nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,369
BAK unadhani..... sijawahi kukanyaga kwenye beach hata moja kati ya hizo nilizo ziorodhesha. Nimegoogle tu mwaya ili kumsaidia The Boss. Lol. Maana ameonyesha yuko interested afu ku google hataki.
Dah! NK una uzoefu wa hali ya juu katika kujirusha kwa raha zenu sehemu za ufukweni mwa bahari. Unaweza kutunukiwa degree lol!...
Last edited by a moderator: