Kufanya kazi nikiwa shule

rutabazi

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
497
293
Habar wadau wajukwaa hili bila shaka nyote mu wazima katika ubora Wenu.
Nimekuja apa nipate ushauri wamawazo n.k
Langu ni hili nimepata dili la kazi
La moja kwa moja halina vikwazo
Sana,bado lkn sijaiza iyo kazi natarajia
Mazingira yaliyonifanya niombe
Ushaur humu ni wakt niliona nao
Kwa sasa(bado nasoma nipo chuo )
Na ukwel nikwamba uchumi kwa
Mfadhili wngu umeyumba sana
Kwaiyo inabidi nimsaidie angalau
Yeye awe analipa ada.....nitafute hela yakula mm mwenyew,
Kama kuna aliyefanikiwa kwa njia
Hi anijuze jamani na mm niaze mara moja hi kazi(hotel yakitali)
Mbeya ipo
Karibu wadau....
 
Waweza kusoma huku unafanya Kazi. Hakikisha muda wa Uhuru unaopata uwe busy kusoma. Inahitaji malengo ili kufanikiwa ktk hili.
 
Waweza kusoma huku unafanya Kazi. Hakikisha muda wa Uhuru unaopata uwe busy kusoma. Inahitaji malengo ili kufanikiwa ktk hili.
Ansate Evarm nimekuelewa vzuri
Sana..malengo muhimu sana
 
itazame ratiba yako vzuri kama inarushusu fanya lakn kama unavyojua waajiri wengi huwa wanabana sana inabidi ukiona ratibba haziingiliani sana na masomo ,kaifanyaje ila kama kuna muingiliano tafuta uamzi mzuri....by the way usje kujikuta una supplimenatry za kutosha
ni hayo tu
 
kwanza pole kwa majukum mazito yaliyoko mbele yako mkuu. swala hili linaitaji maamuz makin ambayo yatatokana na wew mwenyewe kwa kuangalia vitu vifuatavyo. moja aina ya program unayosoma je! inakuruhusu? pili ratiba ya masomo kwa ujumla kwani kama inaingiliana na muda wa kaz pagum. na mwisho jitathmin mwenyewe j juu ya iwezo wako upstair. kama you ar a quick learner and deliver bas unaweza handle yote hayo. other wise nikutakie maamuz mema kuyaendea majukum yaliyoko mbele yako. ahsante.
 
pole sana kiongozi me nimefanya kazi na kusoma tokea first year hadi second year ila huu mwaka wa tatu nimekubali yaishe mambo yamekuwa mengi nisije kujutia kisa mshahara wa laki 4 nakomaa nimalize mwezi wa saba gpa isome vizur hapo ntakjua kupambana upya ila kama upo mwaka wa mwisho malizia tu kama ndo unaanza piga piga save pesa zen acha kama nilivofanya mimi
 
Back
Top Bottom