Kufanya mapenzi kwenye gari, sehemu za wazi kama barabarani, etc ni kwanini, nini raha yake?

Huyo jamaa yuko adventurous he knows the game.kitandani kila cku kwani mmekua babu na bibi sometimes as couple u need to b creative sex in public is such a turn on kwenye gari on the beach yaani huyo jamaa anajua mambo wala usimwache
 
Aaah.. Labda mie niko tofauti kabisa.. Kwangu lile tendo linahitaji faragha..Habari za kuambiwa nishuke kwenye gari niinamishwe kwa kweli SITAKI na Siwezi kukubali hata iweje!

Sidhani mapenzi yako hvyo kama unavyoandika hapa..kwamba ni habari ya kuambiwa bila wewe kuushirikisha ubongo wako..Kiukweli kama ni mtu wako sioni kwa nini mjifanye mko 'formal' sana?. Wakt mwingine 'informalities' kwenye mapenzi zina raha yake!..Sema kinachogomba hapa ni namna ya kuset mazingira..coz wakt mwingine unaweza kushtukia Shigongo keshaawalipua kwenye magazeti yake ya udaku!
 
Mapenzi hayana fomula ni popote jaribu sikumoja utaona raha yake iwe ofisini, kwenye lift za majenngo, kordo za kwenye ngazi, chooni, kwenye parking za magari,baharini, kenywe magari, jikoni, sebuleni, bafuni yaani kokote kule kuna raha yake hasa pale mnapo pendana kiukweli una enjoy ile mbaya asikwambie mtu!
 
Dah, umenikumbusha kuna mwalimu mmoja UDSM alituhadithiaga ndugu yake dereva daladala ilikuwa kila ikifika usiku kwenda kulaza gari lazima awe na demu wake na wanafanya huku gari inatembea alafu demu anapiga makelele sana mpaka gari ya pembeni wanasikia wanamuulizaga dereva kulikoni, yeye hana majibu ila wakimaliza na yeye anajikuta amemwaga hewani mmmh
 
Chezeiya adrenaline rush,lol!
Nini boifrend, hata wenye ndoa ya 10 years wanafanya hii. Mama, be creative and get out of the box to smell the air. Sneaking out ina raha yake. Hata Kama kuna wageni sebleni, mkikutana na muzeiya jikoni AMA kwenye corridor m-surprise na kiss uone, lol
 
inaonyesha kuwa mpenzio anaweza ku overcome inhibitions zake na kujaribu mambo...yupo adventureous bana...sasa kwani adam na hawa walimegana kitandani sii maporini tatizo lipo wapi

Tambua kuwa Adam na Hawa walikuwa uchi wa mnyama masaa 24. Je wewe unaweza kuzurura mitaani ukiwa uchi? Si kila walichofanya watangulizi wetu kinafaa kwa ustaarabu wa sasa.
 
Love is anywhere, haijalishi mko kwenye ndoa, wachumba au wezi wa mapenzi, as long as you are in love, muhimu msichafue hali ya hewa, kwa maana msiwasumbue watu wengine katika action zenu, kwa maana nyingine muwe kwenye privacy. Hata mume na mke kwa kutaka privacy mkiwa home, mnaweza kuwasafirisha watoto ili muenjoy love, jikoni haya, sebuleni haya, bafuni haya n.k. Na mnakuwa huru zaidi kwani mnaweza kupiga mayowe kwa raha zenu, badala ya kugugumia kwa kuogopa watoto watawasikia, teh teh teh, mapenzi raha sana, hasa mkutane mnaopendana
 
Kuna mwanafalsafa mmoja wa Kigiriki anaitwa Arisstotle aliishi kati ya (384 BC – 322 BC). Kuna wakati alifuatwa na watu na wakamuuliza hili swali, "Hivi mwanadamu ni nani?". Aristotle akawajibu, "Mwanadamu ni mnyama asiye na manyoya".
Kutokana na hiyo nukuu ndogo tu, unaweza ukaelewa kuwa, kama vile kuku(tetee na jogoo) wanavyofukuzana au mbwa wanavyofanzana hadharani ili tu walane uroda, vivyo hivyo unyama huo utauona kwa mawanadamu linapokuja suala la ngono, mahaba au uroda

Hakika umenena tofauti wanyama ni timing na mara nyingi mwenye nguvu ya mwili hushinda ila kwa binadamu mwenyenguvu ya pesa hushinda( pesa kulingana na mazingira)
 
Mapenzi hayana fomula ni popote jaribu sikumoja utaona raha yake iwe ofisini, kwenye lift za majenngo, kordo za kwenye ngazi, chooni, kwenye parking za magari,baharini, kenywe magari, jikoni, sebuleni, bafuni yaani kokote kule kuna raha yake hasa pale mnapo pendana kiukweli una enjoy ile mbaya asikwambie mtu!

Last edited by a moderator:
Sidhani mapenzi yako hvyo kama unavyoandika hapa..kwamba ni habari ya kuambiwa bila wewe kuushirikisha ubongo wako..Kiukweli kama ni mtu wako sioni kwa nini mjifanye mko 'formal' sana?. Wakt mwingine 'informalities' kwenye mapenzi zina raha yake!..Sema kinachogomba hapa ni namna ya kuset mazingira..coz wakt mwingine unaweza kushtukia Shigongo keshaawalipua kwenye magazeti yake ya udaku!

Sasa unapomfikiria shigongo kuwalipua kwenye magazeti yake, utakuwa unawaza hilo tendo au utakuwa unamuwaza Shigongo??... Kwa nini mfanye kwa wasiwasi bana? Si bora nikafanye faragha kwa raha zangu.. Na for your information wanaume kwa asilimia kubwa ndio waanzilishi wa kuwaambia wadada washuke kwenye gari wainamishwe ndio maana nikasema mimi SIWEZI kukubali..
 
piga kazi dada mdogo,mnajipanga utafikiri mnaenda kutetea pepa mbele ya ma-professor!!!formal kila siku inaboa bana.napenda mi-suprise ya ile kitu bana.......daah,kwanza umenikumbusha kisiwani bongoyo,akyanani!piga gemu moja matata sana pwani,garini,jikoni...(.haswa muda wa watoto kutoka twisheni unapokaribia...lol)...na dahhh......unamyima jamaa yako raha ww mrembo!!
 
Kila mtu ana maoni yake ndugu... Siwezi kuunga mkono hoja ili nimfurahishe a, b, c or d..Huo ndio mtizamo kaka.!

Still in the box Neylu!Taratibu zikizidi mapenzi yanashuka!Kwannavyokusoma wewe hata ikija ile hali yakupiga yowe unaogopa eti ee huyu mwanaume atanielewaje?Piga yowe wewe wanaume ndio tunapa mzuka!No misimamo kwenye love!Du wewe,wewe!Ungekutana na-mi once ungehama uko uliko!
 
Hahahaaaa..... You have made my day! Ngoja ninyamaze mie..
 
Back
Top Bottom