Nimekuwa naisikia sana hii theory, sasa wajameni kufanya kazi sana kunapunguza uwezo wa kushughulika kwenye yale mambo ya utu uzima? Maana kama ni hivyo mi ntapata tabu maana mpaka sasa niko ofisini eti!
Naishi peke yangu so kama unatafuta kumgonga gf/mke wangu, umenoa.....
Ahahahaaah!! Acha uoga wewe, labda anataka kukufundisha techniques za kumudu shughuli licha ya kufanya kazi sana..Naishi peke yangu so kama unatafuta kumgonga gf/mke wangu, umenoa.....
Akili ikichoka inachosha na vingine........ Usihofu utasaidiwa tata.............
Nimekuwa naisikia sana hii theory, sasa wajameni kufanya kazi sana kunapunguza uwezo wa kushughulika kwenye yale mambo ya utu uzima? Maana kama ni hivyo mi ntapata tabu maana mpaka sasa niko ofisini eti!
Hapo red hapo nadhani ndio maana wazazi wa zamani waliamua mwanmke abaki nyumbani ili afanye shuhuli ndogo ndogo na apate muda wa kupumzika kabla ile shamra shamra ya usiku. Mwanaume hata uchoke vipi ile kitu kuikataa ni ngumu aisee.Eh my Bad siku zote najua weye ni mdada!! Nisamehe mwaya............hapa mie sina jibu but ninachojua ni kuwa when you get those right buttons pressed.................kwa mwanaume lazima tu utakuwa arosed. Kwa mdada kidogo naona kama kunaugumu (Sijui jamani mie under 18) lol
Kwangu mimi inaapply na ni the best stress releaser ever. Mimi hata stress za msiba samtaimu namtafuta mamsapu alipo nipunguze labda yeye ndo agome. Tiba ipo, kwanini nisiitumie bana?And yet mnasema yale mambo ni kuitune tu akili yako??! Sasa kama nyie wenzetu mkichoka mnachoka, hii dhana ya sxx ni among the stress releasers haiapply kwenu??
Hahahahah shemeji mstari wa mwisho jamani ah............aisee hvi mwandani wangu si alishamalizia deni shemeji?? Nsijeachika bure nikaanza kugombana na Lizzy.Hapo red hapo nadhani ndio maana wazazi wa zamani waliamua mwanmke abaki nyumbani ili afanye shuhuli ndogo ndogo na apate muda wa kupumzika kabla ile shamra shamra ya usiku. Mwanaume hata uchoke vipi ile kitu kuikataa ni ngumu aisee.
Dah! mimi mwenyewe under 18, nimedesa haya maelezo fesbuk tu kwenye wall ya mtumishi wa Mungu.
Kwangu mimi inaapply na ni the best stress releaser ever. Mimi hata stress za msiba samtaimu namtafuta mamsapu alipo nipunguze labda yeye ndo agome. Tiba ipo, kwanini nisiitumie bana?