Kufanya Backup ni muhimu katika kulinda Data zako binafsi

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,801
4,461
'Back up' ni hatua muhimu ya #UlinziWaData kwani humsaidia Mhusika kutunza taarifa zake muhimu ili akipoteza kifaa chake au kikiharibika aweze kuzipata taarifa hizo

Kuna majukwaa mengi yanayotoa huduma ya Backup kama Google Drive, One Drive, Team Drive, iCloud, SugarSync, MyPCBackup, Dropbox n.k
 
Hivi hii back up inahusiana na meseji za kawaida pia? Au ni what's app tu?
 
Back
Top Bottom