Kufanya ngono wakati wa hedhi


M

Magobe T

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2008
Messages
3,108
Likes
457
Points
180
M

Magobe T

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2008
3,108 457 180
Mimi ni mmoja ambao huwa siku hizi huwa siangalii huwa na DO tu........sijaona madhara yoyote kuna wakati jamaa aliniambia kuna madhara kama kupata kansa ya kibofu na magonjwa mengie ya kibofu....

sasa kama unafahamu lolote kuhusu hili zaidi basi mwaga hapa kila ili na wengine ambao wanaDO hii style lakini wanaogopa kusema
Unafanya hivyo sababu ya tamaa au huna 'control'? Kitu kizuri kukifanya kistaarabu ni bora zaidi kuliko kufanya tu kwa sababu unataka na unaweza kufanya hivyo.

Itakuja kutokea hata kama mwenzako anaumwa 'provided' wewe unataka na unaweza kufanya hivyo utafanya tu. Binafsi naona mambo haya ya kujamiiana yanahitaji ustaarabu na nidhamu - yaani kuyafanya kwa upendo. Muda ambao hali inakuwa hivyo tupumzike na muda ambao hali inaruhusu tunaweza kufanya hivyo.
 
bintimacho

bintimacho

Member
Joined
Apr 25, 2008
Messages
41
Likes
1
Points
0
bintimacho

bintimacho

Member
Joined Apr 25, 2008
41 1 0
ni uchafu tu, remember damu ya hedhi ni chafu, halafu na harufu....duh aisee, siamini kama kunaweza kuwa na watu wachafu namna hiyo duniani.
 
Kizimkazimkuu

Kizimkazimkuu

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2007
Messages
337
Likes
70
Points
45
Kizimkazimkuu

Kizimkazimkuu

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2007
337 70 45
nafikiri ni vizuri kujadili hili suala kwa kuwa realistic,wengi wetu tunajua heddhi inakuwa vipi,lakini nashangaa kuona watu wanazungumza kama vile kipindi hiki, wanawake huwa wanavuja damu continuously, halafu wanaosema harufu na uchafu,please lets show respect to our sisters!

hivi ni kweli wanawake huwa wananuka wakati wa hedhi? hatuko nao maofisini,kwenye madaladala nk kila siku? nani anaweza kuniambaia leo amekutana na wanawake wangapi waliokwenye hedhi,akawatambua kwasababu ya harufu mbaya wanayotoa?

Kuhusu kujamiiana wakati wa hedhi; medically hakuna madhara yeyote yaliyothibitishwa kutokea kutokana na mtu/watu kujamiiana wakati wa hedhi, ISIPOKUWA zipo hatari zinazojulikana, nazo ni urahisi wa kuambukizwa magonjwa ya zinaa, ukiwemao UKIMWI.

Cha msingi,unapotaka kufanya tendo hili wakati wa hedhi, ni vema ukashirikiana na mtu unayefahamu hali yake kiafya, preferably mkeo/mwenza wako muaminifu(aliyepima?), na kabla ya tendo ni vizuri akanawa vizuri hii itapunguza uwezekanao wa ku soil bed sheets na damu (but the good news ni; damu ya hedhi haigandi na haiwezi kuweka permanent stains kwenye shuka, sabuni kidogo, imetoka!)

Pia wataalamu wenaongeza kuwa,wakati wa hedhi wanawake wengi hupata raha zaidi kuliko kipindi kingine, pengine kwa kuwa huwa relaxed, na bila hofu ya kupata mimba

Ni hayo tu!
 
bintimacho

bintimacho

Member
Joined
Apr 25, 2008
Messages
41
Likes
1
Points
0
bintimacho

bintimacho

Member
Joined Apr 25, 2008
41 1 0
mimi, sijasema wanawake wananuka wakiwa kwenye hedhi kiasi cha watu wajue kwenye basi ama ofisini, ila kwasababu najui mimi nikiwa kwenye hedhi, offcourse there is a certain amount of harufu especially those thinking of doing it when on periods. coz hiyo damu ni chafu, sio damu ya kawaida inayotoka.

i think its not healthy doing it when on periods.
 
L

Lusajo Kyejo

Member
Joined
Jan 10, 2008
Messages
33
Likes
3
Points
0
L

Lusajo Kyejo

Member
Joined Jan 10, 2008
33 3 0
Inawezekana kabisa kusiwe na madhara lakini kwanini ushindwe kuvumilia tu kwa wakati huu.

Unajua Mungu wetu kila jambo alilolifanya ni jema sana ametupatia siku karibu 20 hivi za kufanya jambo hili uzuri na mazingira safi, ipokuwa mwanamke akiwa katika hali hiyo ameagiza tusimguse hasa kwa Wakristo yapo maandiko kabisa na upande wa pili sina uhakika sana ya kitabu chao kinasemaje, lakini asilimia kubwa ya maneno ya vitabu hi yanashahibiana sana kasolo lugha tu.
 
A

Aunty Lao

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2008
Messages
215
Likes
6
Points
0
A

Aunty Lao

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2008
215 6 0
We mkali! Naona wanaume wengi na wanawake hawana tatizo wanaweka taulo la rangi mbaya chini na kunanino kama kazi :) Baadhi ya wanawake wanadai enjoyment yake si ya kawaida na wengine wakati huo wanakuwa horny.
Asante kaka,
Ni kweli pia mimi ni mmoja wapo wa wanawake wanaopenda kujamiana sana wakati wa hedhi maana huo ndo wakati najiskia hamu sanaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Nyaralego

Nyaralego

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2007
Messages
732
Likes
5
Points
35
Nyaralego

Nyaralego

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2007
732 5 35
It is up to the couple toodecide when they want to do their "mchezo" comfort levels are different.. My esteemed members of JF do what makes you happy.
whatever ails you is in your genes.

Damu ya mwezi is harmless... it's not live. nothing to worry about. If it had all those diseases and it was that bad many women would have died.
 
MwanajamiiOne

MwanajamiiOne

Platinum Member
Joined
Jul 24, 2008
Messages
10,476
Likes
113
Points
145
MwanajamiiOne

MwanajamiiOne

Platinum Member
Joined Jul 24, 2008
10,476 113 145
mh inawezekana haina madhara but inatakiwa usafi wa hali ya juu. kwanza kuoga vizuri kabla ya tendo (ikiwezekana kufanyia bafuni sawa tu) sio mtu unatoa matambara yako au pad ilotota unaweka pembeni kisha unaanza kazi hapana. Usafi muhimu

Pili manjonjo yapunguzwe mf. kulamba chumvi, high speed or rough game nadhani haitakiwi ama sivyo mtachafuana sana.

Tatu na mwisho kuvizia zile siku au muda ambapo flow hakuna au ni ndogo na si wakati ambao mabonge yanatoka wewe ndio unaingiza fimbo yako.

Ila yataka moyo.......
 
K

Kipanga

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Messages
679
Likes
12
Points
0
K

Kipanga

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2008
679 12 0
Asante kaka,
Ni kweli pia mimi ni mmoja wapo wa wanawake wanaopenda kujamiana sana wakati wa hedhi maana huo ndo wakati najiskia hamu sanaaaaaaaaaaaaaaa.
...Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee habari ndio hiyo....
 
X-PASTER

X-PASTER

Moderator
Joined
Feb 12, 2007
Messages
11,649
Likes
142
Points
160
X-PASTER

X-PASTER

Moderator
Joined Feb 12, 2007
11,649 142 160
Utafiti wa kisayansi umethibitisha kuwa wakati wa hedhi, mwanamke anakuwa ni kama mgonjwa na kumuingilia kunamuumiza na ni madhara kwa mume na mke mwenyewe, kwani vidudu huenda vikaingia na mwanamke akakosa kuzaa kabisa na pengine mume mwenyewe kupata ugonjwa kwani damu huwa imebeba vidudu vingi.

Kwa wale wenye kuamini dini ya Kiislam wao wanafata aya hii

“Na wanakuuliza kuhusu hedhi. Waambie huo ni uchafu (ugonjwa). Basi jitengeni na mwanamke wakati wa hedhi. Wala msiwaingilie mpaka watwahirike. Wakisha twahirika basi waendeeni Alivyokuamrisheni Allah. hakika Allah Huwapenda wanaotubu na Huwapenda wanaojisafisha”
(Qur'an 2: 222).

Aya hii ipo wazi kuwa mwanamke haifai kuingiliwa wakati huo na atakayefanya, amefanya jambo la dhambi na inabidi atubie kwa Allah kwa kutolirudia kosa hilo.

Kwa ufupi, Mtume (saw) amesema unaweza kufanya na mkeo kila kitu katika kuchezeana, Haifahi kumuingilia mpaka amalize ada yake ya hedhi.

Kwa wenye kuamini dini ya kikristo wao wanakatazwa kwa aya hii:

Leviticus 15:20-25
And if a woman have an issue, and her issue in her flesh be blood, she shall be put apart seven days: and whosoever toucheth her shall be unclean until the even.

And every thing that she lieth upon in her separation shall be unclean: every thing also that she sitteth upon shall be unclean.

And whosoever toucheth her bed shall wash his clothes, and bathe himself in water, and be unclean until the even.

And whosoever toucheth any thing that she sat upon shall wash his clothes, and bathe himself in water, and be unclean until the even.

And if it be on her bed, or on any thing whereon she sitteth, when he toucheth it, he shall be unclean until the even.

And if any man lie with her at all, and her flowers be upon him, he shall be unclean seven days; and all the bed whereon he lieth shall be unclean.

And if a woman have an issue of her blood many days out of the time of her separation, or if it run beyond the time of her separation; all the days of the issue of her uncleanness shall be as the days of her separation: she shall be unclean


Ezekiel 18:5-6
But if a man be just, and do that which is lawful and right, and hath not ... come near to a menstruous woman...


There are a few risks to sex during menstruation.

-Many STD organisms thrive in the rich menstrual flow, so any STD contracted is likely to be worse than if contracted while you were not menstruating.

-HIV is more easily passed from an infected woman during her menses.

-Herpes infections often flare up during menstruation, making transmission easier.

-Some scientists believe that sex during menstruation puts a woman at higher risk of pelvic inflammatory disease.

-It should also be noted that, even though this is the time when a woman is least likely to become pregnant, it is not impossible. Don't use menstruation as a contraceptive, because it doesn't work.

A newly published study by Dr. Winnifred Cutler of the Athena Institute for Women's Wellness, Inc. in Chester Springs, PA and her colleagues shows that engaging in coitus during menstruation is associated with heavier bleeding patterns in perimenopausal women


Coitus and Menstruation in Perimenopausal Women
 
Yo Yo

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Messages
11,246
Likes
107
Points
0
Age
37
Yo Yo

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined May 31, 2008
11,246 107 0
Utafiti wa kisayansi umethibitisha kuwa wakati wa hedhi, mwanamke anakuwa ni kama mgonjwa na kumuingilia kunamuumiza na ni madhara kwa mume na mke mwenyewe, kwani vidudu huenda vikaingia na mwanamke akakosa kuzaa kabisa na pengine mume mwenyewe kupata ugonjwa kwani damu huwa imebeba vidudu vingi

Wewe nawe umeishiwa.....waanawake wenyewe wanasema wanapenda kujamiana wakiwa kwenye hedhi.....unakuja na theory zako eti wanaumia.....waacheni watu wafurahia
 
C

Chuma

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2006
Messages
1,330
Likes
17
Points
0
C

Chuma

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2006
1,330 17 0
Kabisaaaaaaaa, swadktaaaaaaaaaaaa mkuu.
Lorian....kwa upo nyuma ya PC kusema Uongo unaona ni sehem ya kufurahisha Genge.,...Mke wangu siku za Hedhi hali yake inakuwa taabani...Hata mambo mengine inabidi kumsaidia...!!!

X-paster hayo maelezo yako nimeyakubali...!!!
 
M

Makfuhi

Senior Member
Joined
Aug 20, 2008
Messages
186
Likes
5
Points
35
M

Makfuhi

Senior Member
Joined Aug 20, 2008
186 5 35
Hakuna tatizo lolote ila damu inaweza kutoka nyingi zaidi
 
WomanOfSubstance

WomanOfSubstance

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2008
Messages
5,465
Likes
96
Points
0
WomanOfSubstance

WomanOfSubstance

JF-Expert Member
Joined May 30, 2008
5,465 96 0
Enyi wanawake na wanaume mnaopenda makuu kama haya... muogopeni muumba wenu!
Kwani ni lazima? Kujizuia ni virtue.Tofauti yetu na wanyama ni pale tunapoweza ku excercise self control hata kwenye mambo madogo kama haya ambayo ni ya kibinafsi sana.
 
NaimaOmari

NaimaOmari

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2007
Messages
807
Likes
25
Points
35
NaimaOmari

NaimaOmari

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2007
807 25 35

Wewe nawe umeishiwa.....waanawake wenyewe wanasema wanapenda kujamiana wakiwa kwenye hedhi.....unakuja na theory zako eti wanaumia.....waacheni watu wafurahia


Yo yo mshabiki!!! embu tuambie siri yako mbona unangangania namna hii??
 
Utamaduni

Utamaduni

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Messages
1,216
Likes
222
Points
160
Utamaduni

Utamaduni

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2007
1,216 222 160
Kufanya mapenzi na mwanamke wakati akiwa katika hedhi ni marufuku. na vile vile hata Biblia inasisitiza katika kitabu cha Mambo ya Walawi

Mwenye nafasi na asome makatazo ya Mungu juu ya kufanya mapenzi na wanyama, ndugu ya mke/mmeo, baba, mama, ndugu, mke wa mwenzio n.k. inasisitiza zaidi kuhusu kumuingilia mwanamke aliye katika hedhi ktk kipengele hiki

Mambo ya walawi 18:19 (walawi sura ya kumi na nane mstari wa 19) NAWE USIMKARIBIE MWANAMKE KUFUNUA UTUPU WAKE WAKATI WA KUTENGWA KWA AJILI YA UNAJISI WAKE

Binadamu kadiri siku zinavyokwenda tunahalalisha dhambi na Kuona Mungu anakosea na sisi tupo sawa!
 

Forum statistics

Threads 1,273,945
Members 490,548
Posts 30,496,325