MJADALA: Je, kuna madhara yoyote ya kufanya mapenzi wakati wa hedhi?

Habari zenu.

Mhhhh. Wenye kutenda mambo hayo ya kuwaingilia wake au wasichana wakati wa hedhi kwenye suala la usafi hapo hawakuzingatia hivyo kweli mtu anaweza kuingiza mwili wake kwenye hali hiyo? sidhani kama inapendeza hatika hali hiyo. sasa najuiliza inakuwa hamu au laana tu maana wengine wetu hapa wanapopenda ngono kuliko kitu chochote wanashindwa hata kuvumilia hizo siku nne mpaka saba za mwanamke.

Mimi natoa ushauri wangu wa bure tu kwa wale wenye kutenda hayo ni bora zaidi kusubiri kwanza unampa muda mzuri wa mwanamke kujitayarisha anapotoka katika siku zake hizo lakini pia wewe mwenyewe unakuwa umefuga hamu yako kuliko kila siku kuparamia miti huchoki?

Uchafu tu

Stone Towner
 
Angalia pia kwa dini yako kama inaruhusiwa mambo mengine huwa yanakua solved na imani ya mtu halafu just check with your conscious utapata majibu ya suala hili. inaweza kuwa haina madhara medically but check pia na traditional ethics za kwenu.
 
Mtu afanyapo mapenzi wakati wa hedhi ni sawa na kuchokoa kuta la uzazi linaloporomoka (sijui kama kuna maumivu yeyote yanayosababishwa)

'Yuck', disgusting!

Ama kweli kuna kila aina ya 'fetish' zilizopitiza mipaka ya ubinadamu.
 
Jama msaada! Kuna jamaa yangu ana wasiwasi ile mbaya. Jamaa kaja kwangu juzi anaomba ushauri. Ana demu wake wanatarajia kuoana. Demu kamtembelea jamaa wakapitia kwenye moja moto moja baridi. Kufika home na ukame alokuwanao huku porini akaogelea kwa pupa. Kuja kutahamaki anaogelea bwawa la damu kumuuliza demu anadai hakuwa kwenye siku zake.

Jamaa anauliza kuna madahara gani yanaweza kumpata? Hana hofu ya ukimwi maana wote wamepima kama wiki moja iliyopita kwa mara ya tatu. Damu za hedhi ndizo zimpazo hofu. Mwenye uelewa naomba amsaidie.
 
Haina noma hiyo mkuu mwambie atulie tu na wala mimba demu hatapata sasa woga wa nini?hata mie nshaogelea na sikupata chochote ila sijui zaidi maana sio dactor...
 
Eeka Mangi, kwani kuna ubaya gani kusema ni wewe mwenyewe kuliko kuweka nafsi ya tatu?

Sidhani kama kuna ubaya ila kweli huwa kweli. Maana hata ww Masanilo hunijui ila huo ni msaada niliombwa. Ww ukiwa kama mwjf toa msaada wako ndugu
 
labda akaulilze docs. I don't think there should be any problems as long as they dont make it a habit.
 
Hofu ya nini tena alawa? hii si inaimalisa saidi uhusiano, hapo nikubadilishana damu eti! Hakuna kuogopa hata kidogo bana!.

Ikiwa Setani ndo alisababishwa kwenda kupata moja baridi moja moto wakati una hamu, na ikiwa ni yeye huyo huyo Setani ndo aliyekufanya usindwe hata kupapasa kabla ya kuingia kwa Manka, basi Setani atalinda masara yoyote, hiyo haina ubaya ehe, kama uamini nenda kapime utaona majibu lasima yatakuwa masuri tu babake!

Kwa ujumla mzee ni kusema eti hata "ndumu" hazikuajiriwa kwenye hiyo shuhuli? Pombe inakufanya umwamini mchumba kihivyo!
 
Sidhani kama kuna ubaya ila kweli huwa kweli. Maana hata ww Masanilo hunijui ila huo ni msaada niliombwa. Ww ukiwa kama mwjf toa msaada wako ndugu

Mwanamke decent hawezi kukubali kufanya sex penetration wakati yuko kwenye period! Much Better oral ama anal sex.

Hakuna madhara zaidi ya kuboa kuchafuka mashuka na uumeni, better do it in kitchen ama bathroom inakuwa rahisi kusafisha. Ila isiwe ndo desturi kila akiwa kwenye hedhi unampanda!

Kuna uwezekano wa mwanamke doing frequently on her period can increase the risk for Endometriosis because it may push menstrual fluid back up into the uterus.

Mwanaume mstaarabu atasubiri hii kitu 3-5 days!

Mas
 
Hujaelewa nini muungwana?

Kama unasema huyo mama hakuwa kwenye siku zake, hiyo damu ilitoka wapi? Au mapigo yalikuwa ya hali ya juu hedhi ikaja premature?

Anyway kuna imani nyingi tu mitaani juu ya hiyo damu, lakini kimsingi haina madhara.
 
Kama unasema huyo mama hakuwa kwenye siku zake, hiyo damu ilitoka wapi? Au mapigo yalikuwa ya hali ya juu hedhi ikaja premature?

Anyway kuna imani nyingi tu mitaani juu ya hiyo damu, lakini kimsingi haina madhara.

Can you expound the highlighted one!?
 
Mwanamke decent hawezi kukubali kufanya sex penetration wakati yuko kwenye period! Much Better oral ama anal sexy.


Mwanaume mstaarabu atasubiri hii kitu 3-5 days!

Mas

Not weye Masanilo? 3-5 days (a week); 30days - 5days = 25 days (na toa zile siku "dangerous" ambazo hata inzi haruhusiwi kutua"; toa pia siku ambazo mama hajisikii kabsa au kachoka na mihangaiko); toa siku ambazo "adamu" hawezi kabisa kazi hata kwa kusukumwa.

Then lete jawabu ni siku ngapi tumshauri Mangi azitumie kwa mtarajiwa wake katika ndoa.
 
Back
Top Bottom