Kufanya mapenzi ndotoni

PastorA

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
361
275
Wana body habari za saa hizi naomba kutoa elimu kwenu kwa muda huu, juu ya watu wenye hali ya kujikuta wanafanya mapenzi na wasio wajua au wanao wajua ndotoni...

Awali ya yote naanza na kukuelimisha wewe ni nani... kimsingi wewe (mtu) roho yenye nafsi hai iliyopo ndani ya mwili....
Unapokuwa umelala usiku roho ya mtu huwa hailali.

Hivyo unapoanza kuota ndoto ya kufanya mapenzi na mtu kimsingi sio kama unaota Ila ni tendo original. Pia unapoamka unajikuta kweli umechafuka na manii.

Unapaswa kujua kuwa kuna viumbe ambao hawawezi kuonekana kwa macho hawa ni majini au mapepo ambayo huwaingilia watu kimwili na kufanya mapenzi ,pia majini hawa wanaweza kuvaa umbo na sura yoyote ya mtu, mnyama au mdudu, na ndio maana kuna watu wanafanywa mapenzi na majini haya tena kinyume cha maumbile, na mashetani hawa na wanahangaika wamuone hata sura lakini hawafanikiwi, na wengine kufanywa mapenzi kawaida lkn huwezi kuona sura yake au unaweza kumuona kama ni mwanamke au mwanaume anaweza kuwa mwarabu,mhindi au mchina na mzungu lkn kimsingi ni shetani amevaa umbo la mtu, ndio hao majini mahaba.
Inaweza kufika pointi hata ukaolewa nalo.

DALILI
1. Watu ambao wanamashetani ya uzinzi au majini mahaba, wengi huwa hawawezi kuolewa au kukaa na mchumba wake na wakazungumza mambo ya ndoa, kwani wakianza tuu....tayari yule jini au pepo mwenye ndoa na yeye hawezi kukubali akijua anaibiwa, hapo utaona mtu anakasirika na hataki kuongea mambo ya kuoana.
2. Uchumba kuvunjika kila unapo chumbiwa au kuchumbia.
3. Chuki dhidi ya wanaume/wanawake...unamkuta mtu anawachukia wanaume wa kimwili sana kumbe ni yule jini.
4. Kutoridhishwa kwa tendo la ndoa na mwenzi wako kwa kuwa umemzoea na kumfurahia sana yule mini, hivyo ukiona mchumba au mwenzako hafurahii ba wewe hata iwe.

NB. Mashetani hawa wanaweza wakavaa mwili na kuja mwilini kabisa na kujifanya mtu kumbe ndani ni Shetani...kuna elimu ambayo wanadamu hawajaijua na kama wakiijua shetani hatakuwa na nafasi ya kuwatesa tena...
** Mtu unavyo muona nje inaweza ikawa ni tofauti na ndani ,yaani roho ikawa nyingine.
Mfano ilitabiriwa kuwa Kabla ya Yesu kufa msalabani Nabii Eliya atakuja kwanza,
Mfano soma. Mathayo 17:1-13

Jini linaweza kuvaa mwili nje akawa binti mzuri sana au Handsome mzuri sana, lakini ndani ni kingine.... (wadada mnaopenda ma handsome, na wakaka mnaopenda wadas warembo sana... chungeni sana)
Dalili yao hawa wanapena mahusiano ya muda mrefu mfano miaka hata mitatu au mitano kwenye uchumba bila ndoa ya halali....kwao ni faida kuu...

Lakini Mungu ni mwema anawapens sana wanadamu
Majini hawa wanweza kushughulikiwa kwa jina la Yesu na mtu akawahuru....

KAMA NIKIHITAJIKA NITAKUJA TENA KUELEZA MADHARA YAO KTK MAISHA YA MWANADAMU.
naruhusu maswali na PM yangu ipo wazi......
 
Sasa ukifanya na mtu unaemfahamu
Ukifanya na mtu unaemfahamu kuna mawili.
.1. Jini amevaa sura yake kwa kuwa anajua ubamfahamu hivyo hautakuwa na hofu sana yaani amani itakutawala na huwezi kutafuta solution
2. Mungu yy mwenyewe anatumika bila kujijua kwa namna ya kichawi

Tiba: kuna namna ya kuomba na kufanya maombi kama akija usiku kufanya na wewe atashindwa nwenyewe maana nwili wako utashindwa kushikika...
 
Kuna kipindi nilikua naota sana nafanya mapenzi na mwanaume simfaham na alikua mweupe na nywele ndefu zinamfunika uso,,pembeni ya kitanda walikaa wanawake wawili wanatuangalia,,nilikua naota napata raha ajabu kuna kipindi nilifululiza kumuota lakin nishaacha kuota sana kama zamani
 
Kinachoendelea sio kama nayo mambo kwako yameisha isipo kuwa kun kitu na matatizo Fulani kwenye maisha yako tayari yameaha himarika wakijua hayatausha Leo wala kesho mpaka uchue hatua Fulani na kama wakiona unataka ufunguke atakuja tena kulala na ww.Tatizo hilo hauta liona Leo..
N ile raha uliyokuwa unaisikia si ya kawaida kuna ambao wanafia hapo kwenye raha ile...ndio maana unaweza kusikia taarifa kuwa,kuna mtu amekufa akiwa anasnya mapenzi baada ya utamu kuzidi....
Pole Ila haupo salama
 
Usimtishe...
 
Wana body habari za SAA hizi naomba kutoa elimu kwenu kwa muda huu, juu ya watu wenye hali ya kujikuta wanafanya mapenzi na wasio wajua au wanao wajua ndotoni...
Awali ya yote naanza na kukuelimisha wewe ni nani...kimsingi we we( mtu) roho yenye nafsi hai iliyopo ndani ya mwili....
Unapokuwa umelala usiku roho ya mtu huwa hailali.
Hivyo unapoanza kuota ndoto ya kufanya mapenzi na mtu kimsingi sio kama unaota Ila ni tendo original. Pia unapoamka unajikuta kweli umechafuka na manii .
Unapaswa kujua kuwa kuna viumbe ambao hawawezi kuonekana kwa macho hawa ni majini au mapepo ambayo huwaingilia watu kimwili na kufanya mapenzi ,pia majini hawa wanaweza kuvaa umbo na sura yyte ya mtu,mnyama au mdudu, na ndio maana kuna watu wanafanywa mapenzi na majini haya tena kinyume cha maumbile, na mashetani hawa na wanahangaika wamuone hata sura lkn hawafanikiwi, na wengine kufanywa mapenzi kawaida lkn huwezi kuona sura yake au unaweza kumuona kama ni mwanamke au mwanaume anaweza kuwa mwarabu,mhindi au mchina na mzungu lkn kimsingi ni shetani amevaa umbo la mtu, ndio hao majini mahaba.
Inaweza kufika point hata ukaolewa nalo.
DALILI
1.watu ambao wanamashetani ya uzinzi au majini mahaba,wengi huwa hawawezi kuolewa au kukaa na mchumba wake na wakazungumza mambo ya ndoa, kwani wakianza tuu....tayari yule jini au pepo mwenye ndoa na yy hawezi kukubali akijua anaibiwa, hapo utaona mtu anakasirika na hataki kuongea mambo ya kuoana.
2. Uchumba kuvunjika kila unapo chumbiwa au kuchumbia
3. Chuki dhidi ya wanaume/wanawake...unamkuta mtu anawachukia wanaume wa kimwili sana kumbe ni yule jini.
4. Kutoridhishwa kwa tendo la ndoa na mwenzi wako kwa kuwa umemzoea na kumfurahia sana yule mini, hivyo ukiona mchumba au mwenzako hafurahii ba wewe hata iwe
NB.Mashetani hawa wanaweza wakavaa mwili na kuja mwilini kabisa na kujifanya mtu kumbe ndani ni Shetani...kuna elimu ambayo wanadamu hawajaijua na kama wakiijua shetani hatakuwa na nafasi ya kuwatesa tena...
** Mtu unavyo muona nje inaweza ikawa ni tofauti na ndani ,yaani roho ikawa nyingine.
Mfano ilitabiriwa kuwa Kabla ya Yesu kufa msalabani Nabii Eliya atakuja kwanza,
Mfano soma. Mathayo 17:1-13
Jini linaweza kuvaa mwili nje akawa binti mzuri sana au Handsome mzuri sana, lakini ndani ni kingine....( wadada mnaopenda ma handsome, na wakaka mnaopenda wadas warembo sana ...chungeni sana)
Dalili yao hawa wanapena mahusiano ya muda mrefu mfano miaka hats mitatu au mitano kwenye uchumba bila ndoa ya halali....kwao ni faida kuu..
**Lakini Mungu ni mwema anawapens sana wanadamu**
Majini hawa wanweza kushughulikiwa kwa jina la Yesu na mtu akawahuru....

KAMA NIKIHITAJIKA NITAKUJA TENA KUELEZA MADHARA YAO KTK MAISHA YA MWANADAMU.
naruhusu maswali na PM yangu ipo wazi......
Nimekushtukia wewe bhana,unataka mademu waje PM ili uwatongoze au vipi?,ushindwe kwa jina la yesu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kabla sijayakabidhi maisha yangu kwa Bwana Yesu, nilisumbuliwa sana na haya mashetani. Namshukuru sana Mungu Aliyeniokoa na sasa ninaishi maisha yenye usalama na uhakika. Nimepewa mamlaka ya kukanyaga nyoka na nge na nguvu zote za yule mwovu wala hakuna chochote kinachoweza kunidhuru. LUKA 10:19.
 
Wana body habari za SAA hizi naomba kutoa elimu kwenu kwa muda huu, juu ya watu wenye hali ya kujikuta wanafanya mapenzi na wasio wajua au wanao wajua ndotoni...
Awali ya yote naanza na kukuelimisha wewe ni nani...kimsingi we we( mtu) roho yenye nafsi hai iliyopo ndani ya mwili....
Unapokuwa umelala usiku roho ya mtu huwa hailali.
Hivyo unapoanza kuota ndoto ya kufanya mapenzi na mtu kimsingi sio kama unaota Ila ni tendo original. Pia unapoamka unajikuta kweli umechafuka na manii .
Unapaswa kujua kuwa kuna viumbe ambao hawawezi kuonekana kwa macho hawa ni majini au mapepo ambayo huwaingilia watu kimwili na kufanya mapenzi ,pia majini hawa wanaweza kuvaa umbo na sura yyte ya mtu,mnyama au mdudu, na ndio maana kuna watu wanafanywa mapenzi na majini haya tena kinyume cha maumbile, na mashetani hawa na wanahangaika wamuone hata sura lkn hawafanikiwi, na wengine kufanywa mapenzi kawaida lkn huwezi kuona sura yake au unaweza kumuona kama ni mwanamke au mwanaume anaweza kuwa mwarabu,mhindi au mchina na mzungu lkn kimsingi ni shetani amevaa umbo la mtu, ndio hao majini mahaba.
Inaweza kufika point hata ukaolewa nalo.
DALILI
1.watu ambao wanamashetani ya uzinzi au majini mahaba,wengi huwa hawawezi kuolewa au kukaa na mchumba wake na wakazungumza mambo ya ndoa, kwani wakianza tuu....tayari yule jini au pepo mwenye ndoa na yy hawezi kukubali akijua anaibiwa, hapo utaona mtu anakasirika na hataki kuongea mambo ya kuoana.
2. Uchumba kuvunjika kila unapo chumbiwa au kuchumbia
3. Chuki dhidi ya wanaume/wanawake...unamkuta mtu anawachukia wanaume wa kimwili sana kumbe ni yule jini.
4. Kutoridhishwa kwa tendo la ndoa na mwenzi wako kwa kuwa umemzoea na kumfurahia sana yule mini, hivyo ukiona mchumba au mwenzako hafurahii ba wewe hata iwe
NB.Mashetani hawa wanaweza wakavaa mwili na kuja mwilini kabisa na kujifanya mtu kumbe ndani ni Shetani...kuna elimu ambayo wanadamu hawajaijua na kama wakiijua shetani hatakuwa na nafasi ya kuwatesa tena...
** Mtu unavyo muona nje inaweza ikawa ni tofauti na ndani ,yaani roho ikawa nyingine.
Mfano ilitabiriwa kuwa Kabla ya Yesu kufa msalabani Nabii Eliya atakuja kwanza,
Mfano soma. Mathayo 17:1-13
Jini linaweza kuvaa mwili nje akawa binti mzuri sana au Handsome mzuri sana, lakini ndani ni kingine....( wadada mnaopenda ma handsome, na wakaka mnaopenda wadas warembo sana ...chungeni sana)
Dalili yao hawa wanapena mahusiano ya muda mrefu mfano miaka hats mitatu au mitano kwenye uchumba bila ndoa ya halali....kwao ni faida kuu..
**Lakini Mungu ni mwema anawapens sana wanadamu**
Majini hawa wanweza kushughulikiwa kwa jina la Yesu na mtu akawahuru....

KAMA NIKIHITAJIKA NITAKUJA TENA KUELEZA MADHARA YAO KTK MAISHA YA MWANADAMU.
naruhusu maswali na PM yangu ipo wazi......

Suluhisho kwa mtu anayesumbuliwa na haya maroho ni nini ?
 
Mi hua naota nafanya mapenzi na MTU nisiye mjua but cjawahi kuchafuka. He nayo inakua Original??
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom