio kufuta tu.

Mwisho wa siku: All Ladies out there dont worry too much about men, it is because of these (worries) some(men) take you for granted.

Ukiwa hedhi utafanya sarakasi zote ili a-plug in mdudu wake ili kudauni lodi lakini ujue kama huyo mwanaume ni KUNGURU basi hawa huwa hawafugiki.
 
Mkuu kama una shower ya ndani mpeleke bafuni muoge pamoja then ajisafishe alafu kula tunda haina tatizo au labda tumia condom.
 
Back
Top Bottom