Kufanya Kazi Serikalini au NGO

LoSo

New Member
Jun 19, 2013
4
4
Habari wadau, naomba muongozo, kufanya kazi serikalini parmanently au kufanya kazi NGO on contract basis.. Kipi bora..

NB: kazi ya uhasibu
 
Maelezo yako bado hayajakamilika vizuri.
Ili watu wakuelewe ina swali lako ulimalizie kwamba kufanya kazi serikalini na NGO kipi ni bora in terms of what?what is your interest? what is your priority?
 
Kufanya kazi serikalini kama mhasibu au NGO kam mhasibu pia.. Serikalini ajira ya kudumu na NGO ajira ya mkataba wa mda mfupi mfupi.. Wapi kuna future? Intrest yangu ni kua mhasibu.. Najaribu kuchagua niende wapo kwa sababu nimepata kazi sehem zote mbili
 
Level za mshahara zipoje??
 
Contract basis ni bora zaidi...
Contracts zina changamoto zake, labda kama una malengo ya kuja kujiajiri baadaye. Maana muda wa contract utakapokwisha, roho inakuwa juu juu kuwaza kama utaongezewa mkataba au la. Na mkataba utakaoongezewa ni rahisi kubadilishwa vipengele jambo ambalo huwezi kulipinga zaidi ya kukataa kuendelea
 
Nenda serikalini...hizo contract basis hazina future na maisha yako ya baadae coz apo watakuzoesha maisha ya juu mwisho was siku ukiambiwa stop utachanganyikiwa zen ukute upo nyumba za kupanga na watoto wanasoma hizo English medium.
 
una umri gani? mi nashauri km bado kijana sana 30 kushuka chini, nenda NGO, fanya yako kwa akili. ela ni ndefu sana mara 3 ya serikalini!. uwe mchapakazi, ukauzike, ili hata mkataba ukiisha wakuhitaji tena. halafu baadae rudi serikalini sasa ukatulie. ila kama bado yanki sana uje serikalini huku kwenye ela za mawazo, shauri yako.
 
Nenda serikalini...hizo contract basis hazina future na maisha yako ya baadae coz apo watakuzoesha maisha ya juu mwisho was siku ukiambiwa stop utachanganyikiwa zen ukute upo nyumba za kupanga na watoto wanasoma hizo English medium.
Nimeona nijibu hii thread hasa baada ya kuona hii reply ya rich1

Watanzania wengi ni waoga sana ku take risk. Na hii inaenda kote kote hata kwenye biashara, maisha ya kikazi, na fursa zingine.
Sikiliza, uoga wako ndio umaskini wako. Ngoja nikupe mfano wangu........ Mimi tangu nimalize shule sijafikisha hata miaka 10; sehemu ninayofanya kazi sasa ni shirika la 6 kufanya nalo; mshahara wangu wa sasa ni mara 6 ya ule niliokua nao mara tu baada ya kumaliza internship. Sijawahi kufanya kazi serikalini.
Nimeona hapo umesema mshahara wa NGO ni mara 3 ya wa serikalini. Kama factors zingine zote ni constant, na utofauti pekee ni huo mshahara, nakwambia hivi, chukua hiyo kazi ya NGO, achana na serikalini. LAKINI, ni muhimu sana, USIBWETEKE unapokua kwenye hiyo kazi yako ya contract. Unapoanza kazi yako hiyo, chagua eneo moja ambalo wewe ndo unalifanyia kazi kwenye kazi zako za kila siku, na pia unalipenda; Halafu sasa anza kujiongezea ujuzi na maarifa kwa kusoma kozi mbalimbali za certifications kwenye hilo eneo (najua fani ya uhasibu ina maeneo mengi sana, na kozi mbalimbali za vyeti kwenye haya maeneo); Usione ubahili kukamilisha hili pale ambapo utahitajika kulipia fees kwa ajili ya hizi certifications. Jitofautishe na wahasibu wengine kwenye hilo eneo wenye qualifications sawa na wewe kwa kujiongezea value kwa hizo certifications na kujifunza skills mpya kila inapowezekana, USIBWETEKE KAMA WATU WA SERIKALINI.
Pili, fanya kazi kwa bidii, hakikisha kila siku unajifunza jambo jipya na uifanye kazi yako kwa weledi mkubwa sana.Kingine cha muhimu sana, kila unapopewa mkataba mpya (lets say wa mwaka mmoja, au miwili, au mitatu au mitano) hakikisha unajiwekea MALENGO wakati unasaini huo mkataba; Yagawe malengo yako kwenye vipengele hivi: Kitaaluma, Kiuchumi, Kijamii, Kiroho. Yaandike kwenye diary, kadri siku za mkataba wako zinavyoenda uwe unajitathimini mwenyewe, je unaenda sawa na malengo yako? Siku mkataba umeisha, ujifanye tathimin ya mwisho na ujjue ni kipi umefanikisha, kipi umeshindwa na kwa nini, na unaposaini tena mkataba mpya, ujiwekee tena malengo ambayo yanaweza kuwa ni mapya au muendelezo wa yale ya nyuma. Mimi kwa kila shirika nililopitia, ninaweza kukwambia nini nimevuna kwa muda wangu niliokaa hapo.
USIOGOPE kwamba kazi ya mkataba eti ukiisha utakufa njaa. Haya ni mawazo ya kiuoga na kivivu sana. Wewe unaona kabisa mkataba wako unaisha lets say in three au six months; na tayari labda kwenye shirika kumetangazwa kwamba watapunguza watu, au watafunga kabisa kampuni.... It means huo ni muda wa wewe kuanza kutafuta pori lingine; anza kutafuta kazi huku ukitumia maarifa na ujuzi ulioupata kama chambo cha kuvutia waajiri unapoomba kazi zingine.... Na hapa ndo unakuja ule umuhimu wa value addition ambayo nilikwambia mwanzoni..
Pia, ukiwa marketable yaani wewe muda wowote tu ukijiona kuwa sasa umeshakua kiujuzi na kimaarifa,unachakarika kutafuta kazi shirika lingine, sio ukae shirika moja miaka hadi watu wanakuchoka wanasema huyu anaondoka lini? Usikae shirika moja miaka mitano, kumi sijui, unatafuta nini? Ni shirika lako hilo au la baba yako? Ukiona pia umefanya kazi sehemu hata ndani ya mwezi mmoja tu au miwili,huridhiki vitu vinavyokukera ni vingi kuliko vinavyokupa raha, move on bila hata kujiuliza mara mbili; hata ikiwa within a month. Usikae kulalama lalama tuu kila siku (kama walivyo asilimia kubwa ya Watanzania,lakini hata hajishughulishi kutafuta kazi sehemu nyingine,kama vile amelogwa). Kila muda jiweke marketable and ready to take on a new challenge na kutafuta a greener pasture, or even establish your own thing when you are ready.
LoSo
 
mkuu serikali inategemea na taasisi uliyoajiriwa nayo, zingine ni kwenda kuingia mkataba wa umasikini mpka kustaafu kwako...
angalia maslahi, tatzo letu huwa ni uoga unaotufanya kukumbilia kazi za serikali amabzao ni permanent and pensionable but maslahi kiduchu
 
Jamaa hapa ndio kamaliza mada.
Hizi ndio mbinu sahihi kwa vijana tuache uoga.
Hata Mimi pia tangu nimalize chuo sijawahi kuajiriwa kwenye kazi ya permanent yaani kazi zangu ni za contract tu na nimefanya kazi kwenye kampuni Kama 5 hivi na Mambo niliyoyafanya ndani ya miaka saba ni sawasawa na mstaafu wa serikalini.
Kwa hiyo ni wewe muamuzi wa yote Kama ukijiona hauna confidence sawa nenda huko serikalini ukaishi maisha ya kuunga unga na madeni.
Na ukijiona una imani na confidence ya kutosha nenda kwenye NGO ukale maisha.
 
Safi

Back
Top Bottom