Kufanya au kutofanya mapenzi kinyume na maumbile - Maamuzi ni yako mwanamke!

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
15,271
29,879
Tunapoamua kufanya jambo sio kwamba tunafuata mkumbo au kulazimishwa bali ni our choice.

Kufanya ngono kusiko a.k.a 0713 ni “MWIKO” katika jamii nyingi ulimwenguni, sio kwa vile tu inamaanika kuwa ni uchafu na inamadhara makubwa ya kimwili, kiakili na kiafya bali ni kinyume na mafundisho ya imani zetu za Dini.

Kinachofanyika chumbani ni uamuzi wenu ninyi wawili mnaopendana ikiwa tu mtakubaliana na kufanya hivo na pia ni siri yako wewe na mpenzi wako, kuna wapenzi wengi tunafanya mambo ya ajabu sana na watu tunaowapenda na tunafurahia na tunazidi kupendana na kutakana zaidi na zaidi kila siku…. lakini mambo hayo ni “taboo” ktk jamii kama ilivyo kwa Tigo au Ukware/uzinzi!

Kuna baadhi ya watu (wake kwa waume) hujaribu na kisha wanajikuta wanafurahia na hivyo wanaendelea na kuna wengine hutaka kujua “unajisikiaje” lakini wanajikuta hawafurahii au mmoja wao hafurahii na hivyo wanaacha na kutorudia tena tendo hilo la mugongo-mugongo.

Pamoja na kuwa watu kuheshimu miiko ya dini zao, kupinga na kulisema vibaya tendo hili wachunguzi wa mambo ya Tigo wanadai kuwa mwanamke mmoja kati ya wanne anashiriki ngono ya nyuma (sasa hii sijui ni kuridhisha wapenzi au ni wao wanafurahia)…… Wazoefu watusaidie hapa.

Ukweli kuhusu Tigo

Sio tendo asilia ktk swala zima la ngono na mapenzi hivyo kumbuka unapoamua kugawa tako kuwa na uhakika ndio kitu unataka kukifanya na sio kukifanya kwa vile “mchumba” kaomba/anataka…..Wewe ndio mwenye maamuzi makuu ya nini unataka kifanyike mwilini mwako.

Kama unahisi unachokwenda kukifanya sio “natural*” na hujisikii vema kushiriki ngono Tigo basi acha/kataa kufanya hivyo.

Mara mishipa ya Tigo ikitanuka kutokana na kufanywa huko mara kwa mara huwa haijirudi kama ilivyo kwenye uke kwa vile haikuumbwa kwa ajili ya shughuli hiyo.

Wengi tunaamini kuwa kufanywa nyuma ni kwa mashoga tu lakini kuna wanawake wanafurahia kama ilivyo ngono ya mdomo na baadhi hujigeuza kama njia mbadala ya kuzuia mimba au kulinda bikira (zaidi ni ktk jamii ya waarabu).

Ukizoea sana kupigwa nyuma na mishipa ya huko kutanuka, basi inasemekana kuwa utatatizwa wakati wa kujifungua/kuzaa, si hivyo tu bali unaweza ukawa na tatizo la kuvuja mkojo kwani hutoweza kukaza tena misuli yako ukeni ambayo hulegea baada ya kuzaa.

Swala muhimu sio kutisha watu bali kuwaelimisha na kuwaachia wao wachague mchele upi na pumba zipi. Ukiangalia yale yote yanayokatazwa au kuitwa miiko ndiyo yanayofanywa zaidi kuliko yale tunayoruhusiwa kuyazungumzia na kuyatenda.

MADHARA MAKUU NI:

Mwanamke anayefanyiwa mchezo huu hupata matatizo makubwa wakati wa kujifungua ikiwa ni pamoja na kutokwa na haja kubwa mfululizo wakati akijaribu kumsukuma mtoto.

Tukio hili humsababishia aibu kubwa mwanamke, kiasi cha kumshushia hadhi yake mbele ya jamii.

Umri unaposonga, haja kubwa hutoka bila kizuizi kutokana na misuli ya sphincter inayobana njia ya haja kubwa kulegea.

Inaweza kusababisha saratani ya eneo hilo ‘cancer of col0n’.

Ugonjwa wa UTI, yaani uambukizi kwa njia ya mkojo, huwa sugu, maana akitokea mwanaume alifanya kitendo hicho kisha akafanya ngono kama kawaida, bakteria wanaoishi sehemu hiyo wanaingia na kuwa na madhara makubwa.

Hasara yake kubwa mwanaume anayekufanyia mchezo huwa hawezi kukuoa, pia ni rahisi kukutangaza kwa jamaa zake na kuonekana kituko mbele za watu, kama umeolewa heshima yako hupungua ndani ya ndoa.

Paparazi wetu inakushauri na inapinga kwa nguvu zangu zote swala la Ngono kusiko (tigo) ila na heshimu chaguo/uamuzi wako…..wewe ndio mweye mwili na unafanya vile utakavyo.

Ushuri wa bure-Jiheshimu na thamini mwili wako…..usitoe tako lako kama dawa ya kumfanya mume asitoke nje au akupende zaidi…..ni aibu mumeo akikuta nyuma jamaa waliwahi pia.

Pia anaweza kumuua mtoto kwa vile kila akimsukuma atoke, pumzi hukata kutokana na misuli inayofahamika kwa jina la ‘sphincter’ kulegea na kusababisha ambane mtoto.
 
Katika nyakati hizi ambazo laana na matendo machafu ni miongoni mwa vitu vya kujivunia katika jamii inayojidai kuwa imestaarabika......hayo uliyoyaandika hapo ni mambo mageni kwao kwa kuwa nyoyo zao na miili yao wameamua kuviweka mbali na neema za Mungu na kujikabidhi kwa yule mouvu....ndio maana nyakati hizi kumekuwa na uhaba sana wa baraka za Mungu....kama mvua za kutosha na maradhi yasiyo na tiba.......

Matendo machafu yanayofanywa na viumbe wa nyakati hizi yanaifanya dunia kuwa kama jahanamu kwa wacha Mungu na kuwa paradiso kwa mashetani na watu wao.....

Ulimwenu iliokuwa kwenye mikono ya yule muovu.....unategemea watu watatendaje.....ona sasa ngono inavyo hamasishwa kuliko hata kilimo na mambo mengine ya msingi....siku hizi hata mwanamuziki anapata pesa nyingi sana akiimba ngono na kuipamba ngono.......siku hizi ukitaka uonekane wa maana uwe mchambuzi mzuri wa masuala ya ngono.......siku hizi ili mwanaume uonekane shujaa ni lazima uwe na wanawake wengi na uwezo wa kukaa kifuani kwa mwanamke si chini ya masaa manne......

Lakini yote haya yana mwisho.....ambapo mwisho wake utakuwa wa vilio na kusaga meno......

TIME WILL TELL......
 
Nothing is good or bad but your thinking make it so.

Suala la 0713 kwa kiasi kikubwa naona kama wanaolijadili wanalijadili katika "angle" isio. Hawajielekezi katika kujenga ushawishi bali katika KUTISHA na KULAANI. Wamejigeuza kuwa kama "YEYE ALIE JUU" kwa kuhukumu na kulaani.

Kwa "angle" hiyo hakuna mnachofanya zaidi ya kuchochea vitendo hivyo. Kumbukeni "enzi zile" kampeni za VVU na UKIMWI zilipolenga kuonyesha VVU na UKIMWI ni laana, hawakufanikiwa hadi pale walipobadili "approach".
 
Kwa hiyo baada ya kubadili hiyo "APPROACH" ndio maradhi hayo yakapungua au kuisha...!!??
 
Katika nyakati hizi ambazo laana na matendo machafu ni miongoni mwa vitu vya kujivunia katika jamii inayojidai kuwa imestaarabika......hayo uliyoyaandika hapo ni mambo mageni kwao kwa kuwa nyoyo zao na miili yao wameamua kuviweka mbali na neema za Mungu na kujikabidhi kwa yule mouvu....ndio maana nyakati hizi kumekuwa na uhaba sana wa baraka za Mungu....kama mvua za kutosha na maradhi yasiyo na tiba.......

Matendo machafu yanayofanywa na viumbe wa nyakati hizi yanaifanya dunia kuwa kama jahanamu kwa wacha Mungu na kuwa paradiso kwa mashetani na watu wao.....

Ulimwenu iliokuwa kwenye mikono ya yule muovu.....unategemea watu watatendaje.....ona sasa ngono inavyo hamasishwa kuliko hata kilimo na mambo mengine ya msingi....siku hizi hata mwanamuziki anapata pesa nyingi sana akiimba ngono na kuipamba ngono.......siku hizi ukitaka uonekane wa maana uwe mchambuzi mzuri wa masuala ya ngono.......siku hizi ili mwanaume uonekane shujaa ni lazima uwe na wanawake wengi na uwezo wa kukaa kifuani kwa mwanamke si chini ya masaa manne......

Lakini yote haya yana mwisho.....ambapo mwisho wake utakuwa wa vilio na kusaga meno......

TIME WILL TELL......

Acheni kukata miti hovyo, acheni kuharibu vyanzo vya maji, pandeni miti sio kukata tu. Mvua itanyesha.

Wewe omba Mungu huku unakata miti na kuharibu vyanzo vya maji tuone kama mvua itanyesha.

Hayo mengine kudoz
 
Inaonekana tunaongea lugha tofauti yenye maana na lengo moja.....
 
Back
Top Bottom