Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 63,547
- 112,468
Ni huzuni kwakweli ( kwa sauti ya Ruben hakika)Unaweka kwa juu unaanza kuhema kama unakata roho mpaka upande wa pili anaamua akushushe tu usije ukamfia
Wakati enzi hizo mtu unaride lisaa na uko good, dah ujana ndio unatupiga teke hivo