Kufanya ngono wakati wa hedhi

MLA PANYA SWANGA

MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Messages
4,160
Points
2,000
MLA PANYA SWANGA

MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2015
4,160 2,000
Ukifanya mapenzi wakati wa hedhi
Utapata tatizo la kujawa na gesi sana tumboni.
Mapumbu huninginia mno hali ambayo si nzuri.
Mambo mengi sana yako kiimani lakn most hutokea.Hata biblia hukataza kumwingilia mke akiwa hedhi ni tamaa zetu wanaume.
 
MissM4C

MissM4C

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2012
Messages
1,286
Points
1,500
Age
30
MissM4C

MissM4C

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2012
1,286 1,500
Haina madhara ila reason nyingi no kiusafi zaidi
 
M

mpoko

Member
Joined
Apr 23, 2018
Messages
7
Points
45
M

mpoko

Member
Joined Apr 23, 2018
7 45
Ukifanya mapenzi wakati wa hedhi
Utapata tatizo la kujawa na gesi sana tumboni.
Mapumbu huninginia mno hali ambayo si nzuri.
Mambo mengi sana yako kiimani lakn most hutokea.Hata biblia hukataza kumwingilia mke akiwa hedhi ni tamaa zetu wanaume.
Umenenaaa vemaa
 
RED BULL

RED BULL

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2018
Messages
706
Points
1,000
RED BULL

RED BULL

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2018
706 1,000
Hedhi ni uchafu hivyo msiwakaribie. Kwani unajua kilichopo kwenye ile dam? Nadhani madhara huwezi kuyaona kwa siku moja ILA badae sana. Hivi vitu vinavyokatazwa na Mwenyezi Mungu huwezi kuyaona madhara kwa siku moja au kwa kuyaona. Ni kama kula nguruwe kulivyokatazwa kwenye Qurani na Biblia. Watu hawawezi kuona madhara papo hapo. Unajua kuitwa mwanaume ni kwamba unatakiwa uwe strong na kuweza kuhimili vitu vidogo kama hivi. Hedhi huchukua siku 3 mpaka 7. Sasa kwanini usimsubiri mkeo amalize? ILA kwa uzoefu wangu wanao Fanya hivi ni wale ambao hawajao ama kuolewa. Sasa ni hivi iwe INA madhara au haina madhara imekatazwa kumwingilia mwanamke akiwa kwenye hedhi full stop. Hope ujumbe umeupata. Sasa we endekeza tu kibri wakati haya maisha yana mwisho.
 
popbwinyo

popbwinyo

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
4,190
Points
2,000
popbwinyo

popbwinyo

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
4,190 2,000
Hedhi ni uchafu hivyo msiwakaribie. Kwani unajua kilichopo kwenye ile dam? Nadhani madhara huwezi kuyaona kwa siku moja ILA badae sana. Hivi vitu vinavyokatazwa na Mwenyezi Mungu huwezi kuyaona madhara kwa siku moja au kwa kuyaona. Ni kama kula nguruwe kulivyokatazwa kwenye Qurani na Biblia. Watu hawawezi kuona madhara papo hapo. Unajua kuitwa mwanaume ni kwamba unatakiwa uwe strong na kuweza kuhimili vitu vidogo kama hivi. Hedhi huchukua siku 3 mpaka 7. Sasa kwanini usimsubiri mkeo amalize? ILA kwa uzoefu wangu wanao Fanya hivi ni wale ambao hawajao ama kuolewa. Sasa ni hivi iwe INA madhara au haina madhara imekatazwa kumwingilia mwanamke akiwa kwenye hedhi full stop. Hope ujumbe umeupata. Sasa we endekeza tu kibri wakati haya maisha yana mwisho.
Taja madhara sasa acha kuweka hisia
 
sab

sab

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Messages
5,155
Points
2,000
sab

sab

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2013
5,155 2,000
Mlio jibu ni ma doctor kweli au mnajibu jibu tu na uelewa wenu wa uswazi
 
J

Joseph lebai

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2017
Messages
2,795
Points
2,000
J

Joseph lebai

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2017
2,795 2,000
Hedhi mbona ni siku chache ? Una ukame wa namna gani mpaka ufanye mapenzi siku hizo ??
 
Forum statistics

Threads 1,284,088
Members 493,941
Posts 30,812,554
Top