Kufanya kazi sana kunapunguza uwezo wa shughuli?

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,091
Nimekuwa naisikia sana hii theory, sasa wajameni kufanya kazi sana kunapunguza uwezo wa kushughulika kwenye yale mambo ya utu uzima? Maana kama ni hivyo mi ntapata tabu maana mpaka sasa niko ofisini eti!
 
yapi? Kuna mambo mengi ya kiutu uzima kutafuta hela, kubeba zege, nk be specific mkuu
 
Akili ikichoka inachosha na vingine........ Usihofu utasaidiwa tata.............
 
Nimekuwa naisikia sana hii theory, sasa wajameni kufanya kazi sana kunapunguza uwezo wa kushughulika kwenye yale mambo ya utu uzima? Maana kama ni hivyo mi ntapata tabu maana mpaka sasa niko ofisini eti!

Kwani ww unakaa wapi? nije niwe jirani yako.
 
Ni kweli kutokana na uchovu. Lakini ukiweza kupanga ratiba zako vizuri, kazi zote utazipiga vizuri na kwa kiwango cha juu!
 
Tunavyoshauriwa na wataalam,ili uweze kumudu yale majamboz,unatakiwa uwe ni mtu wa mazoezi,na kufanya kazi,ili kuepusha kupatwa na maradhi kama ya kisukari,Bp,nakadhalika.
Ila sasa inategemea na kazi unayofanya,kama wewe kazi zako ni za ofisini,na unakaa asubuhi mpaka jioni,huku unapiga matonge asubuhi mpaka jioni,na hufanyi mazoezi,take care bro,kisukari kinakunyemelea na lazma kazi ushindwe!
 
Eh my Bad siku zote najua weye ni mdada!! Nisamehe mwaya............hapa mie sina jibu but ninachojua ni kuwa when you get those right buttons pressed.................kwa mwanaume lazima tu utakuwa arosed. Kwa mdada kidogo naona kama kunaugumu (Sijui jamani mie under 18) lol
 
Akili ikichoka inachosha na vingine........ Usihofu utasaidiwa tata.............

And yet mnasema yale mambo ni kuitune tu akili yako??! Sasa kama nyie wenzetu mkichoka mnachoka, hii dhana ya sxx ni among the stress releasers haiapply kwenu??
 
Nimekuwa naisikia sana hii theory, sasa wajameni kufanya kazi sana kunapunguza uwezo wa kushughulika kwenye yale mambo ya utu uzima? Maana kama ni hivyo mi ntapata tabu maana mpaka sasa niko ofisini eti!

Hebu experiment ianzie kwako, watu wengine bana hata tulifanyishwa kazi ngoma iko pale pale, yaani dume likivaa sketi unammezea mate!
 
Eh my Bad siku zote najua weye ni mdada!! Nisamehe mwaya............hapa mie sina jibu but ninachojua ni kuwa when you get those right buttons pressed.................kwa mwanaume lazima tu utakuwa arosed. Kwa mdada kidogo naona kama kunaugumu (Sijui jamani mie under 18) lol
Hapo red hapo nadhani ndio maana wazazi wa zamani waliamua mwanmke abaki nyumbani ili afanye shuhuli ndogo ndogo na apate muda wa kupumzika kabla ile shamra shamra ya usiku. Mwanaume hata uchoke vipi ile kitu kuikataa ni ngumu aisee.

Dah! mimi mwenyewe under 18, nimedesa haya maelezo fesbuk tu kwenye wall ya mtumishi wa Mungu.
 
And yet mnasema yale mambo ni kuitune tu akili yako??! Sasa kama nyie wenzetu mkichoka mnachoka, hii dhana ya sxx ni among the stress releasers haiapply kwenu??
Kwangu mimi inaapply na ni the best stress releaser ever. Mimi hata stress za msiba samtaimu namtafuta mamsapu alipo nipunguze labda yeye ndo agome. Tiba ipo, kwanini nisiitumie bana?
 
Ni kawaida ukifanya kazi sana unachoka, hasa kama mie kazi yangu duh, ila always natafuta muda mwafaka wa kuwa na mpenzi wangu
kuna week end ni vizuri ukaitumia ipasavyo
 
Hapo red hapo nadhani ndio maana wazazi wa zamani waliamua mwanmke abaki nyumbani ili afanye shuhuli ndogo ndogo na apate muda wa kupumzika kabla ile shamra shamra ya usiku. Mwanaume hata uchoke vipi ile kitu kuikataa ni ngumu aisee.

Dah! mimi mwenyewe under 18, nimedesa haya maelezo fesbuk tu kwenye wall ya mtumishi wa Mungu.
Hahahahah shemeji mstari wa mwisho jamani ah............aisee hvi mwandani wangu si alishamalizia deni shemeji?? Nsijeachika bure nikaanza kugombana na Lizzy.

Kwangu mimi inaapply na ni the best stress releaser ever. Mimi hata stress za msiba samtaimu namtafuta mamsapu alipo nipunguze labda yeye ndo agome. Tiba ipo, kwanini nisiitumie bana?

Lol kama namwona Lizzy anavyosali miujiza itokee!!

Msalimie mtumishi wa bwana wa fesibuku.
 
Ndio tunapanda kitandani muda huu; leo ni siku ya tukio na nimepiga mzigo sana kwa ofisi ila sioni dalili ya tembo kushindwa na mkonga wake, ntawajuza ikifika saa nane usiku, tafadhali ntawakumbusha ili mnikumbushe niwapatie ze feedback!
 
Back
Top Bottom