Kufanikiwa kielimu na kimaisha hivi ni lazima mtu usome udsm na A-level

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
Jamani hivi mtu kufanikiwa kielimu na kufika mbali ni lazima usome udsm maana naona wanafunzi wengi wanafikilia kusoma chuo hiki na pia mtu ni lazima usome a-level ili ufaulu uende udsm ..........kwa maski za juu au basi tuuu
 
Mwana nimetembelea taasisi kibao nikakuta wakuu wa vitengo kutoka IAA,MZUMBE,MUCCOBS,SAUT,..so usidhani UDSM ndo kila kitu,.heshima ya udsm itabaki pale pale kama chuo kikongwe na kilichotuanzishia gurudumu la elimu ya juu,."enzi hzo tulikua na chama kimoja,.saiv tuna vyama vingi na vinavyoleta changamoto"
 
Wanafunzi wa sasa waoga sana yani me ningekuwa mwanafunzi leo ningelipua makazi ya mkandara hapo,na kuna kipindi ticha flani hapo alikua ananizingua na nilipanga nilipue utawala sema tulienda nae sawa,hawa washenzi dawa yao ni kulipua yani mnashindwa kujioganaiz wanafunzi hata wa5 mkanunua guruneti na kulipua utawala? Kama mbwai mbwai tu hii nchi mbele haitotawalika biliv dat I'm tellin y'all buddiez
 
Mwana nimetembelea taasisi kibao nikakuta wakuu wa vitengo kutoka IAA,MZUMBE,MUCCOBS,SAUT,..so usidhani UDSM ndo kila kitu,.heshima ya udsm itabaki pale pale kama chuo kikongwe na kilichotuanzishia gurudumu la elimu ya juu,."enzi hzo tulikua na chama kimoja,.saiv tuna vyama vingi na vinavyoleta changamoto"
hvi muccobs na saut navyo ni vyuo vya mtu kusoma nae akajiita ni msomi kweli??bora niishie form 4 niende depo ya police kuliko kupoteza muda wangu huko.over
 
dogo kuwa na heshima na vyuo vya watu. Cku hizi udsm, muhas siasa ndo zinaongoza vyuo. Huwezi amini muhas wanaojiita cream of nation, mtu anatoka hata kutibu malaria hawezi. Watu wanachakachuliwa wanaishia kujua rare diseases ambazo hutokea kwa caucasians na management of an malaria hajui. Mtaishia kujisifu na siasa zenu za kijinga huku viwango vya ubora vikishuka. I hate theze old vasities waliojingiza kwenye siasa za ki..jing za jk. Nimesoma muhas,ucje nishambulia kwamba natetea hivyo vyuo unavyovidharau.
 
kama umetoka muhas hujui kutibu malaria basi wewe ni mbumbu no moja sababu mwaka wa pili anayesoma parasitology anajua kutibu malari na alafu usivyojua hata unachoongea hivi wagonjwa walioko mwaisela,kibasila wanaumwa magonjwa ya caucasian? nahisi ulidisco mwaka wa kwanza na kuishia kusoma biochemistry ndo maana hujui hata unachokizungumza
 
diseases never read books. Hiyo parasitology can not make you diagnose a disease. Ukiambiwa giv me the treatment unaweza mtajia. Lakini mtaani hakuna mtu wa kukutajia ugonjwa. Kukariri dalili na dawa haitoshi kutibu ugonjwa inahitaji good art ya kuongea na kumcheki mgonjwa. Na siku hizi diagnostic facilities hospitalini ni mbovu. Sawa mi mbumbumbu kama ulivyosema lakini kumbuka nimesoma shule za wakulima mpaka kupata chance ya kuingia muhas. Nenda huko mwaisela unakosema ukaone interns wanavyotukanwa na nurses kwa kutojua vitu. Believe me hospital za mikoani wanagoma kupokea intern kutoka muhas kwa sababu wengi wanatoka hawajaiva!
 
Jamani hivi mtu kufanikiwa kielimu na kufika mbali ni lazima usome udsm maana naona wanafunzi wengi wanafikilia kusoma chuo hiki na pia mtu ni lazima usome a-level ili ufaulu uende udsm ..........kwa maski za juu au basi tuuu
kwangu mimi ELIMU ni kukomboka kifikra ,msaada mkubwa elimu ni kusaidia kupambana na mazingira kuweza kuyamudu MAISHA kwa urahisi sasa kama umefunguka njia yeyote ni bora kielimu cha MSINGI UJITAMBUE
Education in its broadest, general sense is the means through which the aims and habits of a group of people lives on from one generation to the next.[SUP][1][/SUP] Generally, it occurs through any experience that has a formative effect on the way one thinks, feels, or acts. In its narrow, technical sense, education is the formal process by which society deliberately transmits its accumulated knowledge, skills, customs and values from one generation to another, e.g., instruction in schools
or
the act or process of imparting or acquiring general knowledge, developing the powers of reasoning and judgment, and generally of preparing oneself or others intellectually for mature life.
 
diseases never read books. Hiyo parasitology can not make you diagnose a disease. Ukiambiwa giv me the treatment unaweza mtajia. Lakini mtaani hakuna mtu wa kukutajia ugonjwa. Kukariri dalili na dawa haitoshi kutibu ugonjwa inahitaji good art ya kuongea na kumcheki mgonjwa. Na siku hizi diagnostic facilities hospitalini ni mbovu. Sawa mi mbumbumbu kama ulivyosema lakini kumbuka nimesoma shule za wakulima mpaka kupata chance ya kuingia muhas. Nenda huko mwaisela unakosema ukaone interns wanavyotukanwa na nurses kwa kutojua vitu. Believe me hospital za mikoani wanagoma kupokea intern kutoka muhas kwa sababu wengi wanatoka hawajaiva!
pamoja na kwamba disease never reads books lakini good clinical art inategemeana jinsi gani ulivyomaster basic science kwani ua eyes and hands can not interpret something which is not in ua mind.na hao intern wanaotukanwa na manesi umechunguza wanatoka vyuo gani? kwa taarifa yako intern ambao wanafanya vibaya sana ni wakutoka vyuo vingine tofaut na Muhas.mwanafunzi wa mwaka wa 4 au wa 5 akutoka muhas ana good clinical skills zaidi ya intern wanaotka vyuo vingine.hiki ni kipind cha evidence based ebu nieleze ni hospital gani iliyomkataa intern kutoka muhas kwani intern wote walioomba kutoka muhas mwaka jana wamepta nafasi na hakuna hata moja aliyekataliwa,wewe data zako unapata wapi.na kwa uhakika level ya confidence kati ya wanafunzi wa muhas ikoo juu zaidi ya wanafunzi wa vyuo vingine something which is very important katika clinical practice
 
uzuri wa kutoka familia za viongozi na wasomi ni kwamba unapomaliza a-level wazee wanangali course inayokufaa na future yake, ukimaliza chuo unakuta ajira inakungoja.

Familia za undergrounds mtoto mwenyewe anachagua course kwa kuangalia jina la chuo na current market ya course inayobamba.. akimaliza chuo anakuta soko limeshajaa last 2 yrs.. Unakuta dogo akipata matokeo mazuri anakimbilia kusoma civil/mechanical eng au law udsm akimaliza chuo anenda kufundisha tuition mitaani

Mimi kuna jamaa zangu wanne wazazi wao ni majudge na f6 walipata div1 pts 7,8,8 na mwingine 9, wazazi wao waliwapeleka chuo cha mahakama Lushoto kusoma diploma. Jiulize ni kwanini hawakuwapeleka LLB UDSM??? Prof wa muhimbili anampeleka mwanawe aliyepata 10pts pcb kusoma MD KCMC, ni kwanini hakumpeleka MUHAS??
Hamjiulizi ni kwanini watoto wa NBAA directors wanasoma T.I.A na sio BCom udsm even though wana div 1 ECA?. POLENI SANA
 
inabidi tuwache udsm waendelee kuimba mapambio yao
 
Jamani hivi mtu kufanikiwa kielimu na kufika mbali ni lazima usome udsm maana naona wanafunzi wengi wanafikilia kusoma chuo hiki na pia mtu ni lazima usome a-level ili ufaulu uende udsm ..........kwa maski za juu au basi tuuu

Si lazima ! Mi nilitumia matokeo ya form four nikasoma certificate mwaka mmoja then nikafaulu nikaunga na advanc dip nilipomaliza nikachuchukua masomo ya postgraduate ! Tena hapo hapo ud so sio lazima usome a level ama usome ud!
 
diseases never read books. Hiyo parasitology can not make you diagnose a disease. Ukiambiwa giv me the treatment unaweza mtajia. Lakini mtaani hakuna mtu wa kukutajia ugonjwa. Kukariri dalili na dawa haitoshi kutibu ugonjwa inahitaji good art ya kuongea na kumcheki mgonjwa. Na siku hizi diagnostic facilities hospitalini ni mbovu. Sawa mi mbumbumbu kama ulivyosema lakini kumbuka nimesoma shule za wakulima mpaka kupata chance ya kuingia muhas. Nenda huko mwaisela unakosema ukaone interns wanavyotukanwa na nurses kwa kutojua vitu. Believe me hospital za mikoani wanagoma kupokea intern kutoka muhas kwa sababu wengi wanatoka hawajaiva!

Hapo mkuu umeongea ukweli kabisa ila wa2 hawataki kukubali huo ukweli...wengi wanaosoma MD pale MUHAS wanamaliza miaka 5 wanakuwa wako poa sana kwenye theory ila jinsi ya kutibu mgonjwa jinsi inavyotakiwa wanashindwa na ndo maana sehemu nyingi wanawakataa intern wanaotoka pale Muhas.Hiyo nimeshuhudia mimi mwenyewe pale Hospitali ya Rufaa ya Dodoma mjini wanavyopata tabu kumtibu mgonjwa mpaka wamtafute dr mzoefu wa muda mrefu ate msaidie hata kuandika dozi kwa mgonjwa.
 
Jamani hivi mtu kufanikiwa kielimu na kufika mbali ni lazima usome udsm maana naona wanafunzi wengi wanafikilia kusoma chuo hiki na pia mtu ni lazima usome a-level ili ufaulu uende udsm ..........kwa maski za juu au basi tuuu

Kila mtu na mikakati yake ktk maisha yake, wewe utapanga uishie fm4 ukaanze coz ktk vyuo vingine na wengine ndo wanataka degree moja kwa moja
 
pamoja na kwamba disease never reads books lakini good clinical art inategemeana jinsi gani ulivyomaster basic science kwani ua eyes and hands can not interpret something which is not in ua mind.na hao intern wanaotukanwa na manesi umechunguza wanatoka vyuo gani? kwa taarifa yako intern ambao wanafanya vibaya sana ni wakutoka vyuo vingine tofaut na Muhas.mwanafunzi wa mwaka wa 4 au wa 5 akutoka muhas ana good clinical skills zaidi ya intern wanaotka vyuo vingine.hiki ni kipind cha evidence based ebu nieleze ni hospital gani iliyomkataa intern kutoka muhas kwani intern wote walioomba kutoka muhas mwaka jana wamepta nafasi na hakuna hata moja aliyekataliwa,wewe data zako unapata wapi.na kwa uhakika level ya confidence kati ya wanafunzi wa muhas ikoo juu zaidi ya wanafunzi wa vyuo vingine something which is very important katika clinical practice

Acha kudanganya uma wewe!wenye good clinical wengi kutoka MUHAS ni Dental peke yao coz wapo wachache sana na easy kuwahandle tofauti kabisa na MD ambao wapo wengi na kazi kuwahandle.Inaeleka unabisha 2 bila kufanya kareseach kadogo cha kutembelea hospitali chache za serikali zilizochukua Intern kutoka Muhas(MD) na kuona jinsi wanavyofanya kazi ya kutibu wagonjwa.kama upo Dom nenda pale Hospitali ya rufaa ya dodoma kaone hao intern wa Muhas(MD) wanavyofanya madudu pale hospitali
 
uzuri wa kutoka familia za viongozi na wasomi ni kwamba unapomaliza a-level wazee wanangali course inayokufaa na future yake, ukimaliza chuo unakuta ajira inakungoja.

Familia za undergrounds mtoto mwenyewe anachagua course kwa kuangalia jina la chuo na current market ya course inayobamba.. akimaliza chuo anakuta soko limeshajaa last 2 yrs.. Unakuta dogo akipata matokeo mazuri anakimbilia kusoma civil/mechanical eng au law udsm akimaliza chuo anenda kufundisha tuition mitaani

Mimi kuna jamaa zangu wanne wazazi wao ni majudge na f6 walipata div1 pts 7,8,8 na mwingine 9, wazazi wao waliwapeleka chuo cha mahakama Lushoto kusoma diploma. Jiulize ni kwanini hawakuwapeleka LLB UDSM??? Prof wa muhimbili anampeleka mwanawe aliyepata 10pts pcb kusoma MD KCMC, ni kwanini hakumpeleka MUHAS??
Hamjiulizi ni kwanini watoto wa NBAA directors wanasoma T.I.A na sio BCom udsm even though wana div 1 ECA?. POLENI SANA

kwa hiyo kupelekwa Lushoto na point 8 ndo unakuja kututangazia hapa unazani hao wameanza..wewe ndo bure kabisa nenda hapo lushoto uwaulize kama kuna mtu aliingia ata top 50 matokeo yao ya form 6..unataka ata T.O aje asome huo upuuzi? Sio wazazi wote wanuwezo mkubwa wa kufikiria.
 
unaona ambavyo huelewi maana ya future? wewe unajua kusoma ni kupata cheti tu.! kazana umalize shule uje huku uraiani uprove maneno yangu
 
Back
Top Bottom