MJADALA: Je, kuna madhara yoyote ya kufanya mapenzi wakati wa hedhi?

Wanaoweza kufanya hivi wakati wa hedhi ni lazima wana utindio wa ubongo. Haingii akilini kabisa watu wenye akili timamu wavuane chupi kipindi hiki.

Duh unakulaje sasa? Yaani damu zinatoka halafu wewe unaendelea kula? Hata kusingekuwa na madhara bado haiingii akilini kwa hali ya kawaida kabisa kula mzigo kwa style hio.
 
Kiafya haina tatizo ikiwa mwanamke hana uambukizo wa maradhi kama STD; gono, kisonono, kaswende etc. na mwanaume hana uambukizo na michubuko nk.

Hivyo ni salama kabisa ikiwa hali ya awali imejumishwa katika tathmini. Kikubwa tu ni hofu na fikra kwa kutokujua. I mean we are not well informed.

Angalizo tu ni kwamba it is not hygienic but no health d/effect if contrary is committed yaani hamna madhara kiafya. By not hygienic it means that one can stain the beddings, unpleasant boold smell, etc Kwa msaada zaidi wasiliana nami ili tufanye utafiti wa kina.

You can use condom; both male and female partner for hygiene or any other means one can find reliable.

Penis ikiingia mule ndani si itasababisha michubuko. na ukifanya sana unaweza kutoa vipande vya nyama.

Kwa sababu kipindi hiki ni kipindi ambacho ukuta unakuwa laini na matokeo yake unamong'onyoka (unamegeka). Au Dokta unasemaje?
 
Kwan ukikaa ukasubir upone unapata tatizo gani,kwa upande wangu cwez ni uchafuu tu naona
 
Ndo maana Zambia wameanzisha siku ya mama ambapo ni siku mwanamke akiwa kwenye hedhi. anapewa mapumziko, huku kwetu sijui inakuaje.
 
Wakubwa shikamooni,wadogo marhaba, rika moja mambo!

Wakuu Jana kidosho wangu tukiwa tunajiandaa kula vyetu adimu, wakati tunacheza michezo ya kuleta mizuka mara simba hawa!rediii harafu mimi mnara umesoma kinoma, kitu kimenyoka balaa. Nikicheki figa ya demu wangu hatarii namba 8,mkia Wa kondoo, chura wa snura anaingia mara3. Yaani kidogo nile bila kujali tomato.

Sasa wenzangu, je ningekula tu au vipi, maana nilibaki na hamu zangu.
 
Wakubwa shikamooni,wadogo marhaba,rika moja mambo!.
Wakuu Jana kidosho wangu tukiwa tunajiandaa kula vyetu adimu,wakati tunacheza michezo ya kuleta mizuka Mara simba hawa!rediiiharafu Mimi mnara umesoma kinoma!kitu kimenyoka balaa!nikicheki figa ya demu wangu hatarii namba 8,mkia Wa kondoo,chura Wa snura anaingia mara3.yaani kidogo nile bila kujali tomato
Sasa wenzangu je ningekula tu au vipi.maana nilibaki Na hamu zangu
Wajuzi nijuzeni
 
Back
Top Bottom