Kufanya ngono wakati wa hedhi


swank

swank

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2017
Messages
759
Points
1,000
Age
26
swank

swank

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2017
759 1,000
Huyo mama kakudanganya! Au ukute hata yeye mtu mzima eti hajui siku zake za hatari
 
zipompa

zipompa

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Messages
5,158
Points
2,000
zipompa

zipompa

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2014
5,158 2,000
haya mambo japo wanaweka kanuni ila naamini siku ya mimba hautabiriki

kwa mwenye mzunguko wa siku 28 tarehe za mimba ni kuanzia siku ya 11-18 (hizi ndo siku za hatari) ila sikpu ya mimba nzuri ni siku ya 14 (kwa mujibu wa kalenda za wataalamu, wao wanaita siku ya 14 )

ila kuna maelezo pia nilisha yasomo sehemu yanaonesha mwanamke anaweza kuwa period wakati yai jingine likiwa tayari ivo siku ya period aki sex kuna uwezekano wa mimba.

inawezekana yeye ni miungoni mwa wachache ambao siku za hedhi tayar yai jingine linakuwa lisha pevuka
 
tejay

tejay

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Messages
1,222
Points
2,000
tejay

tejay

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2015
1,222 2,000
Jamani mwanamke mwenye mzunguko wa siku 28,nmekutana na mama mmoja nikaanza kumchimba nipate elimu ,yy kasema mzunguko wake ni 28 na akiwa anaingia period siku ya kwanza akikutana me,anaweza daka mimba,na siku ya tatu ambayo ni yameisho ,je ni ya kweli hayo wajuuzi na wabobezi?
Hawezi
 
tyina

tyina

Member
Joined
Jul 11, 2017
Messages
91
Points
95
tyina

tyina

Member
Joined Jul 11, 2017
91 95
Kuna madhara gani yanayotokea pale mwanaume anaposex na mwanamke wakati yupo period?
 
B

Babati

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
31,752
Points
2,000
Age
34
B

Babati

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
31,752 2,000
Kinyaa cha damu, kupata magonjwa kama(HIV, Hepatitis B n.k)
 
The Illicit Mc

The Illicit Mc

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2018
Messages
467
Points
1,000
The Illicit Mc

The Illicit Mc

JF-Expert Member
Joined Jan 21, 2018
467 1,000
Uchafu tuuu na magonjwa mengi nyemelezi
 
Perfectz

Perfectz

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2017
Messages
5,327
Points
2,000
Age
31
Perfectz

Perfectz

JF-Expert Member
Joined May 17, 2017
5,327 2,000
PUNGUZA TAMAA MKUU MWENZIO YUKO KWENYE SIKU ZAKE HUWEZI JAPO KUSUBIRI KWA SIKU KADHAA?
KWA HILI NAWEZA SEMA UNAWEZA HATA KUBAKA
 
Mwanga Lutila

Mwanga Lutila

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2016
Messages
2,912
Points
2,000
Mwanga Lutila

Mwanga Lutila

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2016
2,912 2,000
PUNGUZA TAMAA MKUU MWENZIO YUKO KWENYE SIKU ZAKE HUWEZI JAPO KUSUBIRI KWA SIKU KADHAA?
KWA HILI NAWEZA SEMA UNAWEZA HATA KUBAKA
Kumbuka muandika thread ni tyina (wa kike) kwa mujibu wa ID.
 
BLACK MARXIST

BLACK MARXIST

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2013
Messages
1,711
Points
2,000
Age
27
BLACK MARXIST

BLACK MARXIST

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2013
1,711 2,000
Mpe mzigo ajipigie tu. Umeshindwa kusubiri siku mbili tu Nyambavuu...
 
kelvin marcus

kelvin marcus

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2017
Messages
3,117
Points
2,000
Age
8
kelvin marcus

kelvin marcus

JF-Expert Member
Joined Jun 24, 2017
3,117 2,000
Kwa hiyo kama hamna madhara utakula mzigo ukiwa kwenye period
 

Forum statistics

Threads 1,286,011
Members 494,847
Posts 30,882,045
Top