Kufanya mapenzi( Ngono) siyo dhambi.

Uko sahihi.dhambi ni kanuni za wanadamu na ni tofauti na uumbaji wa Mungu.Mungu aliweka uumbaji wake hivi,kubalee kwa mwanaume na kuvunja ungo kwa mwanamke.Ukisha balehee na mwanamke akivunja ungo huo ndio ufunguo Mungu aliouweka wa binadamu kujamiiana hizo nyingine ni mbwembwe za watu.Wewe kama unajiweza kula vyombo uwezavyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zero IQ mimi ndio naamini hivyo kwangu kufanya mapenzi (ngono) siyo dhambi .

Ukiniuliza kwa nini nitakujibu tu kwamba ni ka mbinu tu walichotumia wazungu ili tuogope kujipimia utamu kwa mademu zetu wakali (wenye Chura,makinikia) kama yule siti nani sijui waliomuweka kwenye makumbusho yao,

Wanaume tumeumbwa Rijari kwa kazi moja tu ya kibiolojia sasa kwa nini iwe dhambi,

Unaogopa kuitafuna papuchi ya jirani anaekushobokea kisa eti umeoa unaogopa dhambi, ,

Ulishawahi kujiuliza kwa nini Mungu kaumba wanawake wengi kuliko wanaume yaani ile Ratio ya 4:1?

ingekuwa kufanya mapenzi dhambi basi ata ratio ingekuwa sawa yaani 1:1,

Mfalme suleiman alikuwa kipenzi cha Mungu hadi kufikia hatua ya kupewa hekima na utajiri usiomisilika lakini hakuona dhambi kuwa na mademu 700 plus masuria (michepuko) 300,

Wewe na kademu kako kamoja eti unaogopa kumcheat kwa kuogopa dhambi? nani kasema .


Dhambi ni kuiba mali ya mtu ,kumtukana mtu na kumkosea heshima,kuua na zingine nyingi lakini siyo kufanya mapenzi,

Nawaambia ingekuwa dhambi hakika muumbaji asingekubali hii update ya mademu wa siku hizi wenye chura ipitishwe .


Cc Zero IQ.


Sent using Jamii Forums mobile app
Nabii Tito uliishatoka Rumande?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom