Kufanya ngono wakati wa hedhi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kufanya ngono wakati wa hedhi

Discussion in 'JF Doctor' started by Mhache, Aug 27, 2008.

 1. Mhache

  Mhache JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2008
  Joined: Jun 20, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ni madhara gani mtu anaweza kupata akifanya mapenzi au tendo la ndoa na mwanamke aliyeko kwenye siku zake?


   
 2. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2008
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Kiafya haina tatizo ikiwa mwanamke hana uambukizo wa maradhi kama STD; gono, kisonono, kaswende etc. na mwanaume hana uambukizo na michubuko nk.

  Hivyo ni salama kabisa ikiwa hali ya awali imejumishwa katika tathmini. Kikubwa tu ni hofu na fikra kwa kutokujua. I mean we are not well informed.

  Angalizo tu ni kwamba it is not hygienic but no health d/effect if contrary is committed yaani hamna madhara kiafya. By not hygienic it means that one can stain the beddings, unpleasant boold smell, etc Kwa msaada zaidi wasiliana nami ili tufanye utafiti wa kina.

  You can use condom; both male and female partner for hygiene or any other means one can find reliable.
   
 3. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Mimi ni mmoja ambao huwa siku hizi huwa siangalii huwa na DO tu........sijaona madhara yoyote kuna wakati jamaa aliniambia kuna madhara kama kupata kansa ya kibofu na magonjwa mengie ya kibofu....

  sasa kama unafahamu lolote kuhusu hili zaidi basi mwaga hapa kila ili na wengine ambao wanaDO hii style lakini wanaogopa kusema
   
 4. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #4
  Aug 28, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  ...hata kende hupata madhara, huvimba na kuuma sana kiasi ya kushindwa kukaa ama kutembea. Hii utokea siku chache baada ya tendo.
   
 5. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #5
  Aug 28, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,806
  Likes Received: 83,184
  Trophy Points: 280
  We mkali! Naona wanaume wengi na wanawake hawana tatizo wanaweka taulo la rangi mbaya chini na kunanino kama kazi :) Baadhi ya wanawake wanadai enjoyment yake si ya kawaida na wengine wakati huo wanakuwa horny.
   
 6. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35


  Wewe mbona hatari utapata mshipa
   
 7. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #7
  Aug 28, 2008
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,301
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  We naima tumeambiwa haina madhara only that couples may become uncomfortable with the environment (hygienecally)!

  Mishipa naskia huziba kama mtafanya kinyume na maumbile sasa hii ya siku za hedhi so far is okay!! I hear women get very horny during these time sasa why not explore and see the best time to enjoy sex!!!!

  Doctors please come up with datas/info za kutosha.
   
 8. LadyMzuri

  LadyMzuri Member

  #8
  Aug 28, 2008
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 50
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  personally, i hate the period days, sasa na kujaamiana tena wakati huo itakuwa ngumu sana, but i think its preferance ya watu! interesting reading your posts though!!!
   
 9. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #9
  Aug 28, 2008
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  kwi kwi kwi...
  Shipa unapata kwa njia hii?duh kwi kwi./...
   
 10. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #10
  Aug 28, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  sidhani kama shipa linatokana na hii.......watu wengi wanao fanya kipindi hiki wanasema hawajapata dhara lolote hata hilo mkuu Kibunango ulilosema sijasikia wakisema hivyo na binafsi sijawahi kupata.....
   
 11. Visenti

  Visenti JF-Expert Member

  #11
  Aug 28, 2008
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 1,031
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 133
  Hakuna madhara yoyote kiafya, kama mwenzio yuko confortable ni ruksa ku-enjoy, hata wakati wa ujauzito ni ruksa kama mama yuko confortable, akianza uchungu anakuwa exempted, akijifungua anapumzika siku 42 tu (PEUPERAL PERIOD) wakati huu genital organs zitakuwa zinarudi to normal pre-pregnant state, then you can resume the activity to full enjoyment.
   
 12. Faith

  Faith Member

  #12
  Aug 28, 2008
  Joined: Jul 9, 2008
  Messages: 52
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mimi naona hakuna madhara yoyote tatizo nahisi usafi ndo ishu mana kuna wanawake wengine wanamwaga kwelikweli sasa hayo mashuka inakuaje du ..spati picha ila sipendi kwakweli nikiwa hali hii kumeet na my nanii
   
 13. K

  Kungurumweupe JF-Expert Member

  #13
  Aug 28, 2008
  Joined: Jun 17, 2008
  Messages: 317
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  I ejoy doing it with my wife when she is on her period; she feels the same too! No harm so far!
   
 14. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #14
  Aug 28, 2008
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145

  Mhache, mimi nilidhani swali hapa lisiwe ni madhara gani bali...kuna ulazima gani!!! teh teh teh.
   
 15. Visenti

  Visenti JF-Expert Member

  #15
  Aug 28, 2008
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 1,031
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 133
  Wether ni wakati wa period, pregnancy au wakati mwingine, Ulazima na sababu za kufanya ni maamuzi ya wahusika.
   
 16. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #16
  Aug 28, 2008
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  LOL,

  Hiyo ni najisi shaykh, nimebaini kuna bin-Adamu hawana kinyaa, mweh!

  Hawa hawana tofauti na wale wengine , naniiii... 'wachimba vyoo'(curse be upon them).
   
  Last edited by a moderator: Aug 28, 2008
 17. Pipiro

  Pipiro JF-Expert Member

  #17
  Aug 28, 2008
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 307
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Wanaita kuchinja kuku. Habari kubwa hii
   
 18. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #18
  Aug 28, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,761
  Trophy Points: 280
  Wewe mbona hatari utapata mshipa


  mshipa only ukila mke wa mtu
   
 19. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #19
  Aug 28, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,761
  Trophy Points: 280
  wacha kumwaga tu ukinyonya kisimi na cream yake usiimeze unaweza hisi uko peponi

  we wacha tu
   
 20. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #20
  Aug 28, 2008
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Maadili jamani wana JF tumieni tafsida
   
Loading...